Search results

  1. Madam vivian original

    Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

    We jamaa c ulitoa post unaumwa miwasho, mm nikakushaur itakuani faungus nenda hospital Leo umesahau ndo nakuukiza unaendeleaje rafiki yangu brek ya kenge[emoji3]
  2. Madam vivian original

    Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

    Ningefanyaje mkuu na wakati jamaa Kama ananipenda huku anajifanya madam madam, namwambia nimemiss yy anasema Asante. We unaona iko sawa kweli ndugu yangu
  3. Madam vivian original

    Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

    Ila nayeye atakua kaumia mkuu, hembu nitie moyo bas[emoji3]
  4. Madam vivian original

    Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

    We kweli brek ya kenge vp kwanza ushapona miwasho[emoji3]
  5. Madam vivian original

    Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

    Eeh mkuu nilitaka kubembelezwa[emoji3][emoji3]
  6. Madam vivian original

    Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

    Wakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara pika nije kula na kudekezana. Nikaanza kuona hapa nikileta ujinga tutaingia kwenye mahusiano, na mtu mwenyewe jamaa...
  7. Madam vivian original

    TRA Tanga ni majasusi

    Ni kweli wanakosa Ni wangefata Sheria wsngepelekwa police na wangelipa faini kuliko walivyo wafanya je ikitokea wamepoteza maisha na mtu ana familia inamtegemea. Ni kosa ndio he Ni halali kwao kuua na kudhuru mtu
  8. Madam vivian original

    TRA Tanga ni majasusi

    Ndugu zangu JF habari za masiku mengi. Nina ndugu yangu amekuja kutafuta maisha Tanga nimempa bodaboda anaendesha na maisha yanaenda. Leo jioni akanipigia kuna inshu nimsaidie, anasema kuna mpemba katoka zake zenji ana madungu ya mafuta anauzani mafuta ila anauza bei chei dungu elfu60 kwa moja...
  9. Madam vivian original

    Msaada nahitaji kuiagiza gari nje ya nchi

    Wakuu habar za weekend, Ndugu yenu nimejichanga nataka na mimi nimiliki gari na hii ndo mara yangu ya kwanza kumiliki usafiri. Nimeona kabla sijafanya maamuzi nije kwenu wakuu mnishauri mawili matatu, bajeti yangu ni m16 na gari niitakayo au niipendayo ni Nissan dualis, au Suzuki escudo...
  10. Madam vivian original

    Natafuta maduka ya jumla ya spray kwa Kariakoo

    Laki 5 ila hz spray za kawaida za bei rahis
  11. Madam vivian original

    Natafuta maduka ya jumla ya spray kwa Kariakoo

    Nipe information vzr mkuu, nahitaji sna
  12. Madam vivian original

    Natafuta maduka ya jumla ya spray kwa Kariakoo

    Wakuu habari za majukumu, Mimi ni muuzaji wa duka LA vipodozi, nahitaji msaada kwa anaejua maduka yanauza spray kwa bei rahisi nanpafyum maana ninazo uziwa naona kama ni ghari sna. Nataka wanaouza spray kwa dazern au karton ila kwa bei nafuu. Naamin kuna wafanya bisahara wanaojua machimbo ya...
  13. Madam vivian original

    Msaada Chapu chapu

    Vijana wa siku hz mbona mnasumbuliwa sna na matatizo haya jaman, mbona zamani hayajakuepo. Hapa nawaza tu itakuaje ukioa mdogoangu, pole sna
  14. Madam vivian original

    Wanandoa mnawezaje kuvumiliana kwenye hii hali?

    Mbona hayo mambo ya kawaida kabisa, Tunashindana kujamba kwenye neti sembuse harufu ya toilet, hakuna kitu kizur kwenye mahusino kama kuzoeana na mpenzi wako au mume/mke yaan raha raha tu, hakuna kujibana bana. Kuna siku Mr alingia toilet kumbe maji yamekatika, akajisaidia akaniambia nichotee...
  15. Madam vivian original

    JF imekusaidia nini tangu uijue?

    Na kweli ila wazamiaji hawatakosekana tu, maana kwenye magroup ya akina mama na akina baba pia wamo so mambo yamebadilika sna mkuu
  16. Madam vivian original

    JF imekusaidia nini tangu uijue?

    Kabisaaa sasa hv asilimia kubwa wengi ni wakolofi zaman ukiuliza kitu, utasaidiwa mpaka unapewa connection lakin sasa hv ukipewa connection ujue umeibiwa hahaha
  17. Madam vivian original

    JF imekusaidia nini tangu uijue?

    Hapo ni mbele, cjageuka nyuma
  18. Madam vivian original

    JF imekusaidia nini tangu uijue?

    Wakuu habar za masiku. Mko poa, nimewamiss sna. Twende kwenye point Je famii forom imekusaidia nn tangu uijue, ni ukweli usiopingika hakuna social network ambayo inapendwa na inayotizamwa na watu wengi kama JF. Mm binafs kilichofanya nijiunge humu ni michango ya watu, kuna watu walikua...
Back
Top Bottom