Search results

  1. Mokaze

    CCM Downfall Nears

    The ports issue is an equivocal CCM downfall. Of the all issues irking Tanganyikans this time arround, I think, the port privatisation is the most. For your information, the beginning of downfall of the last freedom fighting legendary party nears, I prophesy. That's the freedom atlast, let's...
  2. Mokaze

    Hakika watu tunakabiliwa na Magonjwa mengi, kila Ugonjwa unayo Dawa yake

    Salam wakuu, Nilipata kuhadithiwa kisa kimoja cha kweli kilichotokea miaka mingi huko India, nami nimeonelea nikiweke humu ili tupate kujifunza. Katika miaka ya mwishoni mwa 1800 na mwanzoni mwa 1900 katika kijiji kimoja huko India alitokea mwanamke mmoja aliyepatwa na ugonjwa wa ajabu wa...
  3. Mokaze

    Floyd Maywether na Gervonta "Tank" Davis hawaelewani tena

    Kwa wapenda masumbwi wote, habari zenu. Ni habari za kusikitisha kusikia kwamba yule nguli wa masumbwi aliyepata kuwika duniani , pretty boy, money maker Floyd Mayweathear jr the hall of famer amemfurusha kutoka katika (Gym yake TMT Gym) kijana wake aliyemlea katika masumbwi Gervonta "Tank"...
  4. Mokaze

    Tuishi nao kwa akili

    Wakuu salaam. Hebu tujadili hii kauli ya "tuishi nao kwa akili" ilivyokaa. Mtu kama kafuga na kuishi na nyoka au hata mnyama mkali kama chui, simba nk ukimuuliza ni kwa namna gani ameweza kufuga na kuishi na hao wanyama aghalabu miongoni mwa majibu atakayo kupa ni kwamba; "nawafuga na...
  5. Mokaze

    Mwanadamu sawa na kuku bandani

    Wakuu salamu zenu. Nimekaa na kutafakari hali ya maisha yetu sisi binadamu nimeona yapo mithili ya maisha ya kuku bandani. Kuku anafunguliwa asubuhi kutoka bandani hapo anapata "uhuru" wa kuvinjari na kujitafutia riziki, katika kipindi hicho kumswaga ili arudi bandani sio kazi ya kitoto, ni...
  6. Mokaze

    Atheists wana mtindio wa ubongo

    Salaamu wakuu. Niende Moja kwa moja kwenye mada. Utakuta mtu anasifia gari ; "Hii gari kiboko kweli mainjinia wake walikuna vichwa balaa katika usanifu na gari hii haina mpinzani kwani katika kila nyanja ipo okay", ilmuradi tu gari litasifiwa hata kama linazo kasoro na mapungufu fulani. Hao...
  7. Mokaze

    Pale kinyesi cha mnyama kinapotengenezwa kupata kinywaji ghali Duniani

    Habari zenu wakuuu. Huko Indonesia kwa muda sasa wamegundua njia bora ya kuzalisha kahawa bora inayoitwa "Luwak coffee" kupitia kinyesi cha mnyama wanayemuita Luwak au "Civet cat". Mnyama huyo pamoja na vyakula vingine anapenda kula mbegu mbivu za kahawa (buni), kwakuwa tumbo lake haliwezi...
  8. Mokaze

    The World’s slowly and unexpectedly enters WWW III, God forbid

    1. NATO and the US supplying weapons to Ukraine. 2. Economics sanctions by the EU and US against Russia meant to distabilise and weaken Russia economically and socially. 3. Russia running out of stock of conventional weapons used agains Ukraine. I think, those are mojor reasons that will...
  9. Mokaze

    Maswali kwa TMDA kuhusu virutubisho katika unga wa sembe

    Wadau, hususan TFDA (The Tanzania foods and drugs authority), ni kwa muda mrefu nimekuwa na tashwishi ya kutaka kujua kuhusu madawa/virutubisho (fortifications) zinazotiwa na wasagaji katika unga wa sembe nk , maswali yangu kwa wahusika au kwa mtu yeyote anajua kuhusu hayo madawa/virutubisho ni...
  10. Mokaze

    RONALD REAGAN, the late former president of The USA on atheism

    I have long unable to understand the atheist in this world of so much beauty. And I have had an unholy desire to invite some atheists to a dinner and then serve the most fabilous gaurmet dinner that have ever been concocted and after dinner ask them if they believe there is a cook.
  11. Mokaze

    Only the genius can solve - test yourself

    Given that; 5+2=8 6+3=16 7+4=26 8+5=38 9+6=?
  12. Mokaze

    [b]WATANI WA JADI, SIMBA & YANGA.

  13. Mokaze

    Well, Jesus did not ascend to the physical heaven

    While I was reading the Bible in the Gospel of John I came across words spoken by Jesus (He was quoted) and In my understanding of the words, I have found and concluded that Jesus DID NOT ASCEND UP TO THE HEAVEN PHYSICALLY rather he ascended spiritually to spiritual heaven, the physical...
  14. Mokaze

    Kumbe viungo (organs) vya nguruwe vinashabihiana na viungo vya binadamu !! 😱.

    Wakuu hii threads haihusiani na masuala ya imani za kidini, ni katika kujiuliza tu; ni kwanini Wanyama hususani jamii ya nyani ambao ndio tunashabihiana nao sana, hawatumiwi sana katika tafiti za tiba kwa ajili ya kupata viungo vya kupandikizwa watu wenye mahitaji ya viungo kama; figo, moyo...
  15. Mokaze

    Chemsha bongo kwa wapenzi wa Fizikia (Physics)

    Wakuu wapenzi wa Physics ni matumaini yangu hamjambo. Niende moja kwa moja kwenye swali:- Hivi ikitokea mtu akatoboa tundu katika ya dunia, tundu hilo litobolewe hapo ulipo na lipitie katikati ya dunia (the core) na litokeze upande wa pili wa dunia, tundu hilo liwe kubwa la kuweza kupenya...
  16. Mokaze

    "Akili za kuambiwa---", Hii ni kauli potofu

    Kuna kauli au msemo potofu iliyoota mizizi kwa miaka kadhaa isemayo; "Akili za kuambiwa changanya na zako". Hivi toka lini mtu akaambiwa akili? Katika hali ya kawaida mtu huwa anaambiwa maneno au habari na sio Akili. Nadhani msemo huo ungepasawa uwe hivi; Habari ya kuambiwa tumia akili yako...
  17. Mokaze

    Misemo kama ya aina hii inafaa kufutwa

    Ni mambo ya kushangaza kuona watu na akili na busara zetu bado tunashikilia misemo isiyokuwa na maana bali kupotosha jamii, eti utasikia ikisemwa; "Mpe mchawi alee mwanao" au utasikia; "Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake". Mchawi ni mtu mbaya sasa iweje umpe mwanao amlee?!--- je...
  18. Mokaze

    Hii ni kwa mabingwa wa maswali ya mtego tu

    Naanza kwa kutoa salamu kwa mabingwa wote wa maswali ya mitego Hapo majuzi kuna jamaa yangu mmoja aliitwa kwenye usaili ili akipita aweze kuajiriwa katika kazi ya kuuza duka, katika huo usaili kwanza aliulizwa maswali kadhaa yanayohusu mahesabu ya pesa (pesa, gharama ya bidhaa na chenji nk)...
  19. Mokaze

    Kufungwa kwa barabara muhimu sababu ya maadhimisho ya kiwanda cha tumbaku Morogoro(TTPL)

    Leo tarehe 29/9/2018, kiwanda cha tumbaku morogoro (TTPL) kinaadhimisha miaka 50 (birth day), tangu kilipojengwa, kilipoanzishwa mwaka 1968 kilikuwa ni miongoni mwa viwanda vya umma "vilivyo uzwa" kiholela kwa njia ya lugha ya kidiplomasia "ubinafsishaji" wa mashirika ya umma. Cha ajabu, leo...
Back
Top Bottom