Search results

  1. Isimilo

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Tume imetulia naomba kupata copy ya katiba nianze kujiweka sawa kuchangia
  2. Isimilo

    Ameniomba turudiane nimemkatalia!

    Msamehe bure, kuna siku utaikumbuka hiyo oppotunity na hutaipata. Msamehe bure and you will never regret
  3. Isimilo

    Bora ningezaliwa Somalia kuliko Tanzania

    Kwani tatizo liko wapi, nenda Kenya then dumbukia Somalia hakuna atakayekuuliza viza wala passport
  4. Isimilo

    Hivi fakat ya BACHELOR OF ARTS IN ECONOMICS ni MARKETABLE?

    Anyway pamoja na michango iliyokwishatoleawa, mimi ninavyojua Economics inakuwa na nguvu unapoifanya kama kiambatanishi. inakuondoa kwenye operation kwenda kwenye senior management. kwa mfano unakuwa na degree in - labda statisitcs, law, au B.Com, inapotokea kazi ya ' General' kwenye senior...
  5. Isimilo

    jamani naombeni mnisaidie nipate mfadhili wa kunisadia kulipa ada ya chuo mwenzenu.

    tunaomba ukitoa taarifa inayogusa kama hii jaribu kuonyesha details zote kwa mfano ada inayotakiwa kwa semester ni sh ngapi hilo moja, account yako kamili hiyo mbili, una mikakati gani kwa sababu mtu wa form 6 ni mzima huwezi kukosa ka mkakati hata ka kusema nilitaka kuanzisha kitu fulani ila...
  6. Isimilo

    Kampala International University dar college wagoma

    mnapenda kudhalau vya kwenu, kitovu cha elimu bora bado kipo mlimani tusijidanganye na zile multiple choice za zain kwenye tv. watanzania hatupendi vilivoy vyetu tunakumbatia vitu vya nje na kwa kuwa tuna pesa za kifisadi tunataka tusomeshe watoto wetu nje ili tujionyeshe kwa vile na hizo hela...
  7. Isimilo

    kuna tufouti gani kati ya kuona na kuangalia

    kwa mfano mwanamke akiwa mbele yako ghafla Utamwangalia ila kama ameshakupita ukageuka na kuendelea naye hapo tunasema unamuona ambapo ni zaidi ya kuangalia, na unakuwa kwenye hatari ya kuingia kwenye dhambi ya kutamani
  8. Isimilo

    Natafuta kituo cha Kurudia mitihani wa kidato cha sita - Art

    Mkuu nashukuru kwa ushauri wako ila hiyo ya kidato cha sita ni plan B. Nataka kufanya vyote viwili. tayari mchakato wa college umekamilika
  9. Isimilo

    Natafuta kituo cha Kurudia mitihani wa kidato cha sita - Art

    JamanI wana JF, kama kawaida yenu najua nitapata msaada mzuri hapa. Ombi langu ni kutaka kujua kituo kizuri kwa ajili ya kurudia mitihani ya kidato cha sita masomo ya Art hapa Dar kama private candidate. Natanguliza shukurani zangu za dhati.
  10. Isimilo

    Nina ADA, CPA(T) na Masters in Accounting and Finance lakini sina kazi zaidi ya mwaka sasa!

    tatizo angalia unavyoandika cv, yawezekana ume-outline sana. jaribu ku-compose paragraphs pia. halafu achana na kuomba kazi ambazo ni routine- accounting, TRA, Bank. kuna kazi kubwa zimejificha hata cpa haifuati. ila kwa macho zinaaanza kwa kuonekana kuwa ziko chini
  11. Isimilo

    Nipo njia ya panda, Japan.....sijui...nie......dah!

    utakuja kujuta huko mbele ya safari usipokwenda kusoma, kumbuka atomic energy industry is growing day by day na kuna siku itakuja kulipuka na wasomi hakuna. kwanza hapa Tanzania hawana hao wataalamu wa kutosha. kumbuka tuko kwenye mchakato wa kuttumia atomic energy in the future. angalia Geology...
  12. Isimilo

    Mambo mbugani hapo...Vita ya Tembo na Mamba!!!!

    Huyo tembo atakuwa alikufa
  13. Isimilo

    Namshukuru mungu sikusoma UDSM

    kwa kuanzia, ni engineers wangapi professional ambao ni wazawa hawajatokana na UDSM, madaktari bingwa, nyie msidhalau hapo mlimani. hakuna kitu huko Tumain and whatever, mnadhani kuandika kiingereza ni jambo la kujifunza chuoni? kwanza hata hapo UDOM more thna 70% ya walimu wao wanatoka au...
  14. Isimilo

    Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    huyo jamaa anayeongelea DNA hajui anachoongea. DNA Inaweza kuchakachuliwa pia. kaulize kuhusu HIV viruses. wao wanachakachua RNA kutoka kwa huyo mtu mwenyewe hawatengenezi za kwao
  15. Isimilo

    Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    nataka jk aende flat chini humohumo bungeni
  16. Isimilo

    Matokeo ya Chadema Kususia Hotuba ya JK na Kuapishwa kwa Pinda

    kumbukeni misimamo kama hii ndiyo iliyoweka international pressure kule zanzibar mpAKA CCM wakakubali ubiya. CHDEMA are so right.
  17. Isimilo

    Elections 2010 Waliopiga kura Oktoba 31, milioni 12 walienda wapi Jumapili ile?

    mkubali msikubali. sababu kubwa ni kitendo kilichofanywa na yule mnadhimu mkuu wa jeshi kuongelea habari ya usalama kwenye vyombo vya habari akisisstiza kwamba jeshi halitakubali uvunjifu wa amani. tafasiri ilikuwa ni kuwatisha wananchi. na wananchi waliielewa hiyo message yenyewe. nakumbuka...
  18. Isimilo

    Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

    Originally Posted by Isimilo Intimacy zinaniambia 6 kuwa PM Intimacy? Kikwete mpenzi wako? Forgive 7x70 Per Day. Jesus Quote. I therefore forgive you free of charge. be blessed
  19. Isimilo

    Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

    Intimacy zinaniambia 6 kuwa PM
Back
Top Bottom