Habari wana JF
Mimi nina mzungu mmoja ananunua copper ore (mawe yenye copper) kutoka kwa wachimbaji wadogo popote pale tanzania. Kama mtu anachimba copper au anamfahamu mtu anayechimba copper, tunawezafanya biashara nzuri. Unachotakiwa kufanya ni kama wewe ni mchimbaji, ukishachimba hiyo copper...
Habari za mchana. Nilienda brela kuandikisha kampuni wakaniambia baada ya name clearance, nipeleke documents kama tano hivi na laki 3. Hiyo ni bei sahihi na idadi ya documents? Maana nimeona kwenye website yao gharama za usajili hazifiki hata laki tatu
Hello
Nataka kufahamu ni kwa kiasi gani wananchi wa TZ wanatumia unga wa muhogo katika mlo wao wa kila siku ukilinganisha na unga wa mahindi? Na pia kama ukianzisha biashara ya kuuza unga wa muhogo, inalipa au makampuni mengine yashaliteka soko la unga nchini?
Heri ya mwaka mpya
Mimi ninatarajia kufungua kampuni ya ujenzi. Nimetembelea website ya CRB kucheki jinsi ya kusajili kampuni ila info kuhusu kiwango cha elimu cha mmiliki au partners wake sijaona. Anayefahamu haya mambo anitumie link au anipe info.
Senkyu
Heri ya mwaka mpya!
Kwa anayefahamu, ni kiasi cha pesa kinahitajika kulibadilisha land rover defender or toyota hardtop la kawaida kuwa la kitalii (kuweka viti na kufunguka juu)?
Habari zenu. Kwa wenye uzoefu katika sekta ya madini, kwa mtu anayetaka kuanzisha mgodiwa saizi ya kati, ni madini ya aina gani hayana gharama kubwa kuchimba na processing?
Habari zenu. Mimi katika masomo yangu ya biashara nayosoma nimegundua kwamba wanadamu wanakuwa maskini kutokana na sababu mbalimbali mfano: jinsi ulivyolelewa, jinsi unavyoamini, mazingira unayoishi (mfano ukiwa ulaya ni rahisi kupata mikopo midogo midogo kuliko ukiwa tz), n.k. Sasa nimeona hizi...
Habari zenu. Mimi nafikiria kuwekeza kwenye kilimo. Natarajia kuwa mwekezaji wa kati, sio mkubwa kama azam au mdogo kabisa, ila wa kati. Nachotaka kufahamu ni kwamba, kilimo kinalipa tz sana sana ukizingatia mvua ni za kubahatisha? Pia serikali inasaidia wakulima/wawekezaji na misamaha ya kodi...
Hamjambo wanaJF. hebu mwenye uelewa aniambia nini maana ya mwekezaji, ni mzungu anayetoka nje na kuja kuwekeza nchini au hata Simon wa mtaani mwenye duka la kawaida ni mwekezaji pia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.