Search results

  1. Vladimir Lenin

    Kwenye suala la hizi ajira mpya maombi ya zamani huwa yanazingatiwa??

    Wadau kwema? Nimewahi kuapply ajira za waalimu japo uhitaji ulikuwa ni wa sayansi na mm ni arts, bt sikupata, ilikuwa ni 2018,nauliza je kama sitaki kuapply hizi za juzi maombi yangu ya zamani yanaweza yakazingatiwa?? Coz kwa sasa sipo tayari kuingia kwenye hizi ajira na sitaki kuapply. Ni hyo...
  2. Vladimir Lenin

    Msaada namna ya kutunza docs mtandaoni

    Habari wakuu, naomba kuelekezwa njia nyingine ya kusave documents, picha, vitabu etc ukiachana na Google drive au kwenye email, Google drive nilikuwa naitumia mara kadhaa bt naona kama iko complicated sana now days, ukiattch kitu sometimes kinaload tu mda mwingi bila kujisave.
  3. Vladimir Lenin

    Msaada kuhusu o2tvseries.com

    Habari wakuu hii site inasifika kwa kupata movie au series kwa mb chache,bt kuhusu quality ni mbaya sna sijajua kama mm ndie nakosea nilijaribu kupakua season ya see episode moja kwa kwa option yao ya quality ile ya kwanza kabisa juu lkn bado ilionyesha ukungu sana na maandishi kuyaona ni issue...
  4. Vladimir Lenin

    Tujikumbushe kidogo.

    Maisha yanenda kasi sana. [emoji116]
  5. Vladimir Lenin

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Habari wakuu, Huwa naisikia UTT Amis kupitia mifuko yake ambayo ipo takribani sita, wekeza maisha, watoto fund, umoja fund, bond fund etc. Je, kuna mdau yoyote ambae ni member wa UTT anipe ufafanuzi zaidi? Natanguliza shukrani.
  6. Vladimir Lenin

    Je, laptop nzuri ina sifa zipi?

    Habari wakuu, natafuta laptop used, kabla ya hilo naomba kupewa abc na wataalam kuhusu pc nzuri na yenye storage ya kutosha, Budget yangu ni laki 250000 - 300000. So wanajukwa naomba kueleweshwa zaidi na ikiwezekana kama kuna mdau ambae anayo tufanye biashara. Mjadala wote ni hapa hapa jukwaani.
  7. Vladimir Lenin

    Walimwengu wabaya walimtesa Choki...

    Salaam wakuu, yuko wapi Ali Choki-Mzee wa Farasi? Nipo nasikiliza moja ya ngoma zake 'walimwengu wabaya'. Aisee hii ngoma haitokaa ichuje.
  8. Vladimir Lenin

    102.5 Choice FM salute kwenu

    Aisee kama wewe ni mpenzi wa kusikiliza redio basi fungulia Choice FM hutojutia. Ni ngoma juu ya ngoma na watangazaji wake wana Vibe kinoma noma Kule hakuna siasa wala matangazo ya mara kwa mara kama mawingu FM. Moj, Titi, Masta Tindwa na wengineo, salute kwenu. Kijiwenu kwangu kila siku ndo...
  9. Vladimir Lenin

    Movie box

    Wakuu kuna hii application ya movie box mdau mmoja aliiletaga hapa, app iko vzr sana, ila sijajua namna ya kudowload muvi au series ikiwa na subtitles zake, au subtitle kwa ujumla, kwa anaejua msaada tafadhal. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Vladimir Lenin

    Mh Makonda akifanya dua

    Uzi tayari Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Vladimir Lenin

    Kuna madhara yoyote mjamzito trimester ya pili kusafiri?

    Habari wakuu, Nilitoka matembezini kidogo na wife ambae ni kijacho sasa kutokana na hizi mvua tukapanda bajaji ambapo barabara ni mbovu kweli kweli na makorongo ya kutosha, japo tulienda salama na kurudi salama lakini naomba kujua je ni salama kwa mjamzito? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Vladimir Lenin

    103.3 Classic FM

    Haloooo hii stesheni ni moto wa kuotea mbali wakuu, ni mwendo wa ngoma kali mwanzo mwisho, mchanganyiko na ngoma kibao za zamani hasa bongofleva, itafute utafrahi. Clouds, wasafi tupa kule.
  13. Vladimir Lenin

    Msaada wakuu

    Naomba kueleweshwa tu namna ya kuzama humu jf bila kutumia internet, yaan ile ya kuitwa freebase, nihayo tu.
  14. Vladimir Lenin

    Bando la chuo

    Nilinunua line ya tigo ya chuo juzi na kuisajili kwaajili ya internet tuu, niliambiwa kuwa ukiweka 2000 unapata 4gb kwa wiki, kweli baada ya kuikamilisha menu ilikuwa hyvyo na niliunga, sasa leo naicheki tena haipo, vp wakuu kuna menu yoyote zaidi ya tigo ya kupata gb za kutosha kwa wiki kwa...
  15. Vladimir Lenin

    Dawa ya kusafisha tumbo

    Salaam wakuu, Hivi kuna dawa yoyote ya kusafisha tumbo/ kusababisha kuharisha? Jirani yangu ameniomba nimshauri lakini nikatoka kapa, anadai anapata choo kwa taabu sana, nimemshauri anywe magnesium ila sina hakika kama zinasaidia. Masaada tafadhali. Nia anataka dawa itakayomsaidia...
  16. Vladimir Lenin

    Zidane hana budi kumrudisha Cr7.

    Mnyama jana kaonesha unyama wake, kadhihirisha kuwa yeye sio mzee, Zidane ili arudishe makali ya Real basi hana budi kumrudisha huyu mnyama kwa gharama yoyote ile, pengo la mnyama ni kubwa mnoooo. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Vladimir Lenin

    Jahazi lipo hewani sasa bila Efrahim kabadiiiiii.

    Jahazi lipo hewani sasa wakuu, day one bila Efrahim kweli maisha yetu mafupi na hatuna budi kujikabidhi kwa Mungu kila wakati kwani hakuna ajuae siku wala saa atakayotwaliwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Vladimir Lenin

    Kuhusu vitambulisho vya wajasiriamali

    Naomba kujua wakuu, nilifungua kaduka kadogo mwaka jana desemba, nikisubiri January ili niende kufuatilia tin namba na leseni fremu ni banda la mabati. , sasa ukaja huu mchakato wa vitambulisho vya wajasiriamali nikaona nichukue kitambulisho tu na nisifuatilie tena tin wala leseni, je nipo...
  19. Vladimir Lenin

    Msaada wataalam.

    Wife ni mama kijacho wa miezi takriban mitatu sasa tumehesabu kuanzia period yake ya mwisho yaani alipoanza tarehe 18 /9/2018 mpk sasa. Hii ni mimba yake ya kwanza, ameenda leo zahanati flan kufanya ultrasound wamemuambia kuwa kanaonekana kwa mbali mno na wakamuuliza hujawahi kutoka damu...
  20. Vladimir Lenin

    Nahitaji kufanya Booking fastjet au kampuni yoyote ya ndege yenye bei nafuu

    Habari wakuu, nahitaji kufanya booking ya fastjet au kampuni yoyote nafuu kwa safari ya April mwakani Mungu akipenda from dar to Mbeya. Nataka ni book mapema nilisikia ukibook mapema zaidi garama huwa ndogo sana, so naomba munisaidie ushauri na namna ya kubook online pamoja na gharama yake kwa...
Back
Top Bottom