Search results

  1. SACO

    Ipo sababu ya Hamas kumuua Joshua kikatili?

    Nimelia sana hadi machozi yameisha. Nimekuja kuamini kuwa Hamas ni magaidi na wanapaswa kuangamizwa, nimejitahidi kuulizia kama kuna connection kwenda kusaidia kuwaangamiza Hamas lakini nimekosa. Naomba serikali itoe tamko kama Hamas ni magaidi au la! Maana naona nchi imetulia kama hamna...
  2. SACO

    Mama kanitukana nichukue hatua gani?

    Kuna vitu mama anataka kuforce ila kafikia hatua mbaya, napanga kumshtaki kwa wajomba zangu
  3. SACO

    Hii ni kawaida kwa RAV 4 old cc 1990 kula mafuta? Naomba msaada wenu

    Yaani lita moja kwenye rough road inatembea km 5 tu, je hii ni kawaida? Pia ina tatizo la kuchelewa kubadili gia, natamani kuwapatia mafundi waicheck gear box ila wasiwasi wangu wasije wakaiua kabisa
  4. SACO

    Nimecheka sana

    Kidemu kifupi cheusi kina mapengo meno ya mbele kinaniambia bila afu tisini hakiwezi toka na mimi. Wakati huo nachati na pisi kali inaniambia tu tafuta kiwanja kizuri tukaenjoy. Hapo ndio nimegundua dunia uwanja wa fujo.
  5. SACO

    Nina mil 4 naombeni Suzuki escudo

    Baada ya carina sasa hivi naomba mwenye suzuki escudo angalau kuanzia namba B, cc 1500, na iwe manual
  6. SACO

    Nahitaji kununua gari, naomba ushauri

    Aina ya gari ninalotaka iwe noah old au rav 4 old, au suzuki Escudo. Naomba kujua ipi inafaa kwenye rough road sana. Na ipi ni nzuri kati manual na automatic.
  7. SACO

    Wataalamu wa vyombo vya moto naomba ushauri

    Baada ya mafuta kupanda bei mara dufu, nimeamua kuuza Brevis yangu kwa mil 6 kwani ilikuwa inakunywa sana mafuta. Nimeamua ninunue pikipiki na chaguo langu ni Kinglion. Sina uzoefu sana na pikipiki japokuwa naweza kuendesha. Hivyo naomba wataalamu kesho naenda kununua mnielekeze mambo ya...
  8. SACO

    USHAURI: Usithubutu kujamba kama unaumwa tumbo la kuendesha

    Yamenikuta tena ukweni kwa Wachaga ndio maana nawatahadharisha
  9. SACO

    Mke wangu hajableed takribani miezi mitatu

    Habari wataalamu, naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Mwanzoni mwa mwezi wa saba wife akiwa na ujauzito wa miezi mitatu alianza kutoka damu ghafla na hatimae mimba ikatoka na wakampa dawa flani sikumbuki za kusafisha. Tatizo ni kuwa mpaka sasa hajableed takribani miezi mitatu kasoro...
  10. SACO

    Baada ya tangazo la Rais Samia kusitisha retantion fee bodi kwangu imekuwa kiama

    NImekatwa miaka mingi hatimaye deni langu imebaki 15,000/= ndio ninayodaiwa. Nimeenda kuomba statement nilipe ili HR asitishe makato kwenye mshahara wangu sababu kwenye salary slip deni linasoma zaidi ya milioni 2 hivyo bila HR kutaarifiwa na bodi hawezi kusitisha makato. Majibu niliyopewa ni...
  11. SACO

    Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa

    Ndugu zangu nataka kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. Nimechagua jukwaa hili kama sehemu ya kupata maujuzi. Naomba kujuzwa juu ya Gharama, Faida, Changamoto nk
  12. SACO

    Kufungua akaunti ya mtoto

    Baada ya likizo ya corona kuishi na shule kufunguliwa nimesikia vilio na malalamiko ya wazazi wakilalamia kuwa hawana fedha za kuwalipia watoto wao. Binafsi nina watoto wadogo watatu, wa kwanza miaka 4 wapili miaka 2 na watatu miezi 2. Binafsi nimejifunza kuwa hawa watoto huko mbeleni...
  13. SACO

    Punguzeni kula chakula bila mpangilio na fanyeni mazoezi

    Wanawake Punguzeni kula chakula bila mpangilio na fanyeni mazoezi. Mtalalamika kutoolewa na una mwili kama pipa na hela huna. Angalau ungekuwa na hela ungevipata hivi vimarioo vya Dar. Badilikeni basi sisi wanaume wenye hela we are after shape, bila shape utatongoza wanaume... Sent using Jamii...
  14. SACO

    Msaada: Nataka kupeleka hii picha inayoonesha ubovu wa barabara kwenye mamlaka husika, nipeleke wapi?

    Hii ni barabara inayounganisha mkoa wa Mbeya na Njombe kupitia kwenye hifadhi ya Kitulo - Mbeya - Makete -Njombe. Biashara ya viazi na utalii imesimama kabisa. Naomba kujua sehemu ya kupeleka hiyo picha ili nibaki salama. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. SACO

    We dada niliekunyang'anya elfu 2 niliyokupa nisamehe

    Nilikukuta umetulia zako garden, nikasogea nakupiga story kidogo na haraka nikabaini wewe ni mjamzito.. Aisee nina mzuka sana na wajawazito ..nikashindwa kujizuia dushe likaanza kuwaka motoo.. Nikakushawishi tutembee kidogo lengo nikuelekeze maeneo yenye lodge .. Kiroho saafi ukakubali ukionesha...
  16. SACO

    Changamoto ya usajili kwa mawakala wa M-Pesa, Tigo nk

    Nimekuwa wakala wa M-Pesa, Tigopesa nk kwa zaidi ya miaka 5. Tatizo ni kuwa till yangu ya M-Pesa inatumia jina la mtu mwingine na hii umekuwa ikiniingizia zaidi ya laki nne kila mwezi. Tatizo ni hili zoezi la usajili wa alama za vidole. Namba za NIDA ninazo tatizo ni kupata leseni nimeenda TRA...
  17. SACO

    Chepuka na ulinde ndoa yako

    1. Bahati mbaya ukifumaniwa usije kukiri kosa.. Kataa hadi chozi litoke. 2. Haya ni baadhi ya majina unayoweza kuwasave michepuko. Vodacom ofa Tigojirushe Instamoja Sportpesa nk Hizo sms hata akishika simu yako hawezi hangaika kuzisoma Naomba tupeane mbinu zaidi.. Sent using Jamii...
  18. SACO

    Wakenya mnakwama wapi? Profesa Kabudi sio Prime Minister (PM) wa Tanzania

    The Prime Minister of Tanzania is Kassim Majaliwa.
  19. SACO

    Nina laki 2 ..nahitaji tv flat inchi 32

    Karibuni kwa mliopo mkoa wa Dar, Pwani, Mbeya, Iringa, Njombe Rukwa na Katavi
  20. SACO

    Tuliosoma shule za International tukutane hapa

    Tuelezane kazi tunazofanya kwa sasa.
Back
Top Bottom