Search results

  1. Freddie Matuja

    Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Kwanza tuanze na swali la msingi, Tanzania bara ni nchi yenye passport tofauti ni nchi ya Zbar anatoka mbunge huyo? Zbar wana mfumo wao wa uhamiaji ili Mtanganyika akifika agongewe passport na kueleza dhumuni la safari yake? Ingetokea tukawataka Wazibari wanakuja huku nao wawe na passport ili...
  2. Freddie Matuja

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Hatari sana wasomi wa nchi hii 🤣😂
  3. Freddie Matuja

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Obama, Bill Clinton, Hillary Clinton wote wana JD. Ila wangekuwa kama wa kwetu huku, sijui ingekuwaje
  4. Freddie Matuja

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Wala sio case mkuu. Nipe Makala au jarida lolote linalomtambulisha mtaalam wa uhasibu iwe USA au UK (kwenye ACCA) ambapo utambulisho wa mhusika unakuwa sawia na maelezo yako.
  5. Freddie Matuja

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Nenda Marekani au UK, haya mavyeo mbele ya majina ni kwa watu kama medical doctors, Dentists na Veterinary Doctors.Tanzania kuna mambo ya ajabu sana, kama Adv., Arch. Eng. CPA, Dr (za mchongo kama za wabonge baadhi) Elimu ya vyeti ingeanzia huku, kila taaluma ingekuwa unatoa vyeti na watu wote...
  6. Freddie Matuja

    Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?

    Point of correction mkuu Paskali Mayalla, Bashiru alikuwa Chief Secretary (KMK) na akaondolewa kwenda bungeni na sio katibu wa itikadi na uenezi. Mwenezi wa kwanza aliondolewa na SSH baada ya kuwa mkiti ni Polepole baada ya nafasi ya kujazwa na Shaka na kuachiwa ubunge ambao alikuwa nao toka...
  7. Freddie Matuja

    Tanzania inahitaji CHADEMA ili iweze kujirejeshea heshima kama taifa huru na imara barani Afrika

    Chadema ipi? Hii ya mwenyekiti wao ambae analamba asali sasa? Au ile ya 2015 ambayo iligeuzia gia angani baada ya "kuvuta ngawira" za mzee mwenye mvi?
  8. Freddie Matuja

    Kama kuna uwezekano (kifedha) Kitengo cha CID kiwe taasisi kamili inayojitegemea

    Katika Watanzania 62 mil, lazima wapo ambao ni hawajachakachuliwa na "mazoea" ya business as usual. Ndio maana JPM enzi zake kuna namna aliweka JWTZ kwenye baadhi ya mifumo ya kiraia ili kuongeza speed ya utendaji wa mambo. Kama kuna taasisi ambayo iko highly trained kuendesha mifumo yote ni...
  9. Freddie Matuja

    Kama kuna uwezekano (kifedha) Kitengo cha CID kiwe taasisi kamili inayojitegemea

    Msingi wa hoja yako ni mzuri sana. Kama Criminal Investigation ingekuwa na watu wasafi, sio aina ya wale wanaobambikizia watu case, ingekuwa busara ikageuzwa na kuwa taasisi inayojitegemea moja kwa moja ili iwe (FBI ya Tanzania) Akipatikana kamanda mmoja toka MI, na akapewa wasaidizi wacheche...
  10. Freddie Matuja

    Kama kuna uwezekano (kifedha) Kitengo cha CID kiwe taasisi kamili inayojitegemea

    Wakitokea MI hapo tutakuwa tumeanzia pazuri. Na baada ya hapo recruitment ifanyike kwa kuanza na damu mpya na wajipe muda wa kukua, hapo tutakuwa na real checks na balance kati ya police (usalama wa raia) na CID
  11. Freddie Matuja

    Chama kimoja kwa miaka 62 ni uzee tosha, tukibadili

    ...Where there is no vision, the people perish... Kwa kukosa maono, watu huangamia/kupotea. Je, tuibadili CCM ili chama gani kiweze ku-fill hiyo ombwe. Tumewahi kuwa na NCCR, ikaja CUF the CDM; NCCR ilipotea kwa kugombania madaraka. CUF ilishindwa kuwa jumuishi then nao wakapotea. CDM 2015...
  12. Freddie Matuja

    Fred Lowassa: Baba hakuwahi kumsaliti rafiki yake

    Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza, Je report ya uchunguzi wa Richmond, ilikuwa real? Maamuzi ya bunge baada ya kupokea report ikionesha kulikuwa na ukiukwaji wa taratibu za manunuzi; je, bunge lilikosea kufanya maamuzi kwa niaba ya Watanzania? Spika Samwel Sitta anabaki mmoja wa viongozi...
  13. Freddie Matuja

    Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

    Tofautisha kura za maoni kwenye level ya majimbo na kura za mkutano mkuu wa CCM (T). Kinachofanyika kati ya majina 3 lazima kwenye duru kwa kwanza mshindi apate zaidi ya 51%. 1995 JK aliongoza kwa kura, akifuatiwa na BM na Msuya akawa wa mwisho. Then kura zikarudiwa kati ya JK na BM, ndipo Mkapa...
  14. Freddie Matuja

    Sababu kubwa ya Nyerere kumkataa Lowassa asiwe Rais ni utajiri wake uliotokana na urefu wa kamba yake wakati huo!

    Na Ndesamburo hana makandokando ya madili ya kukwiba mali za umma kama Mburushi
  15. Freddie Matuja

    Sababu kubwa ya Nyerere kumkataa Lowassa asiwe Rais ni utajiri wake uliotokana na urefu wa kamba yake wakati huo!

    Utajiri sio kitu kibaya. Tulikuwa na akina Ndesamburo ambao ni wanasiasa matajiri na biashara zao zinafahamika na hawakuwa na harufu ya kukwiba. Huyo uliemtaja, hata kama ana biashara nyingi, ila mikono yake ni michafu. Kuna sehemu nyingi sana kahusika kwenye kukwiba ma-bn ya hela. Kumbuka...
  16. Freddie Matuja

    Sababu kubwa ya Nyerere kumkataa Lowassa asiwe Rais ni utajiri wake uliotokana na urefu wa kamba yake wakati huo!

    Be realistic chief. Wewe hapo, leo unaweza kukodi ndege kutembeza form ya kugombea nafasi ya kiasiasa hata mikoa mitano tu? Nataka kuamini JKN kwa taarifa toka jikoni hazikuwa zinadanganya. EL 1995 alitoa wapi fedha za kumfanya kuzunguka nchi nzima? Kama ni mawazo ya utajiri ni jambo jema...
  17. Freddie Matuja

    Nchi inatakiwa kudeal vipi na uhaba wa dola?

    Ongozeni mauzo ya bidhaa na huduma nje ya nchi; punguzeni imports kwa bidhaa au huduma ambazo nchi inaweza kuzalisha. Wizara ya fedha, viwanda na biashara, kilimo, mifugo na uwekezaji wanatakiwa waje na real working model ili haya yawezekane. Mfano, kila mwaka mnajua matumizi ya sukari ni...
  18. Freddie Matuja

    Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

    Huenda hujui kuwa mkutano mkuu CCM sio Kura za maoni. Fuatilia chaguzi za CCM namna kamati kuu inatoa majina matano; then Halmashauri Kuu inachagua 3 kati ya 5; Mwisho mkutano mkuu unataka mshindi awe na zaidi ya 51%. Kumbukumbu za mwisho za 2015, maana 1995 hukuwepo; Halmashauri Kuu ya CCM...
  19. Freddie Matuja

    Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

    Kama wewe unazo kumbukumbu, weka hapa, ili kuni-prove wrong. Ila kumbukumbu ya kuwa JK hakuzidi 51% ziko wazi kwa 1995 kama ambavyo alivyowazidi Mwandosya na SAS kwenye duru ya kwanza ziko wazi. Uwezo wa BWM kwa aliyofanya, yana-prove, alikuwa na Rais mwenye merits.
Back
Top Bottom