Mi naona kama vile bei yako ni fare ukizingatia zile gharama kubwa kubwa zinazochajiwa na hawa walimu wetu wa ujasiriamali. Naweza tembelea nione mradi wako wa kutengeneza mkaa wa kisasa? maana hapo juu umesema unatengeneza mkaa
Wewe mbona mtu wa ajabu sana? Una mawazo ya kimasikini kweli na ya kizamani. We huoni ni majanga hayo kwa upande wako! We hasara kweli kweli. Boresha uwezo wako wa kufikiri
Watu wengi wenye elimu na vipaji vya biashara wenye fire ya kufanya biashara na kufanikiwa, wanahangaika kutafuta mitaji ya biashara wanakosa. Ila mtu ka wewe ambaye uko katika nafasi nzuri ya kupata mtaji kutoka benki na kuanza kufanya biashara, unakaa kupoteza myda kutafuta partners, ambao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.