JamanI wana JF, kama kawaida yenu najua nitapata msaada mzuri hapa.
Ombi langu ni kutaka kujua kituo kizuri kwa ajili ya kurudia mitihani ya kidato cha sita masomo ya Art hapa Dar kama private candidate.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Wadau naomba ambaye ana full data za pale mlimani naomba anijulishe, kwani ndo nimepiga kura yangu hapo. nataka kujua impact na Sacrifice ya wenzetu waliotoka mikoani kuja kupiga kura pale mlimani ilikua vipi. Nataka nijua poll results za hicho kituo peke yake
Wadau
naomba kujua kama is possible kubadili jina ili hali document zangu kama certificates na passport ziko kwenye jina lingine. nataka kubadilisha first name na kutumia jina la ukoo kama Surname badala ya jina la Baba ambalo ni 'common name'. na- feel kama sionyeshi uasilia wangu kwenye...
By NIRMALA GEORGE, Associated Press Writer Nirmala George, Associated Press Writer Wed Mar 24, 9:29 am ET
NEW DELHI For nearly 30 years, India and Bangladesh have argued over control of a tiny rock island in the Bay of Bengal. Now rising sea levels have resolved the dispute for them: the...
As having seen that some areas in science field have been not taken care of in this part whereby most of posts are relating to computer or technology, I have just decided to bounce in the other areas and especially on Universe science.
Well the matter is not religious based or fictitious based...
Wakuu salaam zenu.
I am looking for a civil designer (genuine not pirated) for purchases full as shown bellow
Desngner centre upgrade to v6.5
New survey terrain module v6.5
Road upgrade to v6.5
new CAD Module v6.5
jamani wana JF. Kuna jamaa kaomba nimsaidie kupata ramani ya nyumba. hivi wape naweza kwenda kununua (kwa kuchagua) ramani ya nyumba complete ambayo imefanyiwa tathmini ya ujenzi hadi mwisho.
Hi wana JF.
is there any one who knows the month in which MBA Evening programme normally commences at UDSM?
is there any one with exiperience on fee amount payable minimum amount and general conditions to it. what normally happens to Non-compliances? watoto wa wakulima.
Jamani,
Hiki kipindi sidhani kama mmebahatika kukiona. Sina hakika kama ni series au ni one time show.
Siku ya Jumatano nilichelewa sana kulala, imefika mida ya saa sita na nusu usiku kukawekwa kipindi cha ajabu sana pale TBC1 kilichokuwa kikilushwa na MTV. Kipindi kile naweza kusema...
Toa mchango wako jinsi unavyoifahamu sheria ya ndoa ya Tanzania na utendaji wake?
Dondoo
at which grounds ndoa itavunjwa na mgawanyo wa mali uko vipi.
je mali zinazokuwa zimeandikwa katika jina la third part pasi kijua kwa mwanandoa mwingine zinaweza kuchukuliwa?
ni katika circumstance zipi...
Bunge limeibuka nakuonyesha kuguswa sana na wizara ya ulinzi hasa sehemu ya jeshi la wananci wenyewe.
katika uchangiaji wao wabunge mbalimbali wameibuka na kauli ambazo kwa namna moja au nyingine zilionyesha kuguswa kwao na yanayoendelea katika uendeshaji wa jeshi hilo.
mbunge mmjoa pamoja na...
Sisi watu weusi ni wa ajabu sana.hatuwezi hata siku moja tukawakosoa hawa wenzetu hata pale wanapotubambikizia mambo ambayo sio ya kwetu.
mimi nimekuwa nikifanya utafiti wangu ambao hauhitaji elimu ya juu utaona ajari nyingi au tuseme ajari kubwa kubwa au tuseme ajari za ndege kubwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.