Search results

  1. M

    Kama unataka mali utaipata shambani

    c&p *BAADA YA MIAKA 20 MTAKUJA TANZANIA KUOMBA KAZI* Nilipokuwa mwanafunzi nchini Poland miaka ya 90, tulikuwa na tabia ya kwenda Sweden wakati wa likizo na kufanya vibarua mbalimbali hasa kwenye mashamba ya wakulima. Watanzania kutoka nchi mbalimbali za Ulaya Mashariki tulikuwa na sehemu zetu...
  2. M

    Kwa vijana ambao hatuna ajira na umri unaenda tufanye yafuatayo.

    Habari zenu wakuu na poleni na majukumu ya hapa na pale. Nianze kwa kusema ukitamani kuwa na maisha mazuri basi tamani kuteseka kwaajiri ya maisha mema huko mbeleni. Kuna vijana waliosoma ila ajira hakuna na niseme ukiona inasoma miaka 29-35 komaa sana kuumia ili ufikie malengo. Kwanza...
  3. M

    Vijana tunakosea wapi kwa maandalizi ya uzeeni?

    Katika maisha ya mwanadamu hupitia hatua kuu tatu nazo ni kuzaliwa upo chini ya wazazi, kuna hatua ya kuoa maamzi yapo na familia yako na mwisho ni uzee na kifo japo haujulikani utaishi miaka mingapi. Usipowekeza utazeeka vibaya na watoto watakuchukua sana kwa vile watapitia maisha magumu ya...
  4. M

    Majuto ni mjukuu.

    Habari za leo wakuu. Nikiwa sekondari mwaka 2008 kidato cha 4 nilikuwa na rafiki yangu kipenzi na ambae tulikubaliana kuishi wote hapo baadae, Mungu bariki tulifauru wote na kuanza kidato cha tano 2009 na 2011 tulimaliza na 2011 tuliacha masomo ya chuo kikuu. Vyuo tulisoma tofauti na...
  5. M

    Kipimo cha kupimia kama nchi imekwea kiuchumi.

    Waungwana kila kuchapo huwa najiuliza maswali kadhaa na kukosa majibu sahihi kuwa hivi tunaposema nchi imepanda kiuchumi tunaangalia nini? Je maisha bora kwa mwananchi au ubora wa huduma za jamii au ubora wa miundombinu au kipato cha mwananchi cha kumwezesha kupata huduma za msingi kwa mda na...
Back
Top Bottom