Search results

  1. Angel Nylon

    TMA wakitoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa shule zifungwe kwa kipindi hicho, tusisubiri wengine wazame tena

    Basi ni vyema kwenye ratiba ya mwaka shule zifungwe myongo wa mvua kubwa.
  2. Angel Nylon

    Must see Movies

    Netflix dada
  3. Angel Nylon

    UKIMWI upo ndugu zangu

    Huyo wa kukutana nae kwa mara ya kwanza at least angetumia kinga. Ila kwa mtu wako hakuna namna km kaamua kukucheat...lkn pia kuna haja ya kujenga utaratibu w kupima. Just ushauri tu ingawa tunaishi kwa kuaminiana sana bila ya kujua kila mmoja ana dhamira gani kwa mwenziwe
  4. Angel Nylon

    Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

    Huyu ndio kafia hospital, tulijua atapona lkn haikuwa rizk 😭😭😭
  5. Angel Nylon

    Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

    Nimepoteza paka wanne ndani ya week 1, wameumwa hatujui nini mpk Leo...kutapika, kukosa appetite ht maji walikuwa hawawezi kunywa. Watatu wadogo wana km 2 months tu, na mmoja mkubwa kiasi alizaliwa mwaka jana. Kabaki mama yao tu na hivi km mwezi nilimfungisha uzazi. Yaani naandika hapa machozi...
  6. Angel Nylon

    Hivi ni kwanini bei ya samaki ni ghali sana maeneo ya pembezoni mwa bahari

    Mie nna waswas hata hao wavuvi sijui kama wanakula hao samaki Zanzibar vibua 4 elfu 10 kweli. Wakati zamani kdg tu hapo hio elfu 10 unapata ndoo nzima ta vibua
  7. Angel Nylon

    Wanaotoka kazini wanapitia Bar inawahusu

    Kuna wanawake wanakuwa wapole na wakimya sana...kuongea wanajifunza wakishakuolewa kwa sababu ya maudhi ya wanaume zao. Sio kila mwanamke anampigia mwanamme makelele kwa sababu anapenda, wanaume wengine mmezidi maudhi, mnawadharau wake zenu, kwa sababu tu mtu anatoka kutafuta mkate basi anakuwa...
  8. Angel Nylon

    Wanaotoka kazini wanapitia Bar inawahusu

    Kwa hio alijua anazo 5?
  9. Angel Nylon

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Duuh, kwa hio leo ningebet ningekula
  10. Angel Nylon

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Mie utabiri wangu leo ulikuwa hivi
  11. Angel Nylon

    Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji

    Wanaume hio michi yenu inajua kuwaponza. Wengine hamchagui minutes nyie mnatwanga tu. Hamjui kama minutes nyengine vinaleta mitosis na mabalaa. Utamu gani huo wa kuwatoa akili kiasi hicho khaaa!!
  12. Angel Nylon

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Uk, America, na nchi nyingi hizo zinazoitwa za kimataifa wananchi walifanya maandamano huku wakiwa wameshika mabango yalioandikwa free Palestine. London Bridge ilitaka ku fall down kwa uwingi wa watu Hao Waisrael wanne hawawezi kubadilisha chcht, waache fujo
  13. Angel Nylon

    Watu wengi wa Pwani hawajui kuzungumza kiswahili Fasaha

    Ami au hio uloandika ammy ni baba mkubwa au baba mdogo. Mjomba ni hio hio mjomba yaani ndugu wa mama Funga mlango pia unaweza kusema komea mlango. Na hio Korlmea au tia pete yaani ni ku lock. Lkn funga ya ku shut tunatumia hio hio funga mlango. Hapo nilitegemea ungeongelea tunavyokata maneno...
  14. Angel Nylon

    Watu wengi wa Pwani hawajui kuzungumza kiswahili Fasaha

    Ila bokoboko zanzibar ni chakula hiko, ngano kwa kuku au nyama vinapikwa pamoja mpk vinakuwa laini sana then vinasongwa vinakuwa kama mseto wa mchele na chooko. So ukiwa zanzibar ukisema bokoboko wanajua bi hiko chakula. Wali ukiwa mlaini sana huku kwetu unaitwa bondo. Ubwabwa mara nyingi...
  15. Angel Nylon

    Watu wengi wa Pwani hawajui kuzungumza kiswahili Fasaha

    Kweli, akikaa na mmakunduchi huyu au mtu wa nungwi haambulii kitu japo wanaongea kiswahili. Mie nipo zanzibar miaka lkn mmakunduchi akichowea sifaham kitu Au umsikie mpemba wa kijijini huko ndio utablow 🤣
  16. Angel Nylon

    Watu wengi wa Pwani hawajui kuzungumza kiswahili Fasaha

    Mkuu umesoma mass na volume pamoja na scales ⚖️ zake au physics ya form 1 ushaisahau. Kuna vipimo vya uzito vinatumia spring balance au beam balance ndio hivyo vya kg. Na kuna vipimo vya volume-ujazo ndio hivyo vya lita. Mfano mafuta, maziwa, petrol ⛽️ n.k
  17. Angel Nylon

    Watu wengi wa Pwani hawajui kuzungumza kiswahili Fasaha

    Vipimo vipo vingi, cha kwako umetolea mfano wa fraction. Lkn kuna kipimo cha Kilogram ambazo ni gram elfu 1, nusu kg ni gm 500 na robo kg ni gm 250. Mchele, unga, sukari, nyama vinatumia hivo vipimo. Either kilo kamili au nusu au robo na kuna mawe special ya hivo vipimo wanatumia kwenye mizani...
  18. Angel Nylon

    Watu wengi wa Pwani hawajui kuzungumza kiswahili Fasaha

    Sio kilo kasoro robo, ni kilo kasorobo
  19. Angel Nylon

    Kwa hii idadi ya noti za tsh 10,000 ziazotoka kila dakika kwenye ATM kuna ulinganifu kweli na noti nyingine mtaani?

    Alaa, umeenda ATM za bank gani? Na bank ngapi umeingia mdani pia ukalipwa misimbazi tu?
Back
Top Bottom