Search results

  1. Imphuvyi

    Dereva wa bolt/indrive/faras na uber natafuta gari ya hesabu au mkataba

    Achana na udereva kaka... Njoo tujifunze pamoja kupika kacholi za ndizi.
  2. Imphuvyi

    Natafuta kazi/nahitaji kazi yeyote ambayo haivunji sheria za mungu na haivunji sheria za nchi

    Sheria za Mungu na za nchi! Bila shaka utakuwa hujaolewa! Na nina uhakika pia SIO BIKIRA! Leta story zingine, Mungu achana nae.
  3. Imphuvyi

    Dalali mkazi wa Dar, ninakatenda Kadogo unisaidie

    Naona kuna kitu hakipo sawa kidogo!! Wewe ni ke au me?
  4. Imphuvyi

    Nataka kujifunza kuhusu Dark Web

    Nipe kaifa mzee, inakuwa kuwaje hiyo?
  5. Imphuvyi

    Dalali mkazi wa Dar, ninakatenda Kadogo unisaidie

    Mkuu hiyo laki si bei ya single room tandale?
  6. Imphuvyi

    Nataka kujifunza kuhusu Dark Web

    Habari, Nina shida na mtu, mtaalam wa IT mzuri, anifunze kwa undani matumizi ya DARK WEB. Malipo, maelewano. Nawasilisha
  7. Imphuvyi

    Cleaner/Mtu wa Usafi Ofisini Anahitajika

    Una uhakika kweli kuwa ndugu zako wote wa koo ya baba yako na ya mama yako wapo kazini????? Chini ya mbingu hii hii na Mungu huyu huyu????
  8. Imphuvyi

    Tangazo la ajira ya mgahawa

    Kibaha ipi mkuu
  9. Imphuvyi

    Natafuta kazi

    Dar
  10. Imphuvyi

    Natafuta Mpishi wa Chapati

    Kwa nini wanaotafuta kazi na wafanya kazi wakipata hawaleti mrejesho?
  11. Imphuvyi

    Mimi ni mpish mwenye uzoefu wa kupika vyakula mbalimbali, natafuta kazi

    Habari za jioni wakuu... Nashukuru sana kwa mara nyingine kwa wote mliyoonesha nia ya kunisapoti (kuniajiri, kunipatia kibarua). Mbarikiwe sana. Nimefanikiwa kupata nafasi sehemu japo ni ya muda (not permanent) lkn kutokana na kwamba wamenikuta mkweli, (maelezo ya Ujuzi wangu yameendana na...
  12. Imphuvyi

    Mimi ni mpish mwenye uzoefu wa kupika vyakula mbalimbali, natafuta kazi

    Wakuu mimi pia ni driver, nina leseni ya Kuanzia class c1, pia ni IT Ngazi ya cheti. Hivyo wenye hotel naamini naweza kuwafaa kwa namna fulani ktk shughuli zao. Naombe ajira.
  13. Imphuvyi

    Mimi ni mpish mwenye uzoefu wa kupika vyakula mbalimbali, natafuta kazi

    Bado nina uhitaji ndugu zangu. Mim ni mpishi mzuri mno ktk sekta mbali mbali naombeni kazi. Lkn pia niwashukuru wote mliyoonesha nia ya kunipa kibarua kutoka mikoani,na niwatake radhi maana mimi nipo dar es salaam, nina miaka 31,na nina Familia. Hivyo kwa kazi ya muda (temporary) Siwezi...
  14. Imphuvyi

    Mimi ni mpish mwenye uzoefu wa kupika vyakula mbalimbali, natafuta kazi

    Habari, husika na cha habari hapo juu. Mpishi anatafuta kazi, jinsia (Me). Sifa: Ana uzoefu wa kupika vyakula mbalimbali vya ndani na nje, michemsho ya kila aina hadi ya mamba! ni mpishi mzuri wa bites, na ni mzoefu wa BBQ, sekera na shawarma. Nb, hana vyeti, kazi zote hizo amejifunza kwa...
  15. Imphuvyi

    Maendeleo kwa vijana wa taifa hili

    Anyway, anaejua taasisi inayokopesha bila kigezo cha dhamana ya nyumba au kiwanja anitonye.
  16. Imphuvyi

    Dar: Wahamiaji haramu wamejaa sana kuna shida gani na vyombo vyetu?

    Yeah, mara nyingi mtu kulalamika namna hii ni dalili ya kwamba njaa imemkaba koo... So anahisi wale wahamiaji ndio wanachukua riziki yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  17. Imphuvyi

    Maendeleo kwa vijana wa taifa hili

    Halimashauri haiwezi kufanya chochote bila serikali kuu kuamua. Wangeweka utaratibu kwa hizi tasisi za kifedha zinazoendeshwa na serikali, wakaweka namna rafiki kwa vinaja wasiyo na dhamana kuweza kukopesheka, ili wajiendeleze kuliko kutuacha tukizagaa mtaani, huku tukingojea ajira ambazo hazipo.
Back
Top Bottom