Search results

  1. Damaso

    Zanzibar ipewe kipaumbele kwenye miundombinu

    ZRB na TRA hawana utofauti sana ila kimsingi mmoja anakusanya mapato kwa Tanganyika na mwingine Zanzibar
  2. Damaso

    Zanzibar ipewe kipaumbele kwenye miundombinu

    Ni hoja nzuri sana Mkuu ila ZRB inakusanya mapato chini ya Kamishna Mkuu Mh Yusuph Juma Mwenda, je mapato yao yanaenda wapi?! Huku Bara tuna TRA chini ya Mh. Alphayo Kidata, pesa zetu ndo zinakwenda kujenga bwawa la Nyerere, bwawa ambalo ndo linatoa na umeme kwa Wazanzibari. Pia pesa zetu ndo...
  3. Damaso

    Picha: Geti lililojengwa na TANAPA kuingia hifadhi ya Nyerere kwa Tsh. Bilioni 2

    Ukiwa Tanzania na ukapata nafasi ya kuwa kiongozi hakikisha unapiga pesa! Unapiga pesa kiasi kwamba hata mkeka ukitoka na jina lako likawa halipo basi huna shida! Piga pesa kabla hata Katiba mpya haijafika! piga pesa kiasi kwamba umpeleke mwanao akasome nje ya nchi! piga pesa!
  4. Damaso

    Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Mkuu tuongee ukweli! Hawa maafisa michezo wanaonekana tu kwenye fainali za UMISSETA pamoja na UMITASHUMTA. Dondo Cup tu ni kipengele!
  5. Damaso

    Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Safi sana Mkuu! Moja kati ya andiko bora sana! Fupi ila limejaa madini sana! Cha kuongezea hapo tu! Tunaweza kutengeneza kazi au fursa ambayo itajumuisha michezo na utalii! Tunatumia sehemu ya utalii na mpira ili kuongeza uelewa zaidi! Safi sana Mkuu
  6. Damaso

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Juzi kati hapa nilipata nafasi ya kuhudhuria kikao cha UVCCM nikashangaa kuona Mjumbe mmoja anawaomba Halmashauri wafanye wepesi kuwapatia nafasi wanachama ili kuunga mkono jitihada za Mama! :( Niliondoka kama naenda Washroom ila ndo moja kwa moja!
  7. Damaso

    P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

    Aisee ni balaa
  8. Damaso

    Je, ni sahihi mambo haya kufanywa na wanandoa?

    Habarini Wakuu! Naomba kuchangia andiko! Ndoa au familia yoyote ile ambayo ni bora inajengwa na heshima na adabu. Heshima ya Baba kwa Mama Heshima ya Mama kwa Baba Heshima ya Baba kwa Familia Heshima ya familia kwa Baba Heshima ya Mama kwa familia Heshima ya familia kwa Mama Mwisho ni heshima...
  9. Damaso

    Fahamu kuhusu Ponografia na Uchumi

    Dunia ipo hivyo Mkuu
  10. Damaso

    Fahamu kuhusu Ponografia na Uchumi

    Kw Kwanini Mkuu
  11. Damaso

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    anal sphincters tena jamani :D
  12. Damaso

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Mkuu kitaalamu stori iwe fupi tu! Achana na Mke ya mtu! Wanawake wapo wengi! Manung'uniko ya mwanaume mwenzako sio kitu kizuri kabsa! Kut 20:17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng’ombe wake, wala punda wake, wala cho...
  13. Damaso

    Emergency fund: Unatumia njia ipi kujiwekea aina hii ya akiba?

    Hongera sana Mkuu! Binafsi huwa natumia njia hii: Naandika mahitaji yangu yote katika maisha, kisha ninatenganisha mahitaji ya msingi sana na muhimu huku upande wa pili nikiweka yale yasio na ulazima. Chakula huwa nanunua kingi cha kutosha tu. Kilo 50 za Unga naweka ndani, Kilo 25 za Mchele...
  14. Damaso

    Mwenezi CCM Arusha: Kama huna Kadi ya CCM umemsaliti Mungu

    Kwa hakika mtu aliye na familia yenye hekima hawezi kutoa maeneo hayo! Huyu dini imepita mbali kabsa!
  15. Damaso

    Mwenezi CCM Arusha: Kama huna Kadi ya CCM umemsaliti Mungu

    Usijibu kauli mbaya kwa kauli mbaya! Huyu anajibiwa kama hivi: 1. Kwanza kabsa anajishushia heshima yeye binafsi kwa kauli kama hizi! Na amini usiamini "Hakuna kitu kibaya kama kulamba miguu ili upate nafasi au kipato" Kujimwambafyai huku kumezidi. Alianza Mwenyekiti UVCCM Kagera akasema kuwa...
  16. Damaso

    Kama hujajiandaa kuingia kwenye ndoa usiingiee kabisa

    Safi Mkuu kwa andiko zuri sana! Haya ni baadhi ya kuongezea tu! Usiingie kwenye ndoa kwa kigezo cha kuwafurahisha rafiki au ndugu! Utafeli vibaya sana! Watu hubadilika mapema sana, haswa jinsi ya kike maana hawa hutazama harusi na ndoa kama vitu ambavyo ni dhahania. Hongera Mkuu
  17. Damaso

    Fahamu kuhusu Ponografia na Uchumi

    Including Mkesha wa kupokea Mwenge! asubuhi ile ya saa 12 ukakutana na CD za kutosha sana!
  18. Damaso

    Fahamu kuhusu Ponografia na Uchumi

    Binaadamu wana mifumo yao!
  19. Damaso

    Fahamu kuhusu Ponografia na Uchumi

    Nadhani Mia anajuta kwanini alifanya kuigiza huko.
  20. Damaso

    Fahamu kuhusu Ponografia na Uchumi

    Ndio Wanafahamu na wanaunga mkono kwa 100%
Back
Top Bottom