Search results

  1. Freddie Matuja

    Achunguzi ufanywe kwa Rais Magufuli au kwa Serikali ya awamu ya tano?

    Waslaam wakubwa Naomba nianze na swali la msingi ambalo limekuwa sehemu ya mjadala. JSerikali ya awamu ya Tano ni nini au ni nani? Swali la serikali ni nini? bila shaka huu ni mfumo wa utawala wa pamoja, mfumo wa kitaasisi ambapo kiongozi akishirikiana na wenzake wengi kuunda serikali. Awamu...
  2. Freddie Matuja

    Rais Samia ana bahati, ni Mungu alimpangia au vyote viwili?

    Nimekua nafuatilia sanaa na sayansi ya majina kwa ukaribu japo sio kwa sana. Na leo pia nimeamua kutafiti kwenye mtandao maana ya jina Samia. Nimekutana na tafsiri nyingi ila kwa sasa naomba nikushirikishine hii moja. Samia as a girl's name is of Arabic origin, and the meaning of Samia is...
  3. Freddie Matuja

    Tokea Tupate Uhuru, kwenye siasa za nchi hii, watu gani ni miamba wa Propaganda kwenye medani ya siasa?

    Habari ya mchana wakubwa. Hivi karibuni msemaji wa Club ya Simba Haji Manara alikuwa anazungumza na Salama Jabir; Haji alijinasibisha kama mmoja wa mabingwa wa propaganda hapa nchini. Haji alikwenda mbali kwa kusema, Tanzania ina watu 7 tu ambao ni mabingwa wa propaganda. Ikumbukwe Haji...
  4. Freddie Matuja

    Rais Magufuli azindua Kiwanda cha Ngozi cha Rostam; Fursa na Changamoto kwenye kujenga Tanzania Economic Miracle

    Hii makala nimeandika kama sehemu ya mchango wangu kumshauri Mkulu baada ya kusoma makala nyingine mbayo imeandikwa na mwana JF. Naomba kuwashirikisha makala hiyo hapo chini; pia ntakupeni nini nafikiri kinaweza kufanyika ili tufike kwenye Tanzania economic miracle au Tanzania industrial...
  5. Freddie Matuja

    Nape, Mwijage, Musukuma na Kanyasu; hoja zenu zina msingi. Nini tufanye tutoke hapa ili biashara zipate na TRA apate?

    Wakati ni ukuta, na sasa wabunge wametoka usingizini wameanza "kutema cheche". Kuna mambo Nape, Kanyasu, Msukuma wamekijita kwenye kodi na namna kodi inavyokusanywa. Hata kama taskforce haitatumika, bado makadirio ya hesabu ya kuchukua 30% kwa mauzo ghafi haijakaa sawa. Tutajadili baadae...
  6. Freddie Matuja

    Hazina na Bodi ya Mikopo wanahitaji msaada wa haraka vinginevyo wataendelea kuzalisha mikopo isiyolipika

    Bunge limeanza na kama kawaida suala la ajira ni kitendawili kwa wabunge ili wapiga kura wafaidike na bodi pia ipate marejesho kutoka kwenye makato. Aidha kuna jicho la pili na la 3 ambalo lazima hazina na wakubwa wengine kwenye mifumo kuja na working model ili kutegua kitendawili hichi. Kwa...
  7. Freddie Matuja

    2021 tumefika wapi kwenye lengo la kutengeneza mabilionea 1,000 ambao Rais anataka wapatikane?

    2021 ndio tushaingia na 2025 haiko mbali sana ambapo Mkulu wa sasa atakuwa anakabidhi kijiti kwa ajae. Je tutakuwa tumefika na lengo la Mkulu la kujenga uchumi wa kati kwa kutumia viwanda na kutengeneza mabilionea 1000 kama alivyojitainisha 2019. Wakati mmoja mwaka 2016 Mhe, Rais alitamka...
  8. Freddie Matuja

    Hotuba ya Rais Museveni kwenye kuapishwa kwa Rais Magufuli, imenitafarisha mambo 4

    Hotuba ya Rais Museveni kwenye Kuapishwa kwa Rais Magufuli, imenitafarisha mambo 4; karibu tujadili tukiwa na open mind. Naomba ku-declare interest ninamuunga mkono JPM kwa nafasi ya Urasi 2020-25. Kama unaidhika usiendelee kusoma huko chini. Ila kama una imani ya kusifu tu, pia usisome ili...
  9. Freddie Matuja

    Donald Trump ajitangaza mshindi kabla ya matokeo ya mwisho

    Katika hali ya kushangaza dunia, Dinald Trump rais anaetetea kiti chake kajitangaza mshindi kabla ya matokeo ya mwisho. Mpaka sasa Trump ana kura za wajumbe 213 huku Joe Biden akiwa na 238. Mshindi anatakiwa kuwa na kura za wajumbe (electoral college votes) kuanzia 270 au zaidi ili mwaka 20...
  10. Freddie Matuja

    The Chakwera Model in the Africa we want

    Habari wakubwa. Nimkutana na hii hotuba ya Rais wa Malawi, na maoni macheche wa muandishi. Aidha chini kabisa nimekuja na ushauri kwa mtazamo mwingine ambao nadhani Rais Chakwera angeanza nao. The Chakwera Model in the Africa we want 👇🏼 The President of Malawi, Lazarus Chakwera, has a weekly...
  11. Freddie Matuja

    Nakubaliana na Mzee Butiku, Tusiwa waoga ikiwamo kumfikia Rais Magufuli kwa hoja bila woga

    Amani ya Mungu alie mbinguni iwe juu ya Watanzania wote. Juzi mzee Butiku amesikika akisisitiza watu kutuwaogopa viongozi ambao ni wanadamu wenzetu, ambao kimsingi tukiwapigia kura, wanakuwa ni watumishi wetu kwa kukusanya kodi na kusimamia shughuli za maendeleo. Hata maandikiko matakatifu...
  12. Freddie Matuja

    Tanzania soon tunawapiga bao Kenya kwenye kupata mizigo mingi zaidi EA

    Ijumaa Karim ndugu zangu Watanzania. Tanzania kupitia bandari ya Dar kwa sasa imevutia kupitisha mizigo mingi hasa toka Burundi kwa ku-charge bei ambayo wateja wanaweza kumudu. Kwa mujibu wa gazetu la the East African ninanukuu "On average it costs $1.80 per kilometre per container to transport...
  13. Freddie Matuja

    Ubunge wa CCM ni "FURSA ya Kutoka" kuwa Waziri, Kupata Ajira ya miaka 5 au mengine mengine

    Rais Magufuli anamaliza ungwe yake ya kwanza ya miaka 5 na sasa anakwenda ungwe ya pili 2020-25. Bila shaka atashinda kwa maana wapinzani wake wana hoja dhaifu na maandalizi yao ni muda mfupi kiasi ambacho wanakosa muda na agenda ya kupindua meza ya kifikra ili kuchukua Urais. Ila hoja yangu...
  14. Freddie Matuja

    SINO Company iliyomhenyesha kutoa Majibu Lukuvi mbele ya Rais Magufuli

    Nimeshuhudia kupitia ukurasa wa Instagram Mhe. Lukuvi akieleza mbele ya Mhe. Rais JPM kuhusu umiliki wa Ardhi wa kampuni ya kichina SINO. Kwa maelezo ya Mhe. Lukuvi, SINO kampuni toka China inamiliki ekari 5000 (hekta au acre) tutajua baadae. Kimsingi SINO wameshindwa kuendeleza sawia na...
  15. Freddie Matuja

    Tutawapata akina Musa au akina Joshua kwenye Uchaguzi Mkuu 2020; Rais sina shaka ila kwa Wabunge

    Tumebakiza muda mfupi sana bunge kuvunjwa na kwenda kwenye ungwe nyingine ya hiena hiena. Wengi tunajua Musa aliwavuja Israel bahari ya Shamu, na baadae Joshua akawavusha mto Jordan ili kuingia nchi ya ahadi. Sina shaka na ushindi wa Rais; ila kwa wabunge ambao baadhi yao ndiyo wanakuja kuwa...
  16. Freddie Matuja

    Rais atavunja Bunge la JMT mwezi Juni. Tuko wapi na tunafika lini nchi ya asali na maziwa?

    Rais atavunja Bunge la JMT mwezi June; Tuko wapi na Tunafika lini nchi ya asali na maziwa? Naomba libaki kama swali fikirishi. Ukifika mwisho utaweza ku-connect dots za sampuli moja ntakayokushirikiasha kaka fursa ya kufika nchi ya asali na maziwa. Either baada ya hapo unaweza kuona uwanda wa...
  17. Freddie Matuja

    Raila Odinga anasema Rais Magufuli anatakiwa kushauriana na viongozi wenzake. Ni kwa lipi hasa?

    Jana kupitia DW, Bernard Membe amesikika akitoa tuhuma kuwa diplomasia kati ya Tanzania na nchi majirani imeanguka. Nilishangaa kwanini muandishi wa habari wa DW Kiswahili hakukumbushia saga la "Coalition of the Willing" Tujukumbushe kwa link hizi hapa chini kama tumesahau kuhusu utatu wa Paulo...
  18. Freddie Matuja

    Msiba wa Jasusi Agustino Mahinga umetufundisha mengi. Kuna mambo mengi ya kufanywa na Diwani Athumani

    Kumekuwa na michango mbalimbali ya vijana kushangaa ilikuaje Mwl. Nyerere alimwamini Balozi Dr. Agustine Mahiga kuwa Director wa TISS akiwa na miaka 35 tu. Ikumbukwe, kwa mujibu wa wasifu wake, unaonesha Balozi Mahiga alikuwa Mkurugenzi wa Utafiti na Mafunzo Ofisi ya Rais akiwa na miaka 32 (hiyo...
  19. Freddie Matuja

    Watanzania tunaweza kuendelea kujenga Uchumi wa kati in the Mid of COVID19

    Albert Einstein alisema, hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa uwezo/akili/kiwango cha maarifa yaleyale ambayo yametengeneza matatizo. (We can't solve problems by using the same kind of thinking we used when we created them.) Einstein akaenda mbali tena kusema, "The definition of insanity is doing...
  20. Freddie Matuja

    Kwenye kupanga bei ya Sukari kuna Suala nadhani haliko sawa. Tutafakari Upya

    Watanzania kuna kila mara sukari huwa inapanda baada ya "kupotea/kuadimika" kwa sababu yoyote ile. Hii sio mara ya kwanza kutokea. Ila baada ya serikali kuingilia kati napata taabu kidogo hasa kwenye upangaji wa bei. Sukari inzalishwa Mtibwa na Kilombelo. Kwanini bei ya moro iwe 2,700 na Dar...
Back
Top Bottom