Search results

  1. Evans Richard Arsenal

    Jinsi ninavyopata Faida ya 45,000/= kwa siku, huku nikiendelea na kazi zangu kila siku

    Jinsi mimi ninavyopata faida ya 45,000 kwa siku. Kwasasa nina pikipiki aina ya Fekon na Huoniao jumla zote zipo 15 mtaani kwa mkataba wa miezi 12. Nilianza na mtaji wa 8,300,000/= mwaka Jana November 2021 ambao ulinisaidia kununua pikipiki 3 mpya aina ya Fekon na baada ya hapo nikawa naongeza...
  2. Evans Richard Arsenal

    TUTANI: Michoro (Floor plan) ya nyumba/vyumba vya kupangisha (Apartments)

    Ndugu wataalamu nimeambatanisha baadhi ya michoro mbalimbali ya nyumba/vyumba vya kupanga. Naomba Kwa mtaalamu yoyote aliye na sample zaidi za Floor plan ya nyumba au vyumba vya kupangisha atusaidie tutani. Ili tuongeze ujuzi na ubunifu katika ujenzi Wa nyumba/vyumba vyetu. Nahitaji kufahamu...
  3. Evans Richard Arsenal

    Tunafua nguo kwa mashine

    Tupo Mbezi ya kimara. TUNAFUA NGUO za maharusi Suti Jeans Nguo za kawaida Pamoja na mapazia Aina zote. Tunakausha na kuonyoosha vuzuri(pasi) Pata huduma nzuri . Karibu Sana mshtue na mwingine Usijichoshe Sana sisi tupo.
  4. Evans Richard Arsenal

    Nahitaji kiwanja, msaada tafadhali

    Habari nahitaji eneo dogo la ujenzi, maeneo ya makabe njia panda maeneo hayo hata kama unaingia kidogo siyo mbaya. Sihitaji dalali,budget Milion4 charp No yangu 06521326
  5. Evans Richard Arsenal

    Niambie utapenda ukute nini

    Mimi Ni mama Lishe, niambie au nishauri,unachopenda kula au ukikute sehemu yangu ya biashara pindi unapohitaji kifungua kinywa au chakula chako Cha mchana unapokuja,ili ufurahie huduma yangu kesho urudi Tena,naomba uwe muwazi ,...karibu Sana nipo nyuma ya Boch hosp mbezi msuguri.. 0652132665.
  6. Evans Richard Arsenal

    NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

    NECTA wameandika matokeo ya Kidato cha nne na Upimaji wa kidato cha cha Pili na Darasa la Nne 2021, yatatangazwa hivi punde kaa tayari ndio mida hii. All the best Comrades, see you at the top. === Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka...
  7. Evans Richard Arsenal

    Anahitajika Mwalimu kwa ajili ya kufundisha Advanced Mathematics Form 5&6

    Anahitajika Mwalimu kwa ajili ya kufundisha Advanced level, somo la Advanced Mathematics. Mwalimu anahitajika kuwa na Bachelor/Degree na awe na GPA above 3.0. Mwalimu awe na angalau Mwaka Mmoja wa uzoefu wa kufundisha somo husika (1 year), na awe na ufaulu wa kuanzia grade "C" kwa Advanced...
  8. Evans Richard Arsenal

    Kwa mahitaji ya mapishi

    1. Tuite tukupikie kwenye shughuli yako kubwa ndogo, tunakuja popote hata mikoani tupo Dar. 2. Unaweza kununua vyakula vyako tukaja kupika tu. 3. Pia tutaweza kukukadiria vitu vya kununua kulingana na idadi ya wageni wako ,kwa gharama ndogo, iwapo tutakuhudumia ni bure kabisa. 4. Hata...
  9. Evans Richard Arsenal

    Baada ya Miaka zaidi ya 15 kupita, Hatimaye Calculator fx991 inaruhusiwa kutumiwa NECTA Form 4

    Leo vijana wetu wa kidato cha Nne wamefanya mtihani wao wa tatu kwa mujibu wa ratiba yao ya mitihani. Asubuhi saa 2 asubuhi vijana wote Tanzania walianza kupambana kupata tiketi ya ufaulu wa somo pendwa la Hesabu (Basic Mathematics) Wanafunzi wengi hawakufahamu kama wataruhusiwa kutumia...
  10. Evans Richard Arsenal

    Anahitajika mwalimu wa kufundisha Geography And Civics (TANGA)

    Anahitajika Mwalimu kwa ajili ya kufundisha Ordinary level. Mwalimu anahitajika kuwa na Bachelor Degree of Arts with Education (Geography). Experience mwalimu awe na angalau Mwaka Mmoja (1 year's) katika kufundisha somo husika (Geography and Civics). Shule ipo mkoa wa Tanga wilaya ya Muheza...
  11. Evans Richard Arsenal

    Anahitajika mwalimu wa History kufundisha Ordinary Level mkoani Tanga

    Anahitajika mwalimu kwa ajili ya kufundisha Ordinary level (form one to form four). Mwalimu anahitajika kuwa na Bachelor Degree of arts with Education (History). Experience awe na angalau miaka miwili (2 year's) katika kufundisha somo husika (History). Deadline: 08/07/2020
  12. Evans Richard Arsenal

    Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

    Imepita miaka takribani 12 sasa, tangia Tanzania ilipapata kumshuhudia mwanafunzi aliyeshindikana katika maswala ya Elimu hapa namzungumzia,Tanzania One (2006) Elias Kihombo katika matokeo ya Kidato cha Sita mwaka 2006 akitokea shule ya sekondari Tosamaganga wengi wanapenda kuiita Tosa Boy's...
Back
Top Bottom