Search results

  1. Exaud Mamuya

    Mh Rais Kikwete kauli zako zina utata

    Akiongea katika maadhimisho ya siku ya uhuru amemsifia mzee Mandela bila kukumbuka yanayofanyika kwenye serikali yake. Ambayo amesema yafuatayo. 1.Mzee Mandela aliwapigania watu wake dhidi ya serikali ya kibaguzi iliyokuwa akiongozwa na Makaburu. 2.Mzee Mandela alipoona kutafuta haki na usawa...
  2. Exaud Mamuya

    ITV na Channel 10 zaungana na TBC?

    Katika hali ambayo imenishangaza ni vituo hivi vya habari yaani ITV na Channel 10 kutoonyesha habari za press iliyoitishwa na Chadema makao makuu kuhusiana na sakata la katibu wa Chadema kanda maalumu ya Dar es salaam bwana Henry Kileo pamoja na makamanda wengine wanaoshikiliwa na polisi kwa...
  3. Exaud Mamuya

    Kwa matukio haya Pinda hustahili kuwa waziri mkuu wa Tanzania

    Ni mara kwa mara waziri mkuu wa sasa bwana Mizengo Pinda kutoa kauli zisizokuwa na mashiko hata kidogo kwa watanzania. Itakumbukwa wakati Jairo alipotoa hongo akiwa kama katibu wa wizara ya Nishati na madini na ikatakiwa achukuliwe hatua, waziri mkuu Pinda alisema hawezi kumchukulia hatua mpaka...
  4. Exaud Mamuya

    Mlipuko wa Bomu Arusha: Watu watatu wafuatao ni lazima wahojiwe kwa sababu zifuatazo...

    1. Mwigulu Nchemba Kiongozi huyu wa CCM amekuwa akitoa kauli zenye utata hapa jijini Arusha pamoja na kwenye mitandao ya kijamii ambazo moja kwa moja zinapelekea kuhisi kiongozi huyu anafamu moja kwa moja kilichojificha nyuma ya pazia kwenye urushaji huu wa bomu uliopelekea kuua watu na...
  5. Exaud Mamuya

    Freeman Mbowe kufunga kampeni za uchaguzi wa madiwani Jijini Arusha

    Ikiwa imebaki siku moja ya kufanya kampeni then siku ya jumapili 16 kupiga kura, siku ya kesho jumamosi 15 Arusha na viunga vyake itazizima baada ya ujio wa kamanda wa anga mh Freeman Aikael Mbowe atakapokuwa anafanya mikutano ya kufanga kampeni na hatimaye kupiga kambi hapa Arusha mpaka...
  6. Exaud Mamuya

    Kilewo ndani ya EATV

    Majira haya kamanda Henry Kilewo katibu wa kamanda maalumu ya Dar es salaam na mratibu wa kanda ya Pwani Chadema atakuwa ndani ya studio za EATV akijadili mambo ya msingi katika Taifa letu! Just watch it. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  7. Exaud Mamuya

    Lema: Ushahidi wangu kwamba Rais Kikwete ni KINARA wa UDINI umekamilika

    Mh Lema amethibitisha ya kwamba ushahidi alioagizwa kuuwasilisha kwa spika wa bunge ya kwamba Rais Jakaya Kikwete ni kinara wa udini tayari ameshaukamilisha. Aliyasema haya hapo jana nilipokuwa nikizungumza naye ya kwamba aliamriwa kuuwasilisha katika vikao vya bunge vya wiki hii lakini...
  8. Exaud Mamuya

    Huyo ndiye Ben Saanane na majibu ya Zitto

    Mara ya kwanza kulisikia jina Saanane ilikuwa ni katika uchaguzi wa BAVICHA miaka kadhaa iliyopita ambapo uchaguzi huo ulimpa ushindi bwana John Heche. Katika uchaguzi ule majina yaliyokuwa yakizungumzwa sana yalikuwa ni Ben Saanane, John Heche na Habib Mchange. Kampeni za hape na pale...
  9. Exaud Mamuya

    Uchaguzi wa Wenyeviti Halmashauri ya Mji mdogo wa USA.

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida ni kwamba Chadema imeendelea kujizolea ushindi mkubwa katika baadhi ya vituo vya kupigia kura katika jimbo la Arumeru Mashariki katika uchaguzi mdogo wa wenyeviti wa halmashauri ya mji wa usa river. Hii ni hatua mojawapo kubwa sana kwa mbunge aliyechaguliwa...
  10. Exaud Mamuya

    Waziri Ole Medeye azomewa...

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida hapa Arumeru Magharibi ni kwamba naibu waziri wa nyumba na makazi mh Ole Medeye amezomewa barabara nzima alipokuwa akitokea kwenye mkutano wa kampeni wa kata ya Bangata hapa Arumeru Magharibi. Hali hiyo ilimfanya dareva wake akimbize gari kwa mwendo usiokuwa wa...
  11. Exaud Mamuya

    Lema alitingisha jimbo la Ole Medeye-Arumeru Magharibi

    Vugu vugu la mabadiliko limeendelea kukiweka chama cha mapinduzi CCM mahali pabaya baada ya aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kamanda Godless Lema kuingia katika Jimbo la Naibu waziri wa ardhi na makazi bwana Goodluck Ole Medeye na kufanya mkutano wa hadhara na kuchota wanachama na wafuasi zaidi...
  12. Exaud Mamuya

    Godbless Lema azidi kuipasua CCM

    Habari za uhakika nilizozipata hivi punde kutoka kwa mh mbunge wa Arusha mjini ndugu Godless Lema zinasema katibu hamasa wa uvccm kata ya mto wa mbu mkoani Arusha na mjumbe wa baraza la utekelezaji uvccm wilaya ya monduli na mwenyekiti wa uvccm tawi la magadini na balozi wa kitongoji cha...
  13. Exaud Mamuya

    Unafiki wa Wabunge wa Mkoa wa Dar es salaam

    Hakika inaniwia vigumu sana kuwaelewa wabunge wa mkoa wa Dar kutokana na walichokiita kauli ya pamoja kuhusiana na uamuzi wa waziri wa ujenzi. Ndugu zangu hawa wamevalia njuga swala hili na kusema linawaumiza wananchi pasipo kujua wao walikuwa mstari wa mbele kutekeleza mambo makubwa sana...
Back
Top Bottom