Search results

  1. T

    Ivory Coast hiyoooo Nusu Fainali AFCON kwa kuifunga Mali magoli 2-1

    Tanzania vs Zambia au umejizima data?
  2. T

    Simba tunarudia makosa tena yale yale. Tatizo liko hapa

    Wazee wa takwimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. T

    Je, Yanga kumpoteza Gamondi na Max!?

    Duuu njano mmoja tuuu!!
  4. T

    Huu uongo na utapeli wa familia ya Dewji itaisha lini kwa Wanasimba?

    Tuishie tu kwenye Simba katolew…….
  5. T

    Gharama za kutuma pesa kutoka benki za ulaya kuja Tanzania, CRDB

    Samahani ndugu, unaongelea Wall Street au Worldremit? Hiyo Wall Street nini ?
  6. T

    Gharama za kutuma pesa kutoka benki za ulaya kuja Tanzania, CRDB

    Anayetakiwa kufahamu hizo gharama ni wewe unayetumiwa au anayetuma? Kwa maana yeye anayetuma ndio anatakiwa kulipia lakini wewe unayepokea ni swala la kumpatia Acc nr yako au IBAN mchezo umeisha :Ushauri mwengine kama pesa ni kiasi kisichozidi milion 10 anaweza tuu kukutumia kwa WesternUnion...
  7. T

    Kama una uwezo huu usikimbilie Majuu!

    Mtasema yoooote lakini bado tuu Amerika itabakia kuwa hivyo na Ulaya itabakia kuwa hivyo hivyo hata siku moja utoweza kulinganisha na Afrika, maana hata uwe na mipesa yako Afrika siku umeugua ndio utajua kwanini mtu anaona bora apige box la maisha Ulaya na Amerika,, hoja mbovu sana hii na mara...
  8. T

    China kuimiliki Afrika yote ifikapo 2040(?)

    Propaganda za Marekani na nchi za Ulaya wanaona mchina anatoboa kiuchumi kupitia Afrika wanaanza unafki, Afrika lazima ujiulize pia miaka karibia 50 hao Wazungu waliifanyia nini Afrika, sasa hivi kaingia mchina Afrika ukienda kila nchi unakuta miradi ya miundo mbinu, reli, barabara ,madaraja...
  9. T

    Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

    Lazima kula mafuta mzee au wewe ulitaka gari inayokunywa supu?
  10. T

    Wajue watu kumi waliobahatika kuishi miaka mingi duniani

    Tatizo Data ndugu yangu, hao waliowekwa vyeti vinadhibitisha hivyo sasa sisi taratibu za vyeti vya kuzaliwa kujua tarehe gani mtu kuzaliwa tumeanza Mwaka 1960 mpaka leo hii uzao kibao wa watu awajui tarehe zao za kuzaliwa, ukisema bibi alizaliwa enzi za mtemi Mirambo bado aijitoshelezi...
  11. T

    Ni kipi hasa kinachokufanya uwe na wivu kwa mkeo?

    Ingekuwa busara sana ungewatamani wakiwa kwao kama ulivyosema hapo juu, kwanini utake kushea mke wa mtu, wakati unajua kabisa neno lenyewe limejitosheleza MKE WA MTU? sio wako huyo ndugu yangu. Tafuta wako ufurahie maisha.
  12. T

    Ni kipi hasa kinachokufanya uwe na wivu kwa mkeo?

    Tatizo lenu nyinyi wadandia wake za watu ni waaribifu tuu hakuna lolote mnaloweza, mtu kaoa mke wake anamtunza vizuri na kumgharamia kila kitu, wewe unaona kapendeza unaleta tamaa na uroho wako wa kiaribifu, wakati unajua kabisa uwezi kufanya hayo aliyofanya mwanaume mwenzako mpaka ukatamani mke...
  13. T

    Tendo la ndoa: Kwanini hufanyika sirini

    Jiulize kwanza kwanini wewe utembei uchi hadharani, kwanini uficha uchi wako?
Back
Top Bottom