Search results

  1. kinepi_nepi

    Kwanini Viongozi wa Serikali wakienda Houston Texas hawataki kuzungumza na watanzania?

    Kasema hataweza kuonana na watanzania waishio Houston.
  2. kinepi_nepi

    Kwanini Viongozi wa Serikali wakienda Houston Texas hawataki kuzungumza na watanzania?

    Ni kawaida kwa viongozi wakisafiri kwenda nchi za nje wanapenda kukutana na watanzania ili kuweza kuzungumza nao ama kueleza hali halisi ya hapa tanzania na wale walioko nje kueleza kinachojiri huko walipo, inakuwa hali ya kubadilisha mawazo, kuelimishana nk. Ajabu ni kwamba viongozi wengi wa...
  3. kinepi_nepi

    Sabodo aifunda Serikali jinsi ya kuondoa Msongamano katikati ya Jiji

    liwe na insurance ya nguvu maana kuna siku tutaokota vipisi chini. Magari ni mazito sana sijui lilijengwa kuzingatia utaalamu wa ujenzi.
  4. kinepi_nepi

    Barabara za Same hazifai. David Matayo na Anna Kilango Mpo?

    Dr Mathayo David kafukuzwa uwaziri, sijui atakwenda Suji kuwasalimu aliowatenga?????
  5. kinepi_nepi

    TAARIFA kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA, kilichomalizika leo Jan 04, 2014

    Kesi iko mahakama kuu kwa ajili ya kuisambaratisha CDM. Wakili Msando anaamini anaweza kumlinda ZZK kisheria ili abaki CDM, watumie fedha za CCM ili waweze kuifanya CDM kama NCCR na TLP vyama vya upinzania vinavyopokea fedha za chama tawala na kuwa upinzania jina. ZZK amepewa ahadi za kihuni na...
  6. kinepi_nepi

    Wakili Albert Msando diwani wa kata ya Mabogini

    kamanda usilete ushabiki hapa, shule ya kata iliyoko hapa karibu na kanisani kajenga matundu hapa? Na hiyo picha yako haina maana yeyote, anaweza kuwa alikuwa shambani kwake, lile kalavati limejengwa miaka 25 iliyopita anakagua nini pale kalizibua au? Msando hapatikani kwenye kata. Na wanaosema...
  7. kinepi_nepi

    Wakili Albert Msando diwani wa kata ya Mabogini

    Mradi tunaishi nao miaka zaidi ya 25 sasa, alikagua nini hapo? Wakati mradi unapanuliwa mwanzoni mwa miaka ya 90 tulisema tunahitaji vyanzo vya uhakika vya maji pamoja na kuhifadhi maji. Kuna ngonjera za uhaba wa maji, zimekuwepo kwa muda sasa, na Msando alitumia hiyo kushinda tunataka majibu...
  8. kinepi_nepi

    Wakili Albert Msando diwani wa kata ya Mabogini

    Inawezekana unafikiri kama hao majuha. Tatizo la uongozi Mabogini linahusiana vipi na ufuasi. Tatizo la maji linalohitaji uongozi na mtetezi linahusiana vipi na ufuasi. Mabogini wanataka uongozi utakaowasaidia kutatua shida zao, walimpa Msando kura za udiwani wakijua watasaidiana kutatua tatizo...
  9. kinepi_nepi

    Wakili Albert Msando diwani wa kata ya Mabogini

    wananchi wambogini hawawezi kumchagua mgombea wa CCM, hilo lipo wazi, wanataka Diwani wao afanye kazi, na kama akishindwa atachaguliwa diwani mwingine mchapa kazi kwa ticket ya chadema. Tafauti ya CCM na CDM ni chama kufuatilia watendaji wake. Kilio cha wananchi husikilizwa na CDM kuliko CCM...
  10. kinepi_nepi

    Wakili Albert Msando diwani wa kata ya Mabogini

    Kamanda mimi mzaliwa wa Mabogini, nataka Msando aje hapa aseme ni kipi amekifanya na hivyo vyoo viko mtaa gani. AU akanushe kimoja nilicho andika. Aseme mara ngapi kahudhuria vikao vya madiwani achana vya kata. Huko facebook wananchi wa Mabogini hawawezi kusoma, hakuna hata internet Cafe hapa.
  11. kinepi_nepi

    Wakili Albert Msando diwani wa kata ya Mabogini

    Unaujua msukule wewe? Wewe upo upande upi wa Msando au niambia nijue natafuta Masalia walipo jificha popote walipo.
  12. kinepi_nepi

    Wakili Albert Msando diwani wa kata ya Mabogini

    Ukisoma huo waraka huhitaji kujua kuwa ZZK kajiandikia na kujisambazia-Hakauna juha wa kuandika waraka mbovu na mbaya kama huo zaidi ya ZZK, Dr K, Shoza, Mwampaba, Habibu, Ludovick. Na bado wanatengeneza tamhtilia nyingi sana.
  13. kinepi_nepi

    Wakili Albert Msando diwani wa kata ya Mabogini

    Kwa sala na dua za watu wa Mabogini Chami aliondolewa uwaziri mwaka au miaka miwili iliyopita.
  14. kinepi_nepi

    Wakili Albert Msando diwani wa kata ya Mabogini

    Kamanda wakili Albert Msando ni diwani wa kata ya mobogini moshi vijijini kwa tiketi ya chadema. Nilijua jina hili nilipofika mabogini kwa shughuli mbalimbali nikiwa na kombati za chama, mara vijana wengi wakanizunguka na kuniuliza kama ninamfahamu Albert Msando diwani wao. Nikawaambia simfahamu...
  15. kinepi_nepi

    Je kamati za Bunge kupewa posho na MASHIRIKA ni kosa?

    Walishiba posho za kirushwa kwanza kazi kweli kweli
  16. kinepi_nepi

    CHADEMA yakaribia kupasuka

    Yote yametokea ..................................
  17. kinepi_nepi

    CHADEMA imekua na imekomaa hata wazandiki wamekubali

    CDM, peoples power, nguvu ya umma. Chama hiki kimejengwa kwenye misingi ya wananchi, wananchi kujitawala na kuhakikisha wanajikomboa kiuchumi, kielimu na kifrika. Miaka ishirini tangia kimeanzishwa na wazalendo wasomi, leo tunakiona chama hiki kutapakaa ndani ya nje ya nchi, huku kikisogelea...
  18. kinepi_nepi

    Yatima abakwa, atishiwa kuuawa - wenye nchi na wanaharakati kimya!

    Kama umezaa na unamtoto wa kike utaelewa. Kosa alilofanya Prof Kapuya ilibidi nchi nzima tuwe barabarani. Huu ni unyama kwa msomi, mbunge, waziri tena alikuwa wa ulinzi kulindwa na dola baada ya kuthibitika kubaka. Kova, Makinda na yeyote aliyepewa hizi taarifa akakaa kimya serikali lazima...
  19. kinepi_nepi

    Mikutano, makongamano kamwe katu haitatatua matatizo ya kutokuelewana kidini-sheria tu

    Nchi ya Marekani ni kati ya nchi iliyokuwa na ubaguzi mbaya kati ya weusi na wazungu weupe. Ubaguzi huu kwa weusi ulipelekea weusi wengi kuuwawa kinyama, kwa kupigwa risasi kama nguruwe mwitu, kuvutwa nyuma na kuburuzwa kwenye magari, kubwakwa, kunyimwa huduma sehemu za jamii kama elimu, chakula...
  20. kinepi_nepi

    Mwenyekiti wa Bunge Khatibu na Lusinde wadhalilisha wabunge wanawake

    Wapo wanawake wengi wenye bidii, ujuzi, na wanaojiheshimu. Wapo wengi ambao hawahuskiki na uchafu unaosemwa. Wapo wengi ambao hawanunuliki kwa ngono. Leo tunataka kuwaambia nini watoto wetu wakike wanaojitahidi kila siku. Lugha za dharau na dhalilishi zinapotumiwa na mtunga sheria na msimamia...
Back
Top Bottom