Search results

  1. Desteo

    Kwa mambo makubwa anayoyafanya mtoto wa Tandale, kama wananchi wakimuhitaji tuu, Kubenea mpishe!.

    Acha kuingilia career za watu. Mwache bado muziki unamhitaji
  2. Desteo

    Aina 5 za aliens wanaowasiliana na dunia

    Aliens wote wazungu. Porojo tu
  3. Desteo

    Hivi huwa inakuwa kuwaje mpaka mtu anaamua kuoa?

    Utazimia siku unaombwa rinda ne me mwenzio
  4. Desteo

    Tetesi: Ansbert Ngurumo: Makonda anatafutiwa ubalozi

    Hahahaaaaa... Aende tu Msumbiji
  5. Desteo

    Uchawi upo, usidanganywe

    Bangi isipotokomea Mara basi tuendelee kushuhudia majanga Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Desteo

    Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!

    Pascal nimekuelewa sana. Wewe ni philosophical figure. Nilikuwa nataka kuharubu na kiments kadhaa ila nikabaini busara ndani ya huu uzi. Nami nijifanye mwanafalsafa kidogo. Tutegemee mema. Rais anaanza kutambua sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Desteo

    Kamba aliyoachiwa Makonda itamning'iniza na itatoa Somo

    Na mapaja yake yana mafuta ya kutosha kujikaanga Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Desteo

    Kuanzia leo mimi sio muumini tena wa Kanisa Katoliki

    Kanisa halina shortcut na halina mpango wa kwenda na wakati. Kanisa limekuwekea taratibu. Ukishindwa kuzifuata kaa kimya au hama tu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Desteo

    Muonekano Mpya wa TAZARA Flyover

    Tanzania nzima hakunaga
  10. Desteo

    Nikaribisheni

    Hapana bana. Ila mi mgeni
  11. Desteo

    Nikaribisheni

    Ah! Kumbe...
  12. Desteo

    Nikaribisheni

    Mi mgeni humu. Shikamooni
  13. Desteo

    Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa (SABA SABA ) ni kama yamekufa

    Unadhani kiingilio cha tsh 3000 kidogo? Unawaza kwenda na familia ya watu wanne unasema hapo imekata elfu 12. Vyakula ghali, bidhaa ghali, usafiri shida... Mtu anaamua kusema ataenda kumalizana Kariakoo. Wachawi wao wenyewe
  14. Desteo

    Dr Bashiru: Ni marufuku kwa watendaji wa CCM kufanya siasa za majukwaani,hiyo ni kazi ya wenyeviti!

    Mwenyekiti wake anamsikiliza anasema hiiiiiiiiii...
  15. Desteo

    Ulinzi mwingine ni kero sana

    Sisi hatuswali babu. Tunasali. La msingi hapo ni kero tu
  16. Desteo

    Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

    Hiyo fursa ya biriani na pilau tu
Back
Top Bottom