Search results

  1. ANKO JEI

    Huduma gani unaifata umbali mrefu, japo inaweza patikana karibu yako?

    Habari za wikendi wakuu. Hivi karibuni nimehama mtaa niliokuwa nakaa, sasa kule nilikohama kuna kinyozi wangu mmoja ni fundi sana, nikifika nakaa tu sijielezi chochote, halafu ananipatia kweli kweli. Nikakoishi sasa na kule nilikohama, ni umbali kama wa kilometa 20 (makadirio). Lakini kila...
  2. ANKO JEI

    Mtaalamu wa kuedit sauti (Audio) anahitajika

    Habari wakuu naimani mapambano yanaendelea. Naomba nirukie fasta kwenye mada. Ajira zimekua ngumu hivyo tunachopata wacha tugawane. Kifupi natafuta mtu anaejua vizuri kuedit audio na ninaposema Kuedit simaanishi kuweka ma auto tune na ma"effects" ya mziki, namaanisha kukata vipande...
  3. ANKO JEI

    Ubinafsi tunaofanya kwa watoto wetu unasikitisha

    Kwa jinsi nilivyo na haraka nikusalimu kifupi tu, Uhali gani? Baada ya kukaa kuwaza nimekuja kujua wengi wetu ni wabinafsi sana, na wengine hata hatujui kuwa tunachofanya ni ubinafsi wa kutisha. Wewe unajiona kabisa una familia au niseme mtoto ili uelewe vizuri, ila still una mawazo mgando ya...
  4. ANKO JEI

    Unasikiliza wimbo gani ukiwa sad?

    Muziki si kitu cha kawaida kama wengi tunavyodhani,Muziki ni nguvu katika ulimwengu wa Roho,inaweza vuta nguvu ningine za kiroho kuja eneo la tukio Muziki ni dawa ya nafsi inaweza kutibu na kubadilisha vile una feel dakika yeyote. Anko Jei napenda kufahamu,ukiwa sad unasikiliza wimbo/nyimbo...
  5. ANKO JEI

    Vitu vitakavyo kuhukumu hapa JF

    Haya maisha kila mtu ni hakimu,sio lazima awe pale mahakama ya kisutu au mahakama yeyote ile ya kiserikali,hapana. Nazungumzia kujudge vitu vidogo vidogo, kama nguo ya mtu, maoni, uendeshaji wa gari wa mtu na vitu kama hivyo na najua hata hapa ushaanza kutaka kunijudge but hold on,wacha...
  6. ANKO JEI

    Mnaokataa Kuoa/ kuolewa jiandaeni! Saa yenu inakuja

    Amani iwe kwenu,napenda nikushukuru kwa kutenga muda kusoma ujumbe huu ambao nimeona una muhimu kuuleta hapa Kwenye nyuzi mbalimbali humu za watu kuoa au kuolewa tumeona watu wengi sana wakibeza na kusema wao hawahitaji kuoa au kuolewa,kwa sababu zao mbalimbali. Wengine kutokana na...
  7. ANKO JEI

    Tukio gani ukilikumbuka unacheka tu mwenyewe?

    Maisha yana matukio mengi ambayo yana muunganiko wa moja kwa moja kwenye hisia zetu, hivyo unapoyakumbuka unaweza patwa na hisia ya huzuni au furaha. Hivyo leo tukumbuke matukio ambayo tuliwahi yashuhudia yakatuchekesha,lakini hata baada ya siku, wiki, miezi au miaka kupita bado matukio hayo...
  8. ANKO JEI

    Jambo gani uliifanya kwa maumivu mwisho wa siku likaleta matokeo yaliyobadili maisha yako?

    Habari mkuu, Natumai uko njema barabara kabisa,kuelekea wikendi. Twende kwenye maada,maisha ni kupambana hilo liko wazi,na katika kupambana tunakutana na mambo mengi sana,maumivu,kukata tamaa,kurudi nyuma na muda mwingine kufanikiwa kiwepesi. Hivyo leo naomba ushee stori mbalimbali za jambo...
  9. ANKO JEI

    Katika duka la mahitahi ya watoto, kitu gani kisikosekane dukani?

    Habari wakuu Naimani wote mko salama, Mungu anazidi kutuonyesha upendo wake. Nimekuja kwenu kuomba msaada kuhusu duka la vifaa vya watoto. Kwa muda sasa Mama yangu amekuwa akipenda sana hii biashara, lakini nikawa siwezi kumsaidia lolote kutokana na kipato kidogo, lakini mwaka huu nimesave na...
  10. ANKO JEI

    Nimeamua kujitunza kwa Kutofanya Mapenzi mpaka nitakapofunga NDOA

    Habari wana jamvi pendwa la MMU,naimani mko salama na tunaendelea na michakato ya maisha. Mimi ni kijana mdogo tu niko kwenye mid 20's,mpaka saa nikiri nimewahi kuwa kimapenzi na wanawake sio chini ya 10,na sasa nimefikia uamuzi wa kuacha kugegedana mpaka nitakapo funga ndoa. Najua hili ni...
  11. ANKO JEI

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Habari za muda huu wakuu, naimani mko poa na January inaendelea kuyoyoma. Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Kwanza kabisa lazima tukubali kuna muda mtu unapigika na life hadi unaanza kuwaza kazi za ajabu au ambazo hukuwahi dhani utayafanya. Wengine wanafikia maamuzi na wanafanya...
  12. ANKO JEI

    Kwanini ulioa/kuolewa mapema?

    Habari zenu wakubwa kwa wadogo,kwakua sitambui umri kati yenu naomba nitumie jina letu pendwa humu ndani WAKUU. Nisiwachoshe na utangulizi mrefu,kikubwa nimeleta kwenu swali hili kutaka kujua kwanini uliwahi kuoa au kuolewa?na experience yako ilikuaje?na nini ushauri wako kwa vijana wanaotaka...
  13. ANKO JEI

    Tamu na chungu ulizopitia wakati unaanza biashara yako

    Habari wadau, naimani kila mmoja yuko poa na kama mambo hayajakaa sawa basi hayo ni mapito tu, yatapita. Katika maisha ya sasa ujasiriamali ni jambo mtambuka, linahubiriwa kila kona mpaka kwenye nyumba za ibada, vijana kwa wazee wanaanzisha vibiashara iwe ni kuuza chakula mpaka vijuice point...
  14. ANKO JEI

    Nitumie dawa gani kwa tatizo la cholinergic urticaria

    Habari wakuu Jana niliweka uzi hapa nikiomba msaada wa tatizo langu la kupata vichomichomi mwilini joto la mwili linapopanda,asante kwa waliotoa mawazo yao Baada ya kuzama mtandaoni na kugoogle sana nikakutana na majibu ambayo yanaendana kabisa na tatizo langu na kitaalamu wanaita cholinergic...
  15. ANKO JEI

    MSAADA NATESEKA:MWILI KUCHOMACHOMA JOTO LA MWILI LIKIPANDA

    Habari wakuu poleni na majukumu,naomba niende kwenye maada moja kwa moja. Kwa muda mrefu nimekua nikisumbuliwa na mwili kuchomachoma hasa kuanzia kwenye ngozi ya kichwa mpaka kifuani na mgongoni,na hii hali hutokea joto la mwili likipanda,naweza kua juani,muda nafanya zoezi au kazi yeyote...
  16. ANKO JEI

    Sitosahau aibu niliyowahi ipata ugenini.

    Habari zenu ndugu zangu,natumai mko salama kabisa,niende moja kwa moja kwenye maada. Miaka kadhaa nyuma niliwahi safiri na kuja nyumbani kwa anti mmoja yangu jijini dar na hii ilikua ni mara yangu ya kwanza kufika kwake na kiukweli sikua nafahamu ushangazi wetu ulikuja vipi,ila nilipewa tu...
  17. ANKO JEI

    MSAADA: Vyuo vya nje wanavyotoa admission bila kua na passport

    Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha uzi, naomba kupewa majina ya vyuo ambavyo ni vya Ulaya, Asia au America wanavyotoa admission kwa Overseas students bila ulazima wa kujaza namba ya passport. Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  18. ANKO JEI

    Mwanaume ukimhudumia mwanamke mapenzi yanakuwa matamu sana

    Habari wakuu, Msinielewe vibaya na hiyo heading,nimekaa nimefikiria sana kuhusu kuboresha maenzi na hawa wanawake,kwa uzoefu wangu mdogo nilionao nimegundua kuna vitu vinapuuzwa ila vikifanywa,mwanamke anafurahi kwakua inakua very romantic,nakupa mfano,binafsi nilikua napenda sana misosi mitamu...
  19. ANKO JEI

    Vigezo gani vinatakiwa kujiunga Bunge la vijana?

    Habari wakuu,leo wakati naangalia taarifa ya habari katika kituo anachosikika JOJI MALATOO kwa mara ya kwanza nimejua kuna BUNGE LA VIJANA. Naomba kujuzwa hawa wabunge vijana wanachaguliwa wapi?na vigezo gani vinaangaliwa??
  20. ANKO JEI

    Sherehe za harusi uswazi ni nomaa

    Habari yako mkuu,naimani wikend imekwenda vena na wengine najua sahivi ndo kwaaanza uko viwanja unakula ulabuz na wengine mko mnajiandaa kufanya mambo ya wakubwa haha yote heri. Sasa wikend yangu nimeitumia home kwangu tu huku mitaa ya uswazi jijini dar... Sasa hapa mtaa wapili kuna shuhuli au...
Back
Top Bottom