Search results

  1. Newbies

    Hivi kuna njia yoyote ya kuacha kubet?

    Kinachosukuma watanzania kubeti 90% Ni umaskini Yani mtu anatarajia apate kitu kimtoe. Sasa unataka kuacha kubeti je umesha kuwa Tajiri? Kama hujawa bado kutakiwa na kitu Cha kukuvuta huko ujaribu bahati yako,😆
  2. Newbies

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Wanawake acheni tamaa na uvivu mtafanikiwa
  3. Newbies

    Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki

    Nani kayasema hayo
  4. Newbies

    Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki

    Upo nyuma sana
  5. Newbies

    Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki

    Nikweli
  6. Newbies

    Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki

    Duh
  7. Newbies

    Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki

    Acha mdomo
  8. Newbies

    Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki

    Kwanini usajili wa Simba HAUAMINIKI? Simba wanaweza kusajili wachezaji 7 lakini atakayeonesha kiwango Ni mmoja au hakuna hivi Hawa jamaa wanatumia mfumo gani kupata wachezaji? Simba kjikite kwenye usajili wa ndani Kama walivyopatikana kina Mohamedi ibrahimu, kichuya, Mzamiru, n.k Usajili ujao...
  9. Newbies

    Ishara kuwa ulishaukwaa ila ngwengwe ikala besela

    Hata mtu aliyesoma sayansi Darasa la 6 hawezi kuandika huo uharo huyo fala alioandika
  10. Newbies

    Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Yani upate 200% 😂 ukiona biashara inakupa zaidi ya 20% ya pesa yako ujue mtaji wako upo kwenye risk kubwa. Hii nikwamujibu wa wataalam
Back
Top Bottom