Search results

  1. Zimba

    Busara itumike jamani! Tusaidiane.

    Mimi ni mwalimu ngazi ya cheti/grade A. O-Level nilipata Math F, English D,History D, Geog C, Biology D, Civics D, Agriculture C na Kisw C. Napenda kusoma: Kilimo [any part], Procurement, Mipango na yoyote yenye masjahi zaidi. Je naweza anza na level gani? Stashahada/Shahada?
  2. Zimba

    Mwalimu ngazi ya cheti.

    Mimi ni mwalimu Daraja la 3A.Natafuta kazi kwa taaluma hiyo serikalini hata binafsi. Uzoefu wa kutosha {more than 5yrs} Kama sawa ni PM
  3. Zimba

    Kitu tiiii!!

    Ndo nishatinga hivyo, wanajamii tushirikiane seriously. Kitu tiiii mpaka ndani ya jf.
Back
Top Bottom