Search results

  1. Going Concern

    Nishauri juu ya Tiles nisifanye makosa ya kawaida yanayoweza kuepukika

    Habari wakuu! Nimerudi tena baada ya kujikusanya na kujipanga sana. Nimefika hatua ya kuweka vigae (tiles). Sasa kuna jambo ambalo nimejaribu kupitia post mbalimbali na kugundua kwamba vigae pia vina daraja (grades) tofauti, yaani A, B, C. Kutokana na bajeti yangu, sioni uwezekano wa kutumia...
  2. Going Concern

    Kipi kianze? Kupaka Rangi ndio niweke PVC Windows au niweke PVC kwanza Ndio nipake Rangi?

    Habari za wakati huu wajuzi wa mambo. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu, nimefika stage hiyo na ningependa kufanya kitu sahihi ili kuepuka makosa ambayo ningeweza kuyaepuka endapo ningeomba ushauri kwa watu wenyekujua kipi kifanyike. Nimeshamalizana na skimming, je naweza paka rangi...
  3. Going Concern

    Kipi ni sahihi? Kuanza na plasta ndio uweke frame za milango au uanze kuweka frame then plasta?

    Kipi kinafaa kuanza kati ya plasta au kuweka frame za Milango kwanza? Lengo ni kupata frame ambayo itajaa kwenye kuta vizuri. Naogopa nikianza kuweka frame ataweka ukubwa Sawa na kuta za Milango hivyo wakipiga plasta haitokua imejaa! Wakipiga plasta then Uje uweke Milango haitokua imeshika...
  4. Going Concern

    PPR na IPS zipi ni nzuri zaidi kwa mfumo wa maji safi (Baridi na moto) kwa nyumba?

    Nimefika atua ya kuweka mfumo wa maji safi ndani ya nyumba. Naona fundi kaandika IPS ambazo ni rangi ya Damu ya mzee lakini most of my neighbours naona wametumia PPR ambazo ni rangi ya kijani. Naomba kujua ubora kati ya PPR na IPS na gharama zake zikoje. Asante
  5. Going Concern

    Vitu gani vinaamua idadi ya njia za Main Switch kwenye nyumba yako?

    Kuna nyumba Nimefika hatua ya wiring. sasa kuna Fundi jirani na ninapojenga aliomba kazi akaomba kunipigia gharama ya vitu. Moja ya vitu aliandika Main switch (3 phase 12 ways). Fundi ambae kajenga Boma mpaka kuezeka naye akaleta fundi wake akaandika vifaa vyake na Main Switch (3 phase 18...
  6. Going Concern

    Ukitaka kujua wewe ni wanaume type gani, Tazama wanawake uliyotembea nao na jinsi unavyowazungumzia mbele ya watu

    Ni muda mrefu sanaaa zaidi ya mwaka na sijapata nafasi ya kupitia jukwaa la Mapenzi labda kutokana na ubize au jukwaa la mapenzi kukosa mada za kushawishi na kujifunza kitu Kipya. Mara nyingi sanaaa mimi ni mpenzi wa jukwaa la Habari, siasa, Biashara na uchumi, pamoja na Jukwaa la Afya. Usiku...
  7. Going Concern

    Ufanye nini kipindi cha ujenzi kuepuka wizi wa mafundi?

    Kwa wajuzi wa ujenzi, unatumia njia gani kupunguza( nasema kupunguza maana najua ni vigumu kutokuwepo) wizi wa mafundi na usumbufu? Maana usipokuwa makini unaweza maliza kujenga na fundi nae akamaliza ujenzi kwake. Watu wanasema mara nyingi ukianza kujenga tu, na majirani zako na wenyewe...
  8. Going Concern

    Kwa wana ndoa ambao wanazaidi ya miaka 3 wajapata watoto na wamepima hawana tatizo lolote

    Kama uko kwenye ndoa hujabahatika kupata mtoto na umepima hospitali wewe na mke wako mko vizuri tu nataka niwasaidie, sitaki ata shilling kumi ya mtu, nikikuomba hela jua mimi muongo ila nachokata ukifanikiwa kupata mtoto nenda kituo chochote cha watoto yatima na utoe zawadi ya shukrani.. Mama...
  9. Going Concern

    Natafuta kiwanja kizuri Goba, Ukubwa Sq kuanzia 700

    Kama una kiwanja naomba nicheki, Ujanja ujanja weka pembeni, tutafungana.
  10. Going Concern

    Kwanini katika chumba cha upasuaji kote Duniani wanazaa au kutumia nguo za kijani

    Ma Dr. na wajuzi wa mambo, hili swali limekua likiniumiza sana kichwa, majibu niliyopata Google hajakunifanya niishie hapo... Kwanini rangi ya kijani?
  11. Going Concern

    Muda Gani Baada ya kununua gari kutoka Japan unatakiwa kumwaga Oil ya Gearbox?

    Msaada wakuu, maana nishatembea mwaka mzima, uwa namwaga Oil ya Engine tu.. Pia service gani nyingine natakiwa kufanya maana chombo bado hiko Poa, si mnajua ki gari cha kwanza wakuu, kwaiyo mambo mengi bado kuyajua vizuri na bora kuuliza kuliko kujifanya unajua then ukazingua zaidi
  12. Going Concern

    Mwenye mimba kupewa Dawa zote hizi?

    Wife ana mimba ya miezi mitatu na siku, alipojua ana mimba tu nilimuomba kuanza kwenda hospital mara moja, alipewa vidonge vya Folic acid ambazo alizitumia kwa kipindi chote cha siku 30 sasa tumeamia makao makuu ya nchi, ikabidi kwenda kumuona Dr mwingine tena ambaye alishauri tufanye vipimo...
  13. Going Concern

    Natafuta Crossmember ya Jaguar S Type

    Nina tafuta kifaa tajwa hapo juu... Offa yangu 600,000, niko Dar.
  14. Going Concern

    Msaada: Mlango wa Nyuma haufunguki kwa ndani na kioo hakishuki

    Nina ka mkweche kangu Toyota Premio 2006 gafla Mlango wa nyuma upande wa kushoto haufunguki kwa ndani na kioo hakipandi wala kushuka, nini tatizo? nini chakufanya
  15. Going Concern

    Je, hii ni njia sahihi ya kusafisha uume baada ya haja ndogo?

    Kwa wanaume wote, imekua kawaida sana baada ya kujisaidia haja ndogo, tunatikisa (shake) uume kama ndio njia ya kujisafisha au kutoa mkojo unaobaki. Je, hii ndio njia sahihi au? Pia soma Je, ni sahihi kwa mwanaume kwenda haja ndogo chooni na kopo la maji kama wanawake?
  16. Going Concern

    Msaada: Alieniuzia kiwanja kisicho chake ananikana kutonijua

    Kuna mtu aliniuzia kiwanja nikafata taratibu zote kama kupitia kwa mwenyekiti wa mtaa....na Afisa mtendaji, Baadae kufatilia katika kutafuta hati nikaja kugundua kiwanja sio chake, Nimefungua kesi mahakama ya wilaya, akaitwa... hakimu akasema anaitaji mashaidi, bahati mbaya mtu niliyemtumia...
  17. Going Concern

    Naitaji kiwanja maeneo ya Kigamboni, Makongo juu, na chanika...

    Nashinda na Kiwanja maeneo tajwa hapo juu, mwenye nacho naomba tuongee business PM. Kama ni Dalali sitaki, naitaji mwenye kiwanja chake kabisa.... sitaki matatizo mm
  18. Going Concern

    Premio 2OO6

    Wandugu zangu, Katika ujenzi wa taifa, nataka kuagiza hii gari, naombeni kujua ubora wake na matatizo yake niandae kiasi gani mpka kuwanayo barabarani.
  19. Going Concern

    Doctor wa macho yupi ni mzuri kwa Dar?

    Kuna ndugu yangu anaumwa macho, yanatoa machozi tu...katumia Dawa zote lakini Bado tatizo liko pale pale... Naulizia daktari yupi wa macho ni mzuri kwa Dar na anapatikana hospitali gani na nitashukuru zaidi nikipata mida yake ya kazi. Asanteni.
  20. Going Concern

    Wapi napata Brand New Smart TV 40 LG au Samsung Bajeti yangu 800,000

    Lazima iwe smart TV... niko Dar es salaam Naombeni mnielekeze sehemu ntayopata
Back
Top Bottom