Search results

  1. zzecaere

    Wapi nitapata dawa hii inaitwa Dapson Tab

    Wakuu poleni na majukum, Naomba msaada wapi naweza pata hii dawa (dapson tab) nlienda na mgonjwa wangu kwa dermatologist alikuwa na kidonda mguuni akaandika hiyo dawa nimezunguka maduka yote hapa mbeya nimekosa. Tafadhali msaada
  2. zzecaere

    Mshamba ni mtu wa aina gani?

    Wakuu naomba kuuliza, mshamba ni mtu wa aina gani? Au maana halisi ya mshamba ni ipi?
  3. zzecaere

    RUSHWA SERKALINI

    Habali za mihangaiko wakuu. Kumekuwa Na tatizo la ajira tangu 2016 Na kila zikitolewa ni za mafungu vijana tunajikunja kutuma maombi lakini wahitaji wanachaguliwa wachache ,nlishitushwa Na wimbi kubwa la watu waliodawload vyeti vya fani Na kukuta wamekuwa kwenye list ya waliopangiwa vituo nkata...
  4. zzecaere

    HODI JF.

    Naomben seaty wakubwa . heshima yenu. [emoji112]
Back
Top Bottom