Search results

  1. DongoJeusi

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Tukitoka ya hii ya vyumba viwili tuone na ya vyumba vitatu
  2. DongoJeusi

    Pikipiki za mizigo za miguu mitatu(3)

    Gharama zao pia ni hizi
  3. DongoJeusi

    Pikipiki za mizigo za miguu mitatu(3)

    Kuna Hawa wanajiita hekima na maelezo Yao haya hapa chini VIGEZO NA MASHARTI. 1. MTEJA ATATAKIWA KUWA NA KITAMBULISHO KIMOJAWAPO KATI YA HIVI (A) KITAMBULISHO CHA TAIFA AU NAMBA YA NIDA (B) LESENI YA UDEREVA (C) KADI YA MPIGA KURA (D) PASSPORT YA KUSAFIRIA (E) KITAMBULISHO CHA MZANZIBARI 2...
  4. DongoJeusi

    Forex traders naombeni msaada tafadhari

    Data moyo wako unavyosema mbali na hapo utakuja jutia
  5. DongoJeusi

    Naomba mawazo ya biashara ya viazi

    Kiongozi kama hutojali gharama ya kujaza fuso ya viazi huwa inafika kiasi gani kulingana na misimu?
  6. DongoJeusi

    Nina laki sita, nifanye biashara gani?

    Kwahiyo laki sita kama una laptop tayari unaweza ukaenda kuchukua printer mpya ambayo inauwezo wa kuprint, scanning, na kutoa copy ipo EPSON yenye uwezo wa hivyo. Kuanzia hapo wateja wako wa kwanza ni wale wanaokuzunguka.
  7. DongoJeusi

    FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

    Huyu referee mwanadada anaitwa nani?
  8. DongoJeusi

    Waarabu na Wahindi wanawezaje ku-manage biashara kubwa wakiwa na umri mdogo?

    Sisi kwetu unasubiri uwaminie Ili umlize aliyekuamini
  9. DongoJeusi

    Nilichukua mkopo katika taasisi ya kifedha inayoitwa maboto. Lakini kila nikitaka wanipe balance yangu ili niwalipe hawataki

    BOT aende kufanyaje Mzee acha kumpoteza mwanzako, hiyo ni biashara huria microfinance hawapangiwi riba na BOT. UZEMBE: wanaingiaga kwenye mikataba bila ya kupitia wakiona PESA wanasahau kusoma mikataba mwisho wa siku wanakuja kulalamika
  10. DongoJeusi

    Nipo Dar, nahitaji hustler mmoja anipe idea ya kuwekeza 400k then nipate Angalau faida ya 20k kwa siku

    Kwa mtu kuja hapa jukwaani na kuuliza huwa ni mwanzo mpya wa tafiti...
  11. DongoJeusi

    Biashara ni second chance?

    Kwahiyo ni nafasi ya pili baada ya nafasi ya kwanza pesa kupatikana kupitia kazi
  12. DongoJeusi

    Ninabiashara ya duka la chakula ninahitaji mkopo kutoka Bank

    Kwanini useme microfinance au bayport ni matapeli kumbuka anayepewa mkopo ni ana akili timamu ndio maana kuna mikataba hujazwa kabla ya mkopo kuhidhinishwa
  13. DongoJeusi

    Madeni na kampuni za kukusanya madeni

    Madeni kwa watumishi hususani askari magereza, askari na wanajeshi huwa mnatumia mbinu gani ?
  14. DongoJeusi

    Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

    Fungua kampuni ya ukopeshaji hasa deal na watumishi wa umma kwa maana dhamana ya mkopo atakaochukua ni mshahara wake wa kila mwezi. pia zingatia riba utakayowachaji ushauri wangu tumia 20% kwa mikopo itakayolipika ndani ya mwenzi na 40% kwa mikopo itakayolipika ndani ya miezi minne...
  15. DongoJeusi

    Tanzania haina Mapato ya kubeba ongezeko la Mishahara yote kwa asilimia 23.3%

    Kwa akili ndogo unaweza gundua ili kama mapato yetu kabla ya ongezeko la mishahara ni trilioni 1.5.... ni wazi kuwa baada ya ongezeko hata mapato ya nchi yanaweza kuongezeka kwa kiasi kadhaa.
Back
Top Bottom