Search results

  1. S

    Ushauri kuhusu huyu mwanamke

    Mwanamke hata kama umeoa, bado atatongozwa tu.
  2. S

    Sema ukweli tu hivi usha - sex na wanaume/ wanawake wangapi

    Nakaribia kujaza Zongtong ya pili..
  3. S

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Kompyuta yangu ni HP Probook 450 G3 na processor yake ni core i7-6500U hii itakuwa katika kundi lipi.?
  4. S

    Natamani kupenda tena

    Usijali... utampata umpendae, uutulize moyo wako.
  5. S

    Wavivu ni wengi dunia hii

    du, hata mimi nipo kati ya hao. Ni hatari....
  6. S

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Admin naomba mniadd kweny grp la FTA kwa namba 0767674646
  7. S

    Msaada tafadhali, Nlipata tatizo la kisonono tangu mwaka jana

    pole sana ndugu, ona umuhimu wa kwenda hospitali nzuri, kwa ugonjwa huo, usione gharama kama ni tatizo, jali afya yako.
  8. S

    Msaada wa haraka: Utapeli unataka kufanyika kwa dada yangu huyu

    anayetanguliza hela kabla ya kazi kufanyika, huyo anawezekana asiwe mwaminifu. Kunauwezekano mkubwa, dada yako anaenda kutapeliwa.
  9. S

    Ndani ya siku 20 tu, Mabasi 34 ya DART, yashapata ajali

    wasipoweka taratibu za ziada yatakwisha yote...
  10. S

    Hapa ndo ninaposhindwa kumuelewa mwanamke

    Wanaishi kwa hisia finyu..... Ndo maana wanadaganyika haraka.
  11. S

    Ahmed Shabiby, Vedasto Mathayo matatani kwa uchakachuaji wa mafuta

    sijawahi kuona Shabiby anajaza mafuta mabasi yake katika kituo kile cha Makole, yawezekana ikawa kweli.
  12. S

    Ushauri tafadhali ; Rav 4 vs Pajero io vs Suzuki Escudo v6 vs Suzuki Escudo Vitara .

    rav4 iko poa, ila huwa inatengeneza tege tairi za nyuma.
  13. S

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    ni ADD please kwa group la FTA 0767674646
  14. S

    Wanawake na mapenzi yao kwa wagizaji tamthilia

    huyo mke ni tatizo kwa kweli....
  15. S

    Nawaza tu.....!

    ni kweli, pole....
  16. S

    Ushauri: Nampenda sana ila ana wivu hatari

    akiendelea na hiyo tabia ya wivu, sidhani kama mtadumu katika mahusiano yenu..... Kaeni pamoja muliongelee hili.
  17. S

    Kwanini "Service charge" ya TANESCO ni tatizo linalohitaji utatuzi wa haraka!

    kwa upande wangu sijawahi kutumia umeme wa zaidi ya unit 75, na nimeshawataarifu tanesco waniondolee service charge wamekataa na nimemaliza mwaka sasa bila mafanikio yoyote. Inaumiza sana.
  18. S

    Kwanini Magufuli hampongezi Makonda?

    Tatizo anayafanya haya kipindi hiki, kwanini hakuyafanya haya kipindi kilichopita cha Mh. JK
  19. S

    TANESCO yatangaza Kiama

    ha ha ha haaaaa.... TANESCO, mlikuwa wapi mda woteeee, watu wanaiba umeme mnashangaa.... Sasa fanyeni kazi, sio kubaki kulimbikizia watu bili na kuwawekea viwango ambavyo wateja hawastahili kulipa....!!
  20. S

    Jamani hii sasa imekuwa too much, inanikera sana

    mimi naona wewe ndo unajitongozesha kwa hao akina dada, chamsingi ongea nao kisha lala mbele sio unaanza kuingiza gia.
Back
Top Bottom