Search results

  1. Itovanilo

    Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Mbona ni mrembo tu, Vipi mkuu ulishapita hapo ukaona kuta zimelegea? Au yale yale ya sizitaki mbichi hizi?
  2. Itovanilo

    Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Mdude mbona plugs hazichomi hili lipo wazi
  3. Itovanilo

    Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Biashara yeyote inayolipa unaiachaje mkuu [emoji23]
  4. Itovanilo

    Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Umeandika kwa uchungu sana
  5. Itovanilo

    Mgunda atatuvusha Afcon, Sina Shaka nae

    Kazi ipo huko Abdjan[emoji23]
  6. Itovanilo

    Kampuni ipi ya kuandaa Movie inakukosha?

    Universal
  7. Itovanilo

    Rosa Lee na kibao kipya mjini, ina too deep

    Nimesikiliza huu wimbo japo kajaribu kusound kama Nick Minaj au Cardi B lakini kiukweli kujitahidi sana kuflow kizungu ambacho wengi wetu wanashindwa kwani hata wakiandika vizuri mistari ya kimalikia lakini kwenye matamshi kinawapiga chenga. Hongera Rosa Lee, hii ni ladha mpya mjini. Wimbo...
  8. Itovanilo

    Vijana tutapataje wake wema? Hata kama siyo bikira tunaweza jivunia kuwa nao?

    Hivi wewe mwajuma upoje, Uliaga unaenda Kariakoo ikawaje uende kigamboni? Hujui hivi ni vyombo au unataka watu tuonekane waongeaji,alilalamika Sofia Haaaaa Da Sofi mambo gani hayo unasema kwani umesahau nilikwambiaje,si nilisema yule nisipomkuta dukani kwake basi nitavuka maji hadi nyumbani...
  9. Itovanilo

    Vijana tutapataje wake wema? Hata kama siyo bikira tunaweza jivunia kuwa nao?

    Aisee nimeedit hii ni ya mwaka huu ni kama wiki tatu tu zilizopita,hii simu nimeikaririsha vitu vingi
  10. Itovanilo

    Vijana tutapataje wake wema? Hata kama siyo bikira tunaweza jivunia kuwa nao?

    Habari jamii forum,hope mu wazima mpaka mme log in humu basi mambo ni yente. Bila kupepesa macho kisa kipo hivi, Mwanzoni mwa mwezi wa kumi na moja mwaka huu 2023 nilikuwa natoka job,nikiwa natembea fasta kuja zinapopark Bajaj ili nidandie na kuelekea maskani. Basi kutokana na mvua za hapa na...
  11. Itovanilo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ahsante sana mkuu , nimeelewa
  12. Itovanilo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu maofisa ubashiri naomba kuuliza,hasa Sportybet Kwa mfano ukiflex mkeka wako wa mechi kumi na tano , halafu zikachana mechi tatu unalipwa? Au utaratibu ukoje, maana Kuna jamvi lilikuwa na mechi 15 zimechana tatu lakini , hawaneshi nimewin au lost , je inakuwaje? Nitashukuru kwa ufafanuzi...
  13. Itovanilo

    FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

    Aziz kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Master key [emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji172]
  14. Itovanilo

    Tatizo la Waislamu ni kwamba dini yao ni nzuri lakini hawaifuati

    Siku watu wakitambua kuwa wanatakiwa kuwa na 1.Imani yaani kumuomba MUNGU 2.Hofu ya MUNGU 3.Shukrani kwa MUNGU Dini ni upuuzi fulani ambao umewagawa binadamu na kujikuta badala ya kutengeneza amani wanatengeneza mabalaa Kila iitwapo leo
  15. Itovanilo

    Usichanganyikiwe na Dunia, mambo ndivyo yalivyo. Tuna Wanawake Malaika lakini hatuna Malaika wa Kike

    Kwanini nilichelewa kuona hii post , Hongera mwandishi yaani nondo tupu
  16. Itovanilo

    Hongera Yanga, hongera Tanzania

    Mpira wa Tanzania umekua hili halina shaka, nadiriki kusema Tanzania ndiyo nchi inayoongoza kuwa na wapenzi na mashabiki wengi wa mpira afrika mashariki na Kati. Kitu ambacho kilitushinda sisi na vilabu vyetu ni uwekezaji wa mpira, yaani mguuni hatukuwa na mpira lakini leo hii kirahisi na bila...
  17. Itovanilo

    Hongera Kibu Denis Prosper

    Dogo yupo vizuri
  18. Itovanilo

    Hongera Kibu Denis Prosper

    Kiukweli mpira wa Tanzania ili utoboe unahitaji kujituma, kutokata tamaa na uvumilivu wa viwango. Kiukweli Mimi ni shabiki na pia mwanachama wa Dar es salaam Young African, naipenda sana hii timu na huwa naumia sana pindi ikifanya vibaya, lakini yote kwa yote mpira huwa na matokeo matatu...
Back
Top Bottom