Search results

  1. M

    Elections 2010 Wabunge wasiotakiwa kurudi bungeni 2015

    Mie kama ingekuwa hiari yagu unafukuza wote unabakisha Magufuli peke yake na unaanza upya uchaguzi wa Rais na Wabunge wake maana hilo Bunge ni hasara tuu, Kwanza yanalalalala tuu hapo Bungeni.
  2. M

    Leo ni Wizara ya Magufuli

    Huyu ****** anamchukia Magufuli sababu ni wa ukweli huwa achakachui mambo. Mimi pia namkubali msukuma mwenzangu maana hana mchezo kwenye kazi bwana.
  3. M

    Israeli-long live

    Israel ni taifa pekee la lililoteuliwa na Mungu tangu enzi za Abrahamu jamani hii naamini inahusika sana mambo ya kwenye Bible waungwana. Na litaendelea kubarikiwa hivyo hivyo na sisi tutabaki na umaskini wetu mpaka kizazi cha 10,000.
  4. M

    2011 ni mwaka wa Mfumuko wa Bei, maisha magumu na Ujambazi juu!

    Bado kuambiwa chakula kwa mgao sasa.
  5. M

    Dr. Asha Rose Migiro: The next president?

    Mhh waswahili wanasema Band moja miziki tofauti. Mhh mie Safari hii CCM hawapati kura yangu hata waseme sijui nini. tumechoshwa na uwongo wao.
  6. M

    Pengo amtolea uvivu Kikwete

    kweli MR President ni mnafki sana ndio maana anapenda kusafiri kuepuka majukumu na kutoa maamuzi ya Nchi yanamshinda. Kusema kwamba sio nyie ni viongozi wa dini ndogondogo maana yake nini kama sio mchonganishi ndio maana alikimbia Monduli sababu ya uchonganishi huu huu afadhali this time...
  7. M

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    hahaha yani kweli inaonyesha ni kiasi anapenda safari then hizo pesa anazotumia kusafiri si angenunulia mitambo au angeongezea barabara zijengwe ili watu waondokane na adha ya Foleni. Yani kwa karne hii Tanzania bado maji ni mgao na kuna watu wanakunywa maji ya mferejini wakati Rais anaenda...
  8. M

    AL JAZEERA NAIROBI? why not DAR ES SALAAM?

    HAhhahahaha Viper umenichekesha Rwanda watuache mara ngapi?? Kagame anafanya kazi sio huyu Vasco Da Gama kutwa kuchekacheka kama nini sijui. Usafi tu wa jiji umetushinda.
  9. M

    Babu aliyetaka CCM ife kabla yake na kushangiliwa kwenye TV agongwa na gari na kufariki...

    Duu nimesikitika sana unakua hawa CCM wanahitaji sniper mmoja anakuwa invisible anaua mmoja mmoja kwakweli hawa watu wanatutesa sana Kha. Kalale mahali pema peponi Mahimbo.
Back
Top Bottom