Search results

  1. V

    Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Uchaguzi huu ulikuwa wa madudu

    Wameanza kuogopa hawa jamaa na inawezekana baadae wakatoa details za watu. Sasa inabidi tubakie jukwaa la mapenzi na mahusiano. INAKUAJE THREADS ZINAHUSU UCHAGUZI WANAZICHUJA SANAAA NA MWISHO WAKE HAWAZIPOST. KWA IYO SAIVI JAMII FORUM IMEKUWA PRAISE FORUM NAYO.
  2. V

    Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

    Kumekuwa na sintofahamu juu ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Wapo wanaosema ushindi wa Magufuli ni wa halali na wale wanaosema ni wa kuiba. Kwa kuwa nina hakika kila mmoja anaujuwa ukweli juu ya hili jambo, ili kuondoa unafiki naomba kila mmoja aitikie dua hii ili tujue ukweli. Hii kwa wale...
  3. V

    Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam na Sheikh Ponda ndio watakaomuangusha Lissu

    Si kuna na padri sijui ni askofu nae pia anawaambia wakristo wampigie Lissu. Ponda atawaconvince Muslims na yule askofu wakristo.
  4. V

    Uchaguzi 2020 Kumbe Mheshimiwa Membe ni laghai wa kisiasa!

    Huyo hana lake amejuulikana mapema. Uzuri ni kwamba hana nafasi yoyote yenye maamuzi katika chama. Mshauri hana issue na si mjumbe wa halmashauri kuu.
  5. V

    Zanzibar 2020 Dkt. Hussein Mwinyi akijibu maswali ya moja kwa moja kutoka kwa wananchi - Oktoba 23, 2020

    Bia yetu Kama kudai nchi yetu ni uhizbu, basi mahizbu ni wengi sanaa na twachukuwa safari hii. Oman mtakwenda nyie kuchuna uso muombe msaada.
  6. V

    Zanzibar 2020 Dkt. Hussein Mwinyi akijibu maswali ya moja kwa moja kutoka kwa wananchi - Oktoba 23, 2020

    Anapiga Kelele tu. Zanzibar haiwezi endelea ndani ya Muungano, muarubani wa maendeleo ya Zanzibar ni kuvunja Muungano.
  7. V

    Uchaguzi 2020 Itokee Lissu akashinda Urais, akakupa nafasi ya kutoa pendekezo, ni kitu gani alichofanya Magufuli utamwomba akiondoe mara moja?

    Wanufaika wa heslb wanakatwa 15% badala ya 8%. Lakini pia hili jamaa linaongeza 6% ya deni la awali kila mwaka. Litatuuwa hili babu.
  8. V

    Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali si shwari. Vurugu zaibuka na watu kadhaa wanadaiwa kujeruhiwa vibaya

    Kuna watu wawili waamekufa huko Shumba Mjini Micheweni Pemba. Mmoja ni mwanachama wa CCM na mwengine wa ACT ambae kauliwa na vikosi.
  9. V

    Uchaguzi 2020 IGP Sirro: Kuna baadhi ya vyama wana ajenda ya kufanya vurugu ili uchaguzi usifanyike

    Safi sana bora kinuke huko Jeshi lipelekwe lipunguzwe Zanzibar maana miaka yote munakuja kupindua meza. Naomba dua hali iwe mbaya mikoa mingi majeshi na akari waende huko Zanzibar tumumuondoe jamaa wa MKURANGA. Na vile nasikia kuna habari nyeti katika mpaka wa Tz na Msumbiji.
  10. V

    Zanzibar 2020 ZEC yamfungia mgombea Urais wa ACT Wazalendo Maalim Seif kufanya kampeni kwa siku 5

    Tunaomba Maalim kesho ukanunue maembe kwerekwe, halafu upite darajani ununue halua
  11. V

    Zanzibar 2020 ZEC yamfungia mgombea Urais wa ACT Wazalendo Maalim Seif kufanya kampeni kwa siku 5

    Sawa Maalim pumzika kidogo maana kuna Wagombea vijana wanajipa likizo siku 8 halafu wanapiga kampeni siku 3 wanajipa tena likizo siku 4 so haipunguzi kitu. Sisi tunajiandaa kwenda kupiga kura 27/10.
  12. V

    Zanzibar 2020 Nini sababu hasa ya Kura ya Mapema kwa wapiga kura wa Zanzibar wasiozidi laki 5?

    It's called Napelization. La mkono hilo mkuu. 1. Mimi nadhani ni vyema kwanza kuwe na usiri katika kupiga kura, hakuna haja ya kuwa na bahasha za kutilia kura na kuandikwa number ya kitambulisho cha mpiga kura juu ya bahasha hio. 2. Kama kuna ulazima wa kura ya mapema, kura zote zihesabiwe mara...
  13. V

    Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

    Sasa mkuu hio content kama lugha hujui unaandika vipi, au unaandikiwa? Usitake kupotosha hapa unaongea na wasomi hapa sio Instagram. PhD level unakuwa unawork independently. Lazima uweze kuandika vizuri, hio content unayo ongelea wewe inaangaliwa katika maandishi yako. Kama hujui lugha huwezi...
  14. V

    Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

    Mkuu kushawahi kufanya research japo ya mastery level? Unapofanya research hasa at PhD level ukafikia kudefend na kugraduate kama kweli umefanya mwenyewe bila ujanja hauwezi kushindwa kutoa speech kwa lugha uliofanyia hio PhD mbele ya kadamnasi. Sasa wewe PhD holder umefanya research kwa lugha...
  15. V

    Zanzibar 2020 Tume ya Uchaguzi Zanzibar: Kura ya mapema (Oktoba 27) haitahusisha Askari wote

    Kwa mujibu wa maneno ya mwenyekiti wa tume ya ZEC watumishi hao na mapolisi watalazimika kupiga tena kura tarehe 28 ya muungano. Sasa kwanini wasipewe ballot papers zote tano hio siku ya tarehe 28. Inamaana ndio tuseme kutakuwa na tofauti kubwa ya kupiga kura tatu tarehe 27 na kupiga kura tano...
Back
Top Bottom