Search results

  1. E

    Solar Panel nafuu kutoka SNL Solar

    kwa sisi tulioko off grid tunaweza pata solarwaterpump ndogo
  2. E

    Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

    kwanza nianze kwa kusema Kuwa nimesoma jitihada zako, na zinatia hamasa sana, nafahamu kuna kijana mmoja alijaribu kuwalimia with pale morogoro miaka ya 2014 hivi, hakufanikiwa na sasa trekta lake kalipaki kama Gofu , huku akiwa anatumia vyanzo vingine vya mapato kulipia deni la mkopo wa...
  3. E

    Mwanaume mwenye hekima na heshima anahitajika

    heb tupia ujumbe mfupi kwenye no hi 0787193920 kwa mawasiliano zaid
  4. E

    Hongera Lema! Hongera Chadema!

    Kijana mwenzangu Nape, Hakika CCM kina kazi kubwa mbele yake, 1 CCM Inashitakiwa kwa wananchi kwa makosa yafuatayo Imeacha kabisa siasa za ujamaa na Kujitegemea ambazo ndizo siasa za kidugu 2 CCM Imeacha kuisimamia serikali hivyo kusababisa rasimali za nchi kufujwa 3 CCM imeruhusu gulio kubwa la...
  5. E

    "Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

    haya bana hebu tuelezeni vyema maana hili jeshi letu ndo la kulinda mai zetu na usalama wetu, sasa hawa makamanda wake mbona hivyo? Halafu hii taarifa ya Jeshi kukinzana na hali halisi ikoje? au ndio Intelijensia hiyo?
  6. E

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    Huwa ukweli haujifichi, mimi nahamu kujua lema aliwekewa dau la sh ngapi? Ili asaliti wana mageuzi pia lema hajatuambia hao wafanyaiashara aliopewa na mkubwa wa kumsaidia kama angekubali dili ni wakina nani? Na je wanalipaga kodi kweli? Ngoja hapa tutajua mengi hebu na tusubiri tuone
  7. E

    Hiki ndicho kilikuwa vikosi vya CCM na CHADEMA vya kampeni! Tucheki tofauti zao

    Pia tungeweza pata kujua CCM walitumia sh ngapi na CDM sh ngapi ingeleta pia maana kwa siku za mbeleni,kujua Goliati alikuwa nani na Daudi alikuwa nani ktk hili!
  8. E

    Hatimaye chadema yaipindua ccm arumeru

    Mwalimu aliwaasa ccm kuwa wakikumbatia viongozi wabovu watalia kilio ambacho watamkosa wa kuwafuta machozi, candiDATE WA CCM ANAKAA KAWE, YULE KANDIDETI WA CCM ANAYEITWA KAAYA ALIPIGWA CHINI KIMIZENGWE SASA UNATEGEMEA NINI, HUU NI USHUNDI WA HAKI KWAMBA HATA VITISHO NA NGUVU ZA FEDHA HAVIWEZI...
Back
Top Bottom