Search results

  1. M

    United Nations Vacancies

    Aiseee hapo walikua wameniacha... Thanks guys. Let me toss my coin there. Hav a nice day.
  2. M

    kuitwa usaili TRA

    Hivi mnajua kuna kundi la watu linaitwa Average students,hawa ndio haoa wa lower 2nd na few of upper...ndio wanasifika kwa team work na efficiecy makazini.....fanya tathmini ulipo ww 4 prove.
  3. M

    United Nations Vacancies

    Wadau! copy of resume ndio nn? Tafadhali naombeni mnijuze.
  4. M

    Kozi ya Grafix designing ?

    Habari ndugu, Naulizia wapi kwa DSM inapatikana the best grafix designing skul na cost zake zikoje? Pia mode ya masomo ikoje?
  5. M

    msaada please wa website

    Ngoja nikushauri ndugu yangu, Tafuta mtu specialist wa hiyo secta(ICT)..uwekeze kwake..bt sio wewe ufanye kwasababu it s proffesional task. Sio rahisi kama unavyodhani coz dah..rangi ya blu kiucreate tu unajua code zake? utadata aisee,Acha mganga,agange aisee!
  6. M

    E- commerce

    Nauliza inacost kiasi gani Tz,kufungua website for online sale? Tafadhali mwenye ufaham naomba anipe jibu.
  7. M

    Tanzania Revenue Authority Employment Opportunities

    Achakututia ujinga weweee.....!
  8. M

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Tafiti imefanyika kuwa watanzania 75% wanaoishi England nia kutoka TZ-zanzibar...sio hivyo tu 62% ya watanzania wanaoishi USA ni wa jamii za kihaya na wachaga. JE MAAFISA WA BALOZI ZA US NA UK NI TRIBALIST?
  9. M

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Cha msingi tukubali kwamba katika kila jamii matabaka yapo hata kwa hao wahaya,wachaga n.k.. Pili kila jamii ina character zake...mfanoa pitia Majeshi yetu utaona watu wa asili flani ni wengi zaidi,Mabenki,Vyama vya michezo, Hata watawala wetu wa local gvnts,VEO's,WEO's n.k Madaktari na...
  10. M

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Ndg yangu na wamasai wasemeje wamechoka kulinda? Kumbuka tulipata waziri mkuu mmasai.... cha maana kisomo ndio mkombozi. Bila kisomo kaz za oficn coishu ila ishu ni kaz gan utafanya(responsibilities) kuna wanapata kaz za ofcn lkn kaz yake ni kufungulia mlango wageni tu..Hapo niaje? Nenda...
  11. M

    50 People Who Are Screwing Up Tanzania

    I belive in people's power. No need of violence..we live in th society,lets tak our chances & update our fellow Tz'ans who ar blinded by the system..so whn comes 2 elections we do the right thing 4 majority succesion.Together we can. They use us so they can win..Now we hav to deny being used &...
  12. M

    Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

    UTASUBIRI SANA DOGO....!! Unaweza kuwa mwokota makopo wewe, au ukaecti uchiz..If poa try th nxt move.
  13. M

    To all job seekers particularly fresh graduates

    Nice move mdogo wangu....bt kuna microfinance kibao ambazo u can volunteer so u can gain more on workin environment...hapo sasa unaweza pata mwanga wa kujiajiri..elimu daftari inatofauti sana na mazingira hucka...mwenye pesa hata ukampelekea idea nzuri vip bt ataangalia uzoefu wako ili acongeze...
  14. M

    Msaada wa haraka......mwongozo wenu wakuu,

    Tatizo kuna watu wana cjuihata niwekeje.....we mtu kununua gari mnapooonda baada ya kumpa big up kwa hatua aliyopiga ckuhizi gari sio anasa ni basic need......so wewe/nyie co kwamba hamtaki kumiliki bali mnakua wavivu kugungua opportunities za kuwaongezea kipato ili kuafford needs zenu...
  15. M

    TIC Kulikonii?

    TIC walitoa vacancies,vp update,wameshaita watu? If yes gazeti gani na la lini?
  16. M

    Tra

    Bado sijapata jibu, 1)when was interview? 2)Short listed walitoka kwenye gazeti gani? 3) Wameanza lini kazi, Sio kwamba niliaply au kuhitaji kaz bt kuna utafiti naufanya juu ya hizi gvt agencies na wizara juu ya ajira zao tusaidiane kuondoa urasimu...nipeni info wadau.
  17. M

    Ajali ya Meli Zanzibar: Meli kama chombo na mazingira ya ajali

    Katika kipindi hiki tuweke siasa na ukereketwa wetu pembeni tuungane kuomboleza pamoja.Tanzania ni moja,Janga ni letu sote...... Rai kwa vyombo vya habari vizingatie uhuru wake,vitupe taarifa sahihi...nasikitika kuona CNN na BBC vinatoa details kiundani while vyakwetu havifanyi hivyo....Mungu...
  18. M

    Tra

    TRA waliitalini watu 4 interview.....na gazeti gani walitoa names za waliokua short listed? Tafadhali mnijuze...
  19. M

    Nchi mpya zinazotarajiwa Afrika

    Ninasikitishwa sana na maoni na matarajio haya.... Je nilini Africa iwe moja kama Taifa? Ambapo tutakua na sauti yenye ngungu na moja yamajaifa makubwa duniani kwasababu we are the engine of West & East industries.(raw materials)+ we have all factors of production in here. AMERICAN DREAM...
Back
Top Bottom