Search results

  1. K

    Msaada Wakuu wangu

    Naomba kuelekezwa hatua za namna ya kum PM mtu.:yawn:
  2. K

    Wakuu naomba sana msaada wenu kwa hili

    Jamani hii Zenith Teachers Junction hapa Dar iko mtaa gani?
  3. K

    udom interview

    naomba wakuu kama kuna mtu anataarifa zozote kuhusu matangazo ya interview kwa kazi walizo tangaza mwezi uliopita katika chuo kikuu cha dodoma anifahamishe. Tafaadhali.
  4. K

    Natafuta kazi ndugu wana JF

    Ndugu wana Jf mimi ni Mwalimu wa Geography na History kwa College, A-level na O'level. Naomba mnisaidie kupata kazi. Nimendika maombi mashuleni mpaka basi, akuna chochote. I have a Bachellor of Arts with Education.(BA-Ed) Au kazi yoyote inayoendana sifa hiyo niliyonayo.
  5. K

    tafadhali jamani, natafuta rafike wa kike

    mimi ni mgen katika safu hii. natafuta rafiki wa kike anayeweza kuwa mke hasaaa, kuanzia miaka 18-24. asiwe mnene wala si membamba, na sio mrefu na si mfupi.nina urefu wa 182cm.
Back
Top Bottom