Search results

  1. K

    Natafuta trekta

    Msaada wa namba zake tafadhali
  2. K

    Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Nashukuru, ni wapi umelima kiongozi?
  3. K

    Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Habari ya majukumu, Mimi ni mpya kwenye kilimo, Mwaka huu nna mpango wa kulima Mahindi, hekari 20 maeneo ya KwaKonji Handeni Mpaka sasa tumeshafanikiwa kung’oa visiki, na kusafisha shamba tayari kupitisha trekta Nahitaji kuongozwa vizuri, nijue ni wapi pa kuanzia ili niweze kupata mavuno...
  4. K

    Ni njia ipi nafuu kusafirisja mzigo toka Australia hadi Tanzania

    Wadau Msaaada wa mawazo kusafirisha mzigo toka Australia Dinension 40cm x 20cm x 15cm weights 11 kg.
  5. K

    Kikohozi zaidi ya wiki tatu bila ya kupona

    Wazo zuri kwa kweli, ntafanya hivyo...
  6. K

    Kikohozi zaidi ya wiki tatu bila ya kupona

    Wadau, nmepata kikohozi zaidi ya wiki tatu nimepambana na ampiclox dozz imeisha ngoma bado ngumu, nilikunywa na syrup ya actifed na methoded bado. Nimekutana na jamaa wengine wawili wana story kama hii, ni upepo gani umepita Dar safari hii..?
  7. K

    Sheria inasemaje kuhusu wapi zibandikwe stika za vibali vya gari

    Hakuna mtaalam wa sheria humu atujibu kitaalam? Atup Na kifungu husika
  8. K

    Sheria inasemaje kuhusu wapi zibandikwe stika za vibali vya gari

    Wanajukwaa Naomba mwongozo kuhusu kichwa cha habari! Sheria inasema hizi sticker zibandikwe wapi? Leo traffic kanikamata, nimebandika kioo cha mlango wa kushoto, akaniambia inatakiwa bandikwa kioo cha mbele! Nmewahi kusoma kuwa zinatakiwa bandikwa upande wa kushoto, hawakusema kioo cha mbele...
  9. K

    Nitapata wapi Maziwa ya Soya (Soya Milk)

    Eeenh, imechangamka namna io aisee? Mtihani huu...!
  10. K

    Nitapata wapi Maziwa ya Soya (Soya Milk)

    Nitashukuru kamanda Nipo Dar
  11. K

    Nitapata wapi Maziwa ya Soya (Soya Milk)

    JF Members Ntapata wapi maziwa ya soya, kwa ajili ya watoto? Rgds Kizi57
  12. K

    Nauza ticket ya ndege Dar - Kili - Dar

    Labda utenegenze temporary fake id card !!
  13. K

    Nauza ticket ya ndege Dar - Kili - Dar

    Kuuza tkt ni ngumu fastjet, labda utumie ujanja wa ku fake ID card with the same name, issue ingine ni jinsia, kama ni tkt ya Mwanaume ni ngumu kumpa mdada, maana kuna initials kama Mr/ Miss/ Mrs etc... Jaribu kupata travel agent mwenye mteja wa kesho Kili anaweza akakufever ila ki ufupi ni ngumu!
  14. K

    Nauza ticket nliyipia ya fast-jet 04 Jul na kurudi 07 July Kilimanjaro

    Ni kweli kabisa Kamanda, lakini hela ipotee hivi hivi so afadhali irudi walau nusu gharama
  15. K

    Nauza ticket nliyipia ya fast-jet 04 Jul na kurudi 07 July Kilimanjaro

    Mimi naweza nikamuuzia mtu mwingine kwaio la muhimu ni muhitaji, mjini hapa! Kila kitu kinawezekana! Anayejitaji anitafute nimuuzie ticket ya tarehe hizo!
Back
Top Bottom