Search results

  1. mugah di matheo

    Lori lililobeba mafuta limepinduka Kibaha, wananchi wachota mafuta bila woga

    Halafu baadae tuanze kutenga siku ya kuomboleza.. But umasikini mbaya sana
  2. mugah di matheo

    Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

    Duh,,ndio upi huo mlima?? Au ndio ule uliopo Nzovwe?
  3. mugah di matheo

    Kuna tatizo lisilojulikana Simba. Hata umlete Vinicius Jr, timu utaiona kama Namungo tu

    Naungana na wewe.. Mkude saivi anawaka halafu Abdalah Hamis haonekani anachofanya..Kuna kitu behind the scenes
  4. mugah di matheo

    Simba mnatutesa ila jipu la kuonekana haraka ni Benchika

    Huyu jamaa anadharau na kiburi bila sababu halafu hayuko flexible. Mfano mechi ya marudiano na Al Ahly ilikuwa na haja gani kuanza na false namba 9? Mechi za ndani ugenini Kama ya Ihefu na mashujaa hakujua plan ilitakiwaje? Anarudi na plani zake zilizofeli kwenye mechi iliopita? Sub zake ni za...
  5. mugah di matheo

    Dada wa Wema Sepetu akutwa na hatia ya utakatishaji fedha Marekani

    Sio sunna ya kiarabu ni Suna toka Singida
  6. mugah di matheo

    Napendekeza Kikosi cha Simba SC dhidi ya Al Ahly FC Ijumaa kiwe hiki, wewe je, chako ni kipi?

    Utake usitake 1.Ayoub 2.Kapombe 3.M.Husein 4.Che Malone 5.Inonga 6.Babacar(mzamiru) 7.Kibu 8.Ngoma 9.Fred 10. Ntibazonkiza 11.Chama
  7. mugah di matheo

    Nina Milioni 16, naombeni ushauri

    Upo wapiii?? Kama upo karibu na miji au pembezoni mwa mji fuga ng'ombe wa3 wa maziwa hapo utatumia 10M ikiwa kununua kiwanja,,,kununua ng'ombe for 2.5M @ wawili na moja ukanunua 2.8M..... Hapa Pato ghafi litaanzia 45,000 per day hadi 90,000 depend na ulipo so within 3 mounth had 6mounth kutokana...
  8. mugah di matheo

    TANZIA Ramadhani Wasso afariki dunia

    Mitandao mingi inaonyesha was born in August 1984
  9. mugah di matheo

    TANZIA Ramadhani Wasso afariki dunia

    Ni mrundi yeye
  10. mugah di matheo

    TANZIA Ramadhani Wasso afariki dunia

    Yule beki kisiki wakushoto Ramadan Wasso amefariki dunia Leo nchini Burundi akiwa na miaka 39..... Alikuwa sehemu ya kikosi Cha Simba sc kilichotinga makundi cafcl 2003. --- Beki wa zamani aliyekipiga Simba SC na Yanga SC, Ramadhan Waso, raia wa Burundi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 25...
  11. mugah di matheo

    TFF, toeni maelezo kwanini Baraka Kizuguto anatuhumiwa kwa kuibeba timu kongwe kuhusu usajili wa under 20

    Yanga ishushwe tu hamna namna maana hata mwaka Jana aliwabeba kwenye usajili wa Tuisila ulikua nje ya Muda
  12. mugah di matheo

    Kariakoo derby ya U20 ya yayeyuka kutokana na Yanga kutosajili

    Ilikua zikutane leo Simba U20 na Yanga U20 Ila Simba wamegoma kuingia uwanjani kutokana na Yanga kutumia wachezaji ambao hawakusajiliwa. Nisikuchoshe kiufupi Yanga hawana mchezaji waliemsajili kutumikia u20 kwa msimu huu.
Back
Top Bottom