Search results

  1. Keagan Paul

    Vituko vya X zangu, Kwenye Harusi yangu

    Hata kabla sijatangaza kuwa naoa, nilikuwa na hofu kuhusu Ma X zangu wawili, nilijua kutokana na Ukaribu wa familia zetu lazima habari zingewafikia na lazima wangekuwepo siku ya Harusi yangu. Kilichokuwa kikinipa mawazo ni kwamba hawa Ma X zangu hatukuachana vizuri. Halafu akili zao mbovu...
  2. Keagan Paul

    Vituko vya X zangu, Siku ya Harusi yangu

    Hata kabla sijatangaza kuwa naoa, nilikuwa na hofu kuhusu Ma X zangu wawili, nilijua kutokana na Ukaribu wa familia zetu lazima habari zingewafikia na lazima wangekuwepo siku ya Harusi yangu. Kilichokuwa kikinipa mawazo ni kwamba hawa Ma X zangu hatukuachana vizuri. Halafu akili zao mbovu...
  3. Keagan Paul

    Safari yangu ya Botswana na Niliyoyaona huko

    Tukiachana na ule uzi wangu wa “Nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu wala rafiki” Leo nitawaelezea safari yangu ya kwanza nchini Botswana na nilioyaona na kujifunza huko. Kwa mara ya kwanza niliingia Botswana kupitia Boda yake na South Africa, kupitia mji mdogo wa Zeerust. Nakumbuka...
  4. Keagan Paul

    Iphone 12 Pro inauzwa:Dodoma

    Xx
  5. Keagan Paul

    Siku 365 hazitoshi kukupatia Mafanikio ya kweli katika Maisha

    Wakuu Nisiwachoshe sana Nazungumzia mafanikio ya kweli katika maisha, sio mafanikio ya janja janja. Mafanikio ya janja janja ni kwamba leo una pesa nyingi, magari ya kifahari halafu baada ya miezi/miaka kadhaa unarudi tena kwenye maisha ya kuungaunga\kukosa pesa. Ndugu zangu kama unataka...
  6. Keagan Paul

    Nahitaji Welder kwa Dodoma mwenye uzoefu, Ni Kazi ya Kiwandani

    Kiwanda kipo Dodoma, nahitaji mwenye uzoefu sana. Kama unapatikana nitumie namba yako ya Simu Inbox nitakupigia.
  7. Keagan Paul

    Nahitaji Laptop kwa Mkopo

    rr
  8. Keagan Paul

    Nahitaji Taa za Chemli zile ndogo

    Wakuu nina uhitaji wa kununua taa zile za Chemli ndogo, nimefika Kisutu, Kariakoo na Kwa Iringa nimefika Miyomboni, taa nyingi ninazokutana nazo ni zile kubwa. Mimi nahitaji kupata ile size ndogo,
  9. Keagan Paul

    Kiwanda gani nitapata Turubai zile za nailoni za rangi ya Blue?

    Wakuu ni Kiwanda gani nitapata Turubai zile za nailoni za rangi ya Blue, Kama zile ambazo watu hutembeza barabarani kama pale Mataa ya Mwenge.
  10. Keagan Paul

    Ajira: Store Keeper anahitajika

    Ni Kampuni ya Wachina ipo Mikocheni Dar, wanahitaji Store Keeper. Awe na Working Experience kwenye Store. Kama uko interested na una sifa hizo hapo juu naomba nitumie CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com. Kuwa tayari wakati wowote kwa Usahili. Ahsante sana
  11. Keagan Paul

    Accountant anahitajika

    Ni Kampuni ya Wachina ipo Mikocheni Dar, wanahitaji Accountant wa Kike. Awe na Degree na awe amemaliza chuo Mwaka Jana. Kama uko interested na una sifa hizo hapo juu naomba nitumie CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com. Kuwa tayari wiki ijayo kwa Usahili. Ahsante sana.
  12. Keagan Paul

    Nimepanga kwenda kuishi Msituni/Porini sana

    Kila mtu katika maisha kuna kitu anapenda, kila mtu ana tafsiri yake ya maisha na jinsi ya kuyafurahia maisha. Toka nimerudi kutoka South Afrika Kama kuna kitu natamani kufanya kwenye maisha yangu hapa Bongo na kitanipa furaha ya kweli, basi ni kwenda kujenga na kuishi Msituni,nilijikuta...
  13. Keagan Paul

    Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Wakuu leo naomba kuleta Story yangu ya kweli ya jinsi nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu kule wala mtu wa kunipokea. Ukweli kuna wakati ilifika nilichoka sana maisha ya hapa nyumbani, ilikuwa Mwaka 2014, nilikuwa napitia changamoto nyingi za maisha hasa katika familia. Ukweli akili...
  14. Keagan Paul

    Nahitaji kujua Series gani Kali ya kucheki wikiend hii?

    Wakuu naomba msaada wa kupata jina la series kali ya kucheki weekend hii. Mimi ni mpenzi wa series za Kijasusi, Lovestory pia ila iwe Kali sana. Mfano wa Series ambazo tayari nilizitazama na kuzipenda sana ni 1. Iris 2. Prison Break 3. Game of throne 4. The Last Kingdom 5. The Hundred 6. The...
  15. Keagan Paul

    Stress mbaya sana

    Ghj
Back
Top Bottom