Search results

  1. ngozimbili

    Mwenyekiti wa Bunge Mh. Zungu unamlinda nani katika hili

    Wakati wa kutoa mchango wake Mh. Zitto Kabwe kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani kama ilivyo ada alipewa dakika 5 lakini kwa mshangao mkubwa Zitto aliongea dakika 2 sekunde 54 na mh Zungu akamwambia dakika zake 5 zimeisha. Swali langu kwa Zungu unamlinda nani??
  2. ngozimbili

    Maafa kampeni ya Clinton?

    Wikileaks wamechapisha E- mails walizozidukua zaidi ya 20,000, kutoka DNC, huku baadhi zikionyesha kuwa bibi Clinton alibebwa dhidi ya mpinzani wake Bernie Sanders, huu ndio mwisho wa bibi Clinton? Ni suala la kusubiri na kuona.
  3. ngozimbili

    Zanzibar: Haki na ukweli ni vitu vikaidi

    Watanzania wenzangu,mapambano kati ya haki na batili,wema na uovu hayakuanza leo na bila shaka hayataisha leo, siku chache zijazo mh. Rais atalizindua bunge la JMT huku kukiwa na sintofahamu ya uchaguzi na matokeo ya Zanzibar. Bila shaka wenye kuitakia mema nchi yetu wa ndani na wa nje...
  4. ngozimbili

    Uchaguzi Zanzibar: Anguko la kwanza la Rais Dk. Magufuli

    Bila shaka wengi tunakubaliana na utendaji wa mh. Magufuli,lakini nafasi aliyonayo pamoja na utendaji lazima uwe na muono wa vikwazo vitakavyokwamisha utendaji wake mahiri (ambayo kwa maoni yangu ndio nguvu pekee ya dk. Magufuli angalau kwa sasa).Kutangazwa kufutwa kwa matokeo Zanzibar kunaleta...
  5. ngozimbili

    Hivi ndivyo tutakavyomkwamisha Dk. Magufuli

    Kwanza niondoe shakashaka yoyote juu nia,uwezo na sababu za DK MAGUFULI za kulipeleka taifa letu tunalolipenda sana kwenye ustawi. Lakini napata mashaka makubwa kama taifa kwa maana ya wananchi tupo tayari kushirikiana na Rais wetu kuelekea tunakokukusudia, tulitarajia baada ya uchaguzi kuisha...
  6. ngozimbili

    Tanzania inaelekezwa kaburini

    Mfululizo wa matukio unaonyesha kuwa nchi yetu imeianza safari rasmi ya maangamizi,vitisho,mauaji,uteswaji wa raia katika namna ambayo haijawahi kutokea kabla,milipuko ya mabomu kuanzia kwenye mikutano ya kisiasa mpaka kwenye nyumba za ibada.kumwagiwa tindikali mashaikh mpaka risasi...
  7. ngozimbili

    Diwani mbaroni kwa kubaka

    Diwani kata ya Nyugwa wilaya ya Nyang'hwale, mkoa wa Geita,(CCM) ametiwa mbaroni hivi punde kwa kubaka mwanafunzi, uongozi wa wilaya akiwemo mbunge wa Nyang'hwale wanatoa shinikizo kwa OCD amwachie huru. Naweka namba ya simu ya ocd 0787413312.
  8. ngozimbili

    Naam yametimia

    Viashiria vyote vya kuonyesha kuwa taifa letu limeshaianza safari ya kuelekea kwenye Maangamizi yake yenyewe imeshaanza, kwa hakika watu wema walikwishatuonya kwa namna tunavyoendesha nchi lakini sikio la kufa. Ufisadi umetamalaki kila mahala ambao kama ilivyo ada ukazaa ugumu wa maisha kwa...
  9. ngozimbili

    Wizi wa kimachomacho tena wa mchana: Wabunge wa Dar mko wapi?

    Kumekuwa na operesheni ya kukamata pikipiki kwa madai hazina kibali cha kuingilia katikati ya Jiji,kwa kadri ninavyojua hakuna she ria inayozuia pikipiki kuingia katikati ya Jiji isipokuwa pikipiki za makampuni au zenye vibali maalum kama IPO she ria ya kibaguzi namna hii itakuwa she ria ya...
  10. ngozimbili

    Katiba mpya na ndoto ya mwendawazimu

    Kwa hali ilivyo sasa ni ndoto ya mwendawazimu kupata katiba mpya achilia mbali iliyo bora,tatizo ni pale wajumbe walio wengi walipokataa mapendekezo ya tume( wana haki).kwa maini Yang rasimu imejengwa juu ya msingi wa serikali 3.ukitaka tofauti na hivyo inabidi uachane na rasimu an za mchakato...
  11. ngozimbili

    Mnaomtanguliza Wassira mnayajua haya?

    Katika mambo ya kushangaza ccm imekuwa ikimtumia sana Mh Wassira katika mijadala mbalimbali na kuthibitisha chati yake IPO juu agliongoza kwa kura aliposhinda ujumbe was halmashauri kuu ccm taifa na amekuwa akitajwa ktk wanaokitamani kiti cha enzi lakini with wanasahau huyu jamaa alishapatikana...
  12. ngozimbili

    Ukweli kuhusu intarahamwe zanzibar

    Nimepitia katika wikipedia kuhusu historia ya Zanzibar kwa mshangao mkubwa kumbe kumetokea genocide Zanzibar wakati wa mapinduzi na watu 20,000.wenye asili ya kiarabu.kwa hio nadharia ya interahamwe bado ipo.ndo maana kuna watu wanapinga muundo wowote ambao haulindi usalama wao na wapo tayari...
  13. ngozimbili

    The Unsung Hero: Lipumba Hotuba yake nzito imeliunganisha Bunge

    Prof Lipumba akitoa maoni yanayoaitwa ya wachache ambayo kimsingi ndiyo maoni ya wananchi ametoa hoja nyingi nzito miongoni mwake ni kuwa rasimu ya katiba ina misingi na kuikataa misingi ni sawa na kuikataa rasimu yenyewe mabayo ni maoni ya wananchi, na msingi wake ni serikali 3. Kuikataa...
  14. ngozimbili

    Wanawake acheni mambo waume mnatumaliza!

    Kila jamii katika dunia yetu hii ina utamaduni wake.na sisi waafrika tuna utamaduni wetu.lakini kwa siku za karibuni utamaduni wetu umeingia katika mapambano makali na tamaduni zingine hasa za magharibi.na mapambano makubwa yapo kwenye mavazi hasa ya wanawake.tatizo linakuja pale mitindo ya...
  15. ngozimbili

    mh.rais kuzindua mgodi kwenye ardhi inayodaiwa kuporwa?

    mh.rais anatarajia kufanya ziara ya kikazi katika wilaya mpya ya nyanghwale,katika moja ya shughuli atakazofanya ni kuzindua rasmi mgodi mdogo wa kisasa unaomilikiwa na mfanyabiashara ambae pia ni mbunge wa jimbo hilo.lakini pia kuna malalamiko ya wanakijiji wa kijiji cha mwamakiliga wakidai...
  16. ngozimbili

    Kwa nini Richmond?

    Kwa muda mrefu watanzania wamekuwa wakipiga kelele kuhusu mkataba unaoitwa wa kinyonyaji wa Richmond.lakini jambo la kushangaza ni kuwa Tanesco imeingia mikataba ya kinyonyaji mingi tu na mingine ni ya kinyonyaji mara 4 ya Richmond.mfano i.p.t.l.,songas,na aggreko.mi nilidhani kama tunapiga vita...
Back
Top Bottom