Search results

  1. M

    Mamlaka ya Hali ya Hewa yatoa masahihisho katika tahadhari ya mvua

    Mkuu unayesema "feki .." ebu niambie wamekosea wapi? Uhakika wa tukio umeambiwa 70%, kama tukio hapo kwako halijafika unaweza kuwa upo kwenye 30% (no event). Je, umechunguza maeneo yote yaliyotajwa ukajua hakuna mvua kubwa?
  2. M

    CHADEMA imeng'ara kwenye Uchaguzi na Itashinda 2015

    Inategea, hiyo % ya ufaulu imetolewa na nani. Kama mtoaji ni yule anayeaminika kuwa ni mwenye hila siku zote hiyo 14% inaweza kuwa ni dalili nzuri kwa ...
  3. M

    CHADEMA Vs CCM; Comparative Analysis!

    Huyu jamaa kaajiliwa na analipwa kutokana na idadi ya post anazotuma hasa zile za kukichafua CDM hata kama hana point!!!
  4. M

    Mwenye kupinga 'kauli ya Pinda', huyo ni adui wa nchi.

    Umelipwa bei gani kwa utumbo huu?? Kama kweli kazi ya polisi ni kulinda amani, yule mtoto aliyetoka TUITION alikuwa wa chama gani? Ni polisi wa aina gani anayelinda amani kwa kuua raia wasiyokuwa na bunduki? Hii kauli ya "Mhe. Pinda alivyosema polisi wapige tu", wewe uliwahi kufuga mbwa halafu...
  5. M

    Kauli ya Chagonja juu ya Nassari

    Kwani huko ambako siyo kwao ni nje ya Tanzania?? Au POLISI hawajui mipaka ya Tanzania??? Kwahiyo POLISI ndiyo waliyomuumiza. Ili wakiulizwa wanajitetea kuwa alikokuwa si kwake!! Nchi imekwisha!!!
  6. M

    tunaipeleka wapi elimu yetu tz.

    Huo utaratibu wa kudahili wanafunzi waliopata daraja la sufuri umeanza lini? Na ni chuo kipi kinafanya hivyo? Kama kipo chuo cha namna hiyo tumekwisha!!
  7. M

    Post za Ualimu toka Wizara ya Elimu

    Ivi ungebakia kimya tu si bado ungeonekana wa maana kuliko kuweka kitu ambacho hakipo? Sina uhakika hao walimu wanao ngoja ajira zao wakikuona watakwambia nini!!!
  8. M

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Kwani ilikuwa lazima waislam wakanunue kwenye bucha za wakristo?? Kuna faida gani itapatikana kwa kuuana? Na kama kunathawabu kutoka kwa Mungu, ni Mungu yupi anayeruhusu watu kuuana eti kisa Mkristo au Muislam kachinja Ng'ombe? Tuheshimu imani hata za wale ambao hawaamini imani aliyonayo mtu...
  9. M

    bikra ya barmaid

    Hiyo bikra aliipimaje? Na ametofautishaje kati ya bikra ya Kichina na ile ya asili?
  10. M

    JKT batch ya kwanza hiyo.

    Huyo dada atapona "tamaa" za afande ...? Maana nakumbuka enzi hizo, afande akimtaka binti mzuri na akagomewa basi atampa adhabu za mara kwa mara akitarajia kuwa binti atabadili msimamo! Ila wapo waliovumilia adhabu hizo na wakamaliza "salama" yaani bila kwenda "Mkokoa Guest House"
  11. M

    Vodacom voucher generator

    Hiyo deep analysis haitakufikisha unakotaka kwenda maana hao VODACOM watakuwa walianzia huko unakotaka kwenda ambako wamefunga na funguo wanazowahusika tu!
  12. M

    Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Hili swala la kuweka na Muda ni hatari sana!! Kuna mtoto hapa mtaani kwetu juzi aliambiwa na wenzake kuwa majibu yametoka; kilichotokea alidondoka na kupoteza fahamu na alipofikishwa hospitali aligundulika kuwa ana tatizo la PRESSURE ya kushuka. Lakini hana historia ya ugonjwa huo. Inelekea...
  13. M

    Werema chupuchupu kutuingiza kwenye mzozo wa kidini

    Ivi hawa jamaa siwalisharuhusiwa kuwa na Kadhi??? Sasa wazee wa Kiislam mahakamani wa nini ilhali wana Kadhi wao? Hili sasa ni tatizo. Nadhani kuna kitu kingine kinapikwa nyuma ya pazia. Si waliweke wazi tu badala ya kupenyeza agenda na sheria zinazoonyesha udini?
  14. M

    Jamani niende au nisiende? msaada....

    Inaelekea kwenu fedha si tatizo ila ... Kama unatafuta kazi ili upate angalau fedha za kukuweka "mjini" basi fedha hiyo ni nyingi na usiidharau maana kuna wengine wanaitafuta hata chini ya kiwango hicho lakini hawaipati.
  15. M

    Maskini mimi,naijutia nafsi.nahisi nishaliwa kichwa/nishadisco at sokoine university of agriculture

    Ushauri wako haujatulia kabisa!!! Unampa kazi ya kuingia na deza au kukaa karibu na kipanga, huoni kuwa atakuwa na kazi mbili: kumdangaya msimamizi kuwa hatizamii kwa mtu au "ku-copy na ku-paste" na kuandika mtihani ukizingatia kuwa muda haungoji mtu? Mwambie asome na kuelewa ili mtihani...
  16. M

    BBC: Askofu Martin Shao wa Zanzibar atishiwa kifo; yadaiwa akimbia Zanzibar

    Kwahiyo kuchinjana kama kuku ndiyo ustaarabu au ushuja?
  17. M

    Na hii nayo ni BURGER kweli?

    Tafadhali sana, nakutahadhalisha sisi huwa hatufanyi hivyo!!!!!!!!!!!. Usichezee chakula cha wenzako. Kibaya zaidi hujachuna hata ngozi!! tania kaumbwa ... Kaumbwa kenyewe kalikuwa kadogo mno tukaite ka-hotDOG
  18. M

    Dah!!Huyu dingi dah!!!!!

    Hapa wa kulaamumiwa siyo baba ila msichana. Huyu msichana angekuwa muwazi kwa huyo baba kwamba yeye ni rafiki wa mwanaye asingefika hatua hiyo aliyofikia. Huyu msichana ana tabia mbaya tu.
  19. M

    Safari za Kikwete zazaa matunda...

    Ivi unaposifia walimu wa kigeni ambao huenda huna utakachowalipa na ukashindwa kuwalipa walimu wa zalendo stahiki zao unajisikiaje?
  20. M

    Thank u God.

    Happy birth day Lady G! Mungu akuongezee miaka mingi ya furaha na amani moyoni mwako.
Back
Top Bottom