Search results

  1. D

    Msaada wa shule za A level Moshi na Arusha

    Wadau naomba mnijulishe shule za private za A level zenye combination HKL au HGL au EGM zilizopo maeneo ya Moshi na Arusha. Natanguliza shukrani wakuu
  2. D

    Natafuta room Mabibo Hostel

    mimi ni mwanafunzi wa kiume wa UDSM mwaka wa tatu naomba kama kuna mwanafunzi anaweza kunibeba au kuniuzia room Mabibo Hostel anaweza kuni-pm. Ni kijana safi tu, mpole. Thanks in advance wakuu
  3. D

    iPhone 3G inauzwa 250,000...!

    Ipo katika hali nzuri ila ina tatizo la camera haifanyi kazi,kwa yeyote aliye-interested apige 0712235965...ina 8gb,bei ni 250,000,ila inaweza kupungua..napatikana Arusha...
Back
Top Bottom