Search results

  1. J

    Nape Nnauye aibatiza jina CHADEMA

    Chandimu linawafaa sana linaendama vichwa vyao jinsi vilivyo huyu kijana anawajua watu kweli kweli.
  2. J

    Huyu Chifu Msopa ni Nani?Katumwa?

    chadema, wanaharakati wote kunguru.
  3. J

    KATIBA: Salim, Warioba wakutana na Dr. Slaa

    hao hawana uwezo, wanawaongopea chadema masikini. wanatafuta muafaka kwa kuwabembeleza ccm, cuf ndio kiboko ya ccm.
  4. J

    CUF ndiyo waasisi wa Mchakato wa katiba - Hamad Rashid

    Chadema wana agenda ya siri, wanatumika na kanisa, katiba itapita, upuuzi na ujinga wa cdm wanainchi tumeishauchoka.
  5. J

    CHADEMA waigeni CUF

    CUF na Chadema ni tofauti sana. CUF ina mtandao wa matawi na wanachama wake wapo matawi wakati Chadema wanachama wake wapo makanisani hawawezi kufanikiwa mpaka wapate support ya maaskofu hili ndio tatizo la CDM.
  6. J

    Hoja: Dr Slaa atambuliwe kama "baba mdogo wa taifa"

    ingependeza zaidi angekuwa baba yako mdogo wewe
  7. J

    Paroko; Rais Kikwete ni mwakilishi wa Mungu.

    waumini wa kanisa Katoliki wa Parokia ya kapalapala wilayani Chunya wametakiwa kumtambua Rais Jakaya Kikwete kuwa mwakilishi wa Mungu. Paroko wa Parokia ya Mlowo wilaya ya Mbozi. Padre Valelius Mandanje alitoa kauli hiyo Jumapili katika ibada Maalum ya Jubilii ya Paroko wa Parokia ya Vwawa...
  8. J

    Kumbe kuna watu wawili waliuawa Igunga.

    Tupo msibani hapa mburahati kuna kijana inasadikiwa kijana wa chadama anaitwa Okada aliuawa kwa kupigwa risasi na mjini igunga siku ya kutangaza matokeo ni kati ya vijana waliokuwa wanafanya maandamano kabla ya matokeo kutangazwa na inasadikiwa kuwa ameishazikwa ambapo leo wanandugu walifika...
  9. J

    Ndugu Julius Mtatiro: Naomba kuelimishwa..!!!

    Mtatiro ni mwelewa ndio maana yupo CUF kwa sababu ameangalia vyama vingine ni vya UKOO na UKABILA ndio maana amekaa CUF na nafsi yake imeridhika.
  10. J

    Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

    Ni maneno yaliyotamkwa na paroko katika kanisa kubwa la hapa Igunga, Udini unalipasua taifa letu masikini!!!!!
  11. J

    Elections 2010 CHADEMA waingiza Mungiki, Intarahamwe kuvuruga uchaguzi Igunga

    Akiongea baada ya kuulizwa na waandishi wa habari mbunge wa ubungo John mnyika amekiri kuwasili kwa vijana hao akidai kuwa wamekuja ili kulinda kura wakiwa katika coaster 10, tunaomba jeshi la polisi liwe macho na vijana hapo sisi tunatambua lengo lao ni kwenda kuvuruga uchaguzi.
  12. J

    Bila kuiba kura hawapati kitu!

    wamuibie nani chama chenyewe kipo kanisani
  13. J

    ITV acheni Kuichakachua CUF!!!!

    nilikuwa nataka waonyeshwe wazee wa vigango na vibibi vya vigango,
  14. J

    Masheikh wamuonya Kubenea na MwanaHalisi

    wakiongea na kuwasiliana na masheikh wa mkoa wa tabora katika kipindi maalumu cha Radio IMANI wamesema kitendo alichofanya said kubenea kwa kuandika habari isiyokuwa na uhakika huku ni kuudhalilisha uislamu, katika habari "DC Fatuma kimario si muislamu" wamesema kwanza mwenyewe aliishasema "kwa...
  15. J

    Said Issa Mohamed aionya CCM

    linalosemwa lipo, viashiria vya udini chadema vinaonekana ndio maana wanasema watu wanasema ni chama cha kidini.
  16. J

    BAKWATA NA BASUTA Hangaikeni na DC IGUNGA, QURAN Imechomwa Moto MWANZA

    kama alikufa kwa zambi zenu kanisani mnaenda fuata nini? acha uongo.
  17. J

    Waislam: Hoja ni hijabu si kupigwa kwa DC Igunga.

    waislamu tofauti nchini wanaendelea kulaani kitendo cha wabunge na wanachama wa chadema kumvua hijabu DC bi Fatuma kimario, wakiongea leo baada ya swala ya Adhuhuri katika msikiti wa Idrissa wamesema kama wao walimtuhumu kuwa alikuwa amevunja sheria kwa kufanya kikao wangemkamata si kumvua...
  18. J

    Jussa aongoza Mawaziri na wabunge Igunga

    Naibu katibu mkuu CUF Zanzibar Ismail jussa Ladhu ameongeza msafara wa mawaziri wa CUF na wabunge wa chama hicho kuelekea igunga. Akiongea na waandishi wa habari mjini Igunga Naibu katibu mkuu Julius Mtatiro amesema kuwa tokea tuanze kampeni 13.09.2011 zilizofunguliwa na Mwenyekiti Prof Ibrahim...
  19. J

    Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

    Baraza kuu la waislamu Tanzania BAKWATA limewataka viongozi wa chadema kuwaomba radhi waislam kwani kitendo walichokifanya wabunge wake ni udhalilishaji dhidi ya uislam kufuatia wabunge wake kumvua hijabu DC Fatuma kimario kwani udhalilishaji waliomfanyia ni kama wamewadhalilisha waislam wote...
  20. J

    Mh. Mnyika ndani ya zambia

    upuuuuuuuuuziiiíiiiiiiiii mtuuuuuuuuupuuuuu huenda hata baba yako au mama hujawanunulia dinner au lunch hata siku moja.
Back
Top Bottom