Search results

  1. M

    Richmond kutikisa Bunge

    Huwa una cooked drama kwenye mada zenye maslai kwa umma.
  2. M

    Kutoka bungeni: Jimbo la Mtera limekosa mbunge!

    CV YA LUSINDE Wanaomfahamu watujuze Kwataarifa nilinazo ni kwamba jamaa anaogopeka sana kwa UCHAWI pale mtera.
  3. M

    Hivi wanachofanya wabunge wa CHADEMA ni haki kweli!?

    we mkurya wa wapi? Watu wanapaza sauti za ukombozi na sio kelele. Wewe unataka kusema ndo wanaopga makelele?leta hoja humu,sio kwa vile nyangine(bosi wako) mwoga wa kutetea wananchi nawe unaleta sera zako za uwoga humu. Nakushauri ukaondoe kathread kako!!
  4. M

    Bunge lawaka moto: Lissu, Msigwa na Lema watolewa nje!

    their Days Are Numbered!
  5. M

    Bunge lawaka moto: Lissu, Msigwa na Lema watolewa nje!

    jana wenje! Leo lisu,lema na msigwa! Kesho mdee na rigia mtema.
  6. M

    =*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

    kwa kauli hizo juu inaonesha wewe ni FF.
  7. M

    Bunge lawaka moto: Lissu, Msigwa na Lema watolewa nje!

    aki nasema lazima ccm iangukuke,mwaka 2015 ni mbali sana, Peoplez power lazima irise.
  8. M

    =*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

    <br /> <br /> Daah! Sasa nikauelezeje my moyo? Bahati ya kukukosa si bahati,hope u knw ni gundu. Bt mungu ataniletea tu,ukiachika nitakuwa tayari ku play your hubby part. Natanguliza thenx.
  9. M

    =*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

    ashadii nakupenda zaidi ya Ugali! Nikubali niwe wako nitajiona mwenye bahati!
  10. M

    =*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

    ashadii akiwa on,FF yupo off Maujanja saplaya!
  11. M

    =*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

    wanaovaa makoti meupe wote sio madokta, Wengine ni wauza nyama. Ff mzee kama anamiaka thelasini ktk ndoa na kama aliolewa na miaka20 inamana ana miaka50. Ushauri:punguza majungu na ulee wajukuu zako.
  12. M

    Matumizi ya iPad Bungeni: Nahodha amuiga Zitto?

    kwa mara ya kwanza magamba kupitia wizara ya mambo ya ndani ya nchi,wanatumia ipad kuwasilisha bajeti yao.
  13. M

    Simpendi Dada Yangu!

    jambo la kawaida, Hata mimi haziivi Yani ni kawaida Katavi. Ila hua ckosi uhuru akiwepo sema mahusiano yangu na yake hayaivi sana.
  14. M

    =*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

    asha unamfuatilia xana wow! Wow! Hii inamaana wewe na yeye ndo yule yule ambae walikua wanasema ni mtu mmoja??
  15. M

    Wanaume na I LOVE YOU

    nikipigiwa cm na my njuli tukianza agana utasikia:. My njuli: honey Mttmagwanda:yes me lov My Njuli: i love you magwanda Mttmagwanda:i love you more me love. Nani anasema latumika vibaya? Aaaagggrhh!
  16. M

    Namuogopa sana lizy!

    namwogopa wow! Wow!
  17. M

    Sijaona mkare (4 girls)

    jamani mi na my best friend,my homeboy, anaenda state mwisho wa mwaka huu au mwanzoni mwa mwaka ujao. Na mapenzi hayahaya ya kwenye mtandao,sasa wanaobeza mapnz ya kwenye mtandao wanataka kuniambia nini??
  18. M

    Namuogopa sana lizy!

    lizzy waukwel kuliko FF
Back
Top Bottom