Search results

  1. K

    Neno/Msemo Aisee (Tujadili)

    A reliable info. will drive you best to your destination and not just an address
  2. K

    Neno/Msemo Aisee (Tujadili)

    aisee mi nmezoea mijadala ya swali kwa jibu aisee..
  3. K

    Neno/Msemo Aisee (Tujadili)

    ....tujadili kwa busara.
  4. K

    Neno/Msemo Aisee (Tujadili)

    Hapana, sifahamu. Rejea swali la msingi na jadili bila maswali ya kuhitaji majibu kwa mabishano. Hakika utasaidia jamii pana zaidi.
  5. K

    Neno/Msemo Aisee (Tujadili)

    "Aisee bro leo usipolipa deni lako familia italala njaa" "Mungu saidia nimepata kura za kutosha AISEE la sivyo nyumba yangu ingeuzwa" Swali: (i) Neno/Msemo Aisee ni la Kiswahili, kama ndio chimbuko na maana yake halisi ni nini? (ii) Kama sio Neno/Msemo halisi la Kiswahili, je ni nini sababu ya...
  6. K

    Adam Chagulani (Diwani aliyetimuliwa CHADEMA) aanza kufunguka...

    fikra za kitoto huendana na majibu mepesi
  7. K

    ....in a second "NDULI IDD AMIN"

    Imagine katika msimu huu wa JK, anajitokeza mtu kama NDULI IDD AMIN na kuanza kuishambulia, Tanzania isiyokua na balance ya mafuta, umeme, reli, ndege na meli zimezeeka. Je wana JF tutafanya nini?
  8. K

    ....?swali

    ....hivi inakuaje mtu anaweza kucheka hadi akalia lakini asiweze kulia hadi akacheka ??
  9. K

    CHADEMA ngoma mbichi Arusha

    hayo ni maamuzi mepesi yalofanywa na CDM ambayo CCM mnaona ni mazito..............SHAME UPON U CCM
  10. K

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    naunga mkono kwa asilimia mia100......ikiwezekana mabango yaandikwe kwa lugha zote...!
  11. K

    Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

    ..........nampa OFA ya mnyororo BURE tena afanye hima.
Back
Top Bottom