Search results

  1. M

    Natoa msisitizo, UKAWA yapoteza ngome yake muhimu Arusha

    Magufuli 64% Lowassa 29% Anna mgwira 6% Hashim Rungwe, Dovutwa, Lyimo 1%
  2. M

    Kariakoo nao wanafanya utafiti wao

    Kwa hiyo Lowasa Rais wa Kariakoo?
  3. M

    Katibu Mkuu wa CHADEMA anapolindwa na walinzi wa Kanisa!

    Chadema ni chama cha KKKT waislamu kuweni macho
  4. M

    Jimbo la Ubungo UKAWA wana wagombea wawili?

    Mashaka ngole mwansheria Msomi ndiye mbunge wetu, kubenea haishi ubungo
  5. M

    Mh. John Magufuli aiteka Tukuyu na Rungwe

    Akiongea na wakazi wa Mbeya Jimbo la mbarali amesema nilichukua fomu kimya kimya na wala sikuwa na wapambe zaidi ya Dereva, wala sikumuhonga mtu hata mmoja, anayesema nimemuhonga ainue mkono juu? Hakuna hakuna makofi uwanja mzima,
  6. M

    UKAWA shughulikieni majimbo yenye mikanganyiko haraka!

    Chadema ni wasaliti wa MAGEUZI majimbo Mengi ya cuf wamesimamisha wagombea
  7. M

    Katani Ahmed Katani; ndio mbunge wa kwanza upinzani kushinda.

    Ni kijana anaependwa na Wana Tandahimba japo 2010 na walimpora ushindi wake lakini mwaka hawataweza kupora au kuiba kura zake maana ni zaidi ya 90% ya wanainchi wa tandahimba wanamkubali Kama mkombozi wao, shuhudia Jana barabara zilipo fungwa alipoenda kuchukua fomu utadhani lowasa amekuja...
  8. M

    Jina la Prof. Lipumba sasa ni dhahiri Limeanza Kutoweka

    Prof Lipumba hatasahaulika milele huku bara ila sultani Seif sharif ameiuza Cuf kwa bei poa
  9. M

    Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    MTATIRO ataangukia pua, katika Hawa wanasiasa vijana mtu ambaye anaweza kupambana kwa hoja ni zitto
  10. M

    Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu lakanusha Taarifa kuwa inamuunga mkono Edward Lowassa

    Safi sana sheikh Sanze, huyu Lowasa ndiye aliyesimamia memorandum of understanding(mou) Kati ya KANISA na serikali. Wabunge wa Chadema CCM NCCR ndio waliopinga mahakama ya kadhi, lini Chadema walikaa na kutoa kauli ya kulani sheikh ponda kuwekwa ndani? Wao kwao ni kicheko
  11. M

    Waraka wa wazi kwa Prof. Ibrahim Lipumba

    Baada ya uchaguzi na Lowasa mtamtukana
  12. M

    Maalim Seif ni tatizo CUF

    Chadema Leo mmekuwa watetezi wa cuf baada ya kufanikiwa kuiua cuf bara lakini tutakwenda ACT, Chadema ng'ooo
  13. M

    Maalim Seif ni tatizo CUF

    Ndio amekuwa mtoaji wa maamuzi ndani ya Cuf kwa kuingilia madaraka ya mwenyekiti hili ndilo lililomuondoa Prof Lipumba katika uenyekiti, ameua cuf bara kwa maslahi Zanzibar, ruzuku ya chama yote kwa 80% imepelekwa zanzibar. Prof Lipumba alikuwa anataka kujua maslahi ya cuf ndani ya ukawa...
  14. M

    Sakata La Prof Lipumba Na Gazeti La UHURU Tahadhari Lazima

    Prof Lipumba yupo majuu amekuachieni ukiwa wenu kelele za nini?
  15. M

    Kutoka CUF Buguruni: Kikao na waandishi chaahirishwa, Lipumba akanusha fununu za kujiuzulu

    Cuf kushney, kwisha kwisha kabisa mbende mbende mlalo wa Mende chali.
  16. M

    Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

    Kesho saa 2 nipo buguruni nami kukabidhi kadi yao
  17. M

    Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

    Nami naunga mkono Lipumba KUJIUZURU
  18. M

    Dr. Slaa hata ukipewa ugombee urais, huwezi itoa CCM madarakani, Lowassa anaweza..

    Prof Lipumba aliposema tusubiri maamuzi ya Baraza kuu mlimtukana sana prof Lipumba sasa Leo mfupa umewakwama
  19. M

    Wabunge 80 aliosema Lowassa wako wapi?

    Edward Ngoyai Lowasa alisema kuwa kuna wabunge 80 watakao mfuata upinzani na mpaka sasa ni wabunge 2 tu.
  20. M

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar aliyefukuzwa kuwa Mgombea Mwenza

    Ni mwana chama CUF tayari ila kisheria itabidi achukue kadi ya chadema
Back
Top Bottom