Search results

  1. S

    Nina swali napenda kujuzwa kwa mwenye elimu kidogo juu ya ukimwi

    Wakuu habarini. Nina swali napenda kujuzwa kwa mwenye elimu kidogo juu ya ukimwi, nilipenda kufahamu ni mazingira gani ni rahisi zaidi mtu kuambukizwa ukimwi pale ambapo yule asie nao kufanya mapenzi na alie na ukimwi lakini hatumii dawa na aliye na ukimwi na anatumia dawa (ARVs)?
  2. S

    Kuna rafiki yetu mmoja mke wake kajinyonga

    Habarini! Kuna rafiki yetu mmoja mke wake kajinyonga wakiwa pamoja ndani na mpaka sasa mwanaume kakamatwa na yuko polisi. Je, ni sahihi kijana huyo kushikiliwa na je sheria inasemaje mtu akifa ndani ya nyumba na mkiwa pamoja kwani kwa maelezo ya uyo jamaa anadai yeye aliwahi kulala na mwanamke...
  3. S

    Bei ya mahindi Kigoma na Dar es Salaam

    Wakuu habarini. Tafadhali naomba msaada kwa anae jua bei zilizopo sasa hivi sokoni za mahindi ni shilingi ngapi anisaidie kujua haraka iwezekanavyo. Ni kwa ajuae bei za Kigoma na DSM Ahsanteni!
  4. S

    Ni kwamba Diamond ndio kaizika Clouds au macho yangu?

    Wakuu habarini, Kama siamini macho yangu: Hivi ni kweli ninayo yaona? Naona kama Clouds mvuto wote kwisha, na hata tamasha lao la Fiesta halina hisia tena. Shida ni nini, au ni upinzani uliyoletwa na huyu kijana wa Tandale? Ushauri: Clouds mmezidisha chuki dhidi ya wasanii na kila siku...
  5. S

    Mwanangu ana dalili ambazo wengi wanasema atakuwa na meno ya Plastiki

    Wakuu nahitaji msaada wa haraka sana wakuu mwanangu ana dalili amvazo wengi wanasema atakuwa na plastic teeth na hata cjui ni nn hiki na nifanye nn kujinusuru Msaada tafadhari Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    Baadhi ya channel za kibongo zitarudi liniw

    Wakuu nazani pesa zetu za vifurushi zinaenda tu especially cc wa azam maana tunalipia vifurushi lkn channel nyingi zimezuiliwa hadi sasa kwani tatzo ni nn na lini mwisho wake
Back
Top Bottom