Search results

1. S

Benki ipi inayotoa mkopo kwa riba ndogo kuliko zote hapa Tanzania

Seems ni expert wa loan...malizia tu na jb stahili
2. S

Kumbe TRL ilikuwa inamilikiwa na watanzania na siyo Wahindi!!

Aic heko kwa hiyo news...lkn tupe japo herufi za mwanzo za huyo kigogo wa migodi
3. S

Siri nzito;sali usiku wa leo kukemea kikao cha freemassons kesho

vp tena freemasons unataka kum bip mchungaji ?
4. S

Wasifu (CV) wa January Makamba

wakuu ningependa kufahamu maelezo (cv) ya mbunge januari makamba. Kuanzia elimu yake, (na alama alizopata) na maisha yake kwa ujumla. Na ni sifa gani ya pekee ambayo ilimfanya apate nafasi ya kuwa msaidizi wa j.k (2005 -2010) inasemekana jamaa anaandaliwa kuja kuwa president wa tanzania...
5. S

haya maswali yanamaanisha nini kwenye usahili?

Ha ha ha ha ha ha Tehe tehe tehe ! Kwi kwi kwi kwi !
6. S

MDAHALO: Tundu Lissu vs Job Ndugai kama ilivyoonyeshwa na Star TV

Unasema Ndugai kasema ana nini na Chadema ?...ebu rewind hapo a bit !
7. S

CCM-Igunga

Re : NEC-ROST KUVUA UBUNGE. Igunga wazawa wanahitaji muislam sasa ktk hao wawili muislam anatakiwa akawasikilize wazee wa pale Igunga ndio maana CUF imepamba moto na kinachoniogopesha hapa ni je ktk karne hii kuna element za udini kweli ?...ubaguzi ?...usisi na uwao ?
8. S

Wasomi, wanaharakati walilarua Bunge

At the end of the day tutashuhudia minyukano humo bungeni,we were right to vote 4'em but they're wrong 2 sacrify their personels toward sitting allowances ! Imagine wanatumia bil 506 p.a waache kusema NDIYO ? Leo project ya railway ambayo R.O.I iko wazi viable tunaicha inakufa..kumbe kunge...
9. S

Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

Kuhusu Rost aliitwa awepo nchini lakini tangu JK aripoti dom juzi yasemekana jamaa hawezi tua nchini,na pili khs jimbo la Igunga sera iliyopo pale ni kwamba kampeni ya CUF iko juu asilimia 95% na CCM wanaumia vichwa wamuweke nani kwani wenyeji wanataka muislamu tu. Tatu kuhusu umeme kima cha...
10. S

CHADEMA walitumia Bil.5.3 uchaguzi mkuu 2010

Nilivutiwa nilipoona members tunaumia na matumizi mabaya ya rasilimali kama siyo poor allocation ya resources na hapa namuomba anaejua accuracy figure iliyotumiwa na wavua magamba ili tuone analytical evaluation na hii bil 3
11. S

Maadui wa Watanzania: Aongezeka mmoja

Nukuu:...hakuna skl thabiti inayoendesha nchi bila kukusanya kodi,nchi zote zilizotoa kipaumbele ktk hili leo zinapiga hatua mf.Italia wamefanya hili ! ! na mkishakuwa na serikali corrupt hamuwezi kukusanya kodi bali mtawawatumikia wakubwa..mtawawambia nini ! ?.Watakujibu tu ahaaa unaniambia...
12. S

Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

Excellency !...hope umenipata ninaposema haijadiliki
13. S

Meya manispaa ya Songea afariki dunia

Kuna hili laonekana kwa wana JF : Kwanza tumepata taarifa ya msiba,cha pili msiba unamuhusu mwanasiasa,cha tatu hapa tunatakiwa ku'mourn' na mwisho cha nne ni kuiongelea kata ya uchaguzi...tofauti yake naona vipengele 1,2,3 vinalukwa then preference inaenda ktk 4.Hey ! ndicho chatupasa ?
14. S

Sasa nimemwelewa Mh Lowassa!!

Lws kweli ni mchafu kiasi hicho ?na je, wana monduli wanamu ID vp?anaejua za monduli anipe kidogo.
15. S

Meya manispaa ya Songea afariki dunia

Mungu ailaze roho mahali pema peponi..amen !
16. S

Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

Ishu ya madawa ya kulevya ni nzito kuijadili kama ambavyo the chirld of a farmer alivyosisitiza ni bora walipa kodi tumkate kichwa kuliko yy kumtaja mfilisi wa kodi zetu-THE MEREMETA !
Back
Top Bottom