Search results

  1. max 255

    Eti utaratibu wa kufungua sanduku la posta upoje?...nahitaji for online purchasing

    Habari zenu wakuu, natumai harakat znaend fresh Naomba kuuliza kwa mwny uzoef kufungua postal address /S.L.P , utaratibu upoje.. Naitaj kuwa na postal address ili ninunue vtu online (eBay na aliexpress) Msaada kwa anaefaham!! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. max 255

    Kuna sayari zaidi ya Billioni 100 katika Universe, Je Viumbe hai tupo peke yetu ?

    TEAM ELON MUSK tutalifanyia kaz hiloo, tukianza kuishi Mars Sent using Jamii Forums mobile app
  3. max 255

    Quotes/ Nukuu za Kibabe toka Movie za Kibabe.

    I'LL BE BACK ... #terminator Sent using Jamii Forums mobile app
  4. max 255

    UPDATE: nimekutwa na UKIMWI...bora nife tu

    Let's connect mzee...nichek PM , maneno ya watu co final say...ideas zako zkifika kwa audience.. Ndo wana final say na chance ya kuimprove ipo kubwa saaana..NEVER GIVE UP
  5. max 255

    UPDATE: nimekutwa na UKIMWI...bora nife tu

    Thanks... Kila hatua dua
  6. max 255

    UPDATE: nimekutwa na UKIMWI...bora nife tu

    Nope...mm I wrote the story, directed and shot it
  7. max 255

    UPDATE: nimekutwa na UKIMWI...bora nife tu

    [emoji120] [emoji120]
  8. max 255

    UPDATE: nimekutwa na UKIMWI...bora nife tu

    Habari zenu wakuu, hope mko poa.. Naomba niwafikishie taarifa hii, juu ya thread hiyo ambayo nliandika tarehe 14 Nov km ckosei... Thread ilipokelewa kibinadamu ....maana yake kulkua na majbu ya aina zote, wengi walkua wanaotoa ushaur mzur lkn kuna bnadam wachache walotoa comment za ajabu...
  9. max 255

    Ushauri; nimekutwa na UKIMWI... Bora nife tu.

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana ,24 ...nimekuja hapa mjini tangu 2014, nikitokea kijijini kwetu mtwara. Hapa skua na ndugu hata mmoja Ila nmehaso angalau nimepata kibanda cha kuegesha mwili ucku na mishe za hapa na pale ili niweze kula. Vhela kdg vlivyobak , km mjuavyo cc vjana mfuko ukijaa...
  10. max 255

    JamiiForums Usiku wa manane

    Woza woza
  11. max 255

    Eti ukienda kushoot music video au short film maeneo ya coco beach unalipia?

    If una uzoef wowote juu ya hilo au information... Plz tell me #naongelea PROFESSIONAL VIDEO/MOVIE full equipments na crew Au km kuna kulipia au kupata vibali,..where am I supposed to go? Location znyw ni beach pnyw, kule kwny rocks na miti miti... #nawasilisha
  12. max 255

    Kwa wale waigizaji, watunzi wa story, directors wa movie...pitia hapa please

    M.A.X STUDIOS (FILMS) Link ya group ilo...for all interested karbuni sana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. max 255

    Kwa wale waigizaji, watunzi wa story, directors wa movie...pitia hapa please

    Thanks mkuu, group lipo na link yake hii hapa M.A.X STUDIOS (FILMS) Unaweza join, au ntakuadd baadae Na wengine wote mlio interested join our group kwa link hii hapo juu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. max 255

    Kwa wale waigizaji, watunzi wa story, directors wa movie...pitia hapa please

    Ni jambo jema kabisa mkuu na nitashukuru sana, naamin tunaweza cooperate tukapga kaz nzuri zaid... Nakutumia namba yangu PM ili tuwasiliane zaid Sent using Jamii Forums mobile app
  15. max 255

    Kwa wale waigizaji, watunzi wa story, directors wa movie...pitia hapa please

    Kwa wale waigizaji, watunzi wa story, directors wa movie...pitia hapa please - JamiiForums Kwa wale waigizaji, watunzi wa story, directors wa movie...pitia hapa please Sent using Jamii Forums mobile app
  16. max 255

    Kwa wale waigizaji, watunzi wa story, directors wa movie...pitia hapa please

    Habari zenu wakuu, hope mko poa . Ebwana straight to the point, Mimi ni aspiring filmmaker (director) . Na kwa muda sasa nmekua nafanya research juu ya hizi movie zetu #bongomovie na kuangalia makosa na wapi panaitaj maboresho. Kwa kweli nmeona mengi, na pia nimejifunza mengi...kuanzia maswala...
Back
Top Bottom