Kiukweli hoja hii nitam sana ndugu yangu kiukweri mi binafsi nami nimekuwa na wasiwasi na kitengo hiki cha TBS kiasi kwamba nahisi rushwa imewaganda ktk vichwa vyao ama hawako makini kabisa wakati mwingine naona bora hiki kitengo kinge futwa au kubadirishwa watendaji wake maana bidhaa nyingi...
hodi wenyeji wa jumba la watu makini. kwa jina naitwa rachi hatimae nami leo nimebisha hodi.ni matumaini yangu kuwa mtani karibisha na kuniongoza.jamani hodiiiii hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.