Search results

  1. Evans Richard Arsenal

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuna mtu nilishangaa alikuwa analipwa mshahara Wa zaidi ya 800k kama take home lakini alivyopata chance ya kwenda CCP (degree) hakujiuliza mara mbili aliacha kazi akaemda kupiga kozi ya miezi 12. Kila mtu ana malengo yake ktk maisha so tubaki kuangalia tu na kutokukata tamaa maishani. Sisi...
  2. Evans Richard Arsenal

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Miezi 12 utaona ni mingi ila Kwa mtu anayeenda kufanya usaili lazma ajue hili. Ni heri kupoteza mwaka mmoja Kwa kupata msosi, Hela ya kujikimu (100k), pa kulala Bure kuliko kukaa mtaani Bure bila kazi yyote. Kumbuka baada ya shida hizi na huduma zote kupewa Bure, baada ya miezi 12 unaingia...
  3. Evans Richard Arsenal

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Degree walikuwa more than 1,000 kwenye usaili ila wamechukua 57 tu pekee. I hope Kuna simu zitaita Kwa ambao hawajapata nafasi kwasasa (second selection kama mwaka Huu April & May 2023 walienda intake 2) Ili kukava nafasi za wale ambao hawatoripoti CCP au kukosa vigezo au afya etc. Makamanda...
  4. Evans Richard Arsenal

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwasasa ni mwaka mmoja, Kuna watu walishamaliza hizi kozi mwaka jana wapo kazini now walipiga miezi 12
  5. Evans Richard Arsenal

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mkoa unaochukua watu wengi zaidi ni DODOMA pekee.
  6. Evans Richard Arsenal

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hapo Form 6 mnasema 8 Kwa mkoa sasa hawa Wa Diploma au Degree ndio watachukua hata 1 kwenye Kila idara.
  7. Evans Richard Arsenal

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sawa Kiongozi. Vipi Kuna watu Huwa wanaingia katikati ya kozi inapoanza huko CCP au kwenye kozi za majeshi mengine?
  8. Evans Richard Arsenal

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hapana Chief Sina mbanga
  9. Evans Richard Arsenal

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wenye lonja yoyote kama Third Selection ya PT itatoka mwezi Ujao (June) kujaza nafasi za ambao Bado hawajaripoti CCP.....
  10. Evans Richard Arsenal

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kutakuwa na Third selection PT au ndio kimya kimya kwasasa PT?
  11. Evans Richard Arsenal

    Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

    Duh mkuu jifunze kuappreciate kazi za watu, ume copy na kupaste kwangu. Huu Uzi upo hapa hapa Jamiiforum ni ya Miaka 3 sasa imepita Nimeandika. Uwe unaedit basi hata kidogo.
  12. Evans Richard Arsenal

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Leo ndio Ilikuwa siku ya mwisho kuripoti kambini CCP, so kuanzia kesho wataanza kuangalia mchakato Wa kujaza nafasi za ambao hawajafika CCP pamoja na reserve tajwa.
  13. Evans Richard Arsenal

    FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

    So possibly Yanga atakutana timu hizi kwenye Robo fainali? 1. Pyramid ya Misri, 2. River Plate ya Nigeria au 3. USM Alger ya Algeria
  14. Evans Richard Arsenal

    FT: CAF Confederation Cup: Us Monastir 2- 1 As Real Bamako

    So possibly Yanga atakutana timu hizi kwenye Robo fainali? 1. Pyramid ya Misri, 2. River Plate ya Nigeria au 3. USM Alger ya Algeria
  15. Evans Richard Arsenal

    Biashara ya Bodaboda

    Pikipiki used zinapatikana maeneo uliyopo, ukitaka Pikipiki USED kirahisi nenda sehemu yoyote ya Gereji hzii sehemu wanazouza spare za Pikipiki hapohapo ukiuliza mtu anayeuza Pikipiki used Utapata wengi tu. Au fanya kwenda sehemu za vijiwe wanapopaki Pikipiki uliza Kwa mdau yoyote atakwambia...
  16. Evans Richard Arsenal

    Biashara ya Bodaboda

    Kuna kitu hapa watu wanashindwa kuelewa Sina mtaji Wa 34.5 Millions, nimesema nilianza na mtaji Wa 9 Millions Kwa kuanza na Pikipiki 4 tu mpka kufika sasa zipo zaidi ya Pikipiki 15. Mtaji wangu ni 9 Millions + 30% ya Mshahara wangu Kila mwezi mpka kufika hatua hii Kwa muda wa miezi 13 mpka Leo...
  17. Evans Richard Arsenal

    Biashara ya Bodaboda

    Shukrani bro, umetoa ushauri Kwa watu wengi zaidi kwamba maishani unachoona ni FAIDA kwako na kipo sawa fanya usimuige mtu mwingine.
  18. Evans Richard Arsenal

    Biashara ya Bodaboda

    Kuna kitu hapa watu wanashindwa kuelewa Sina mtaji Wa 34.5 Millions, nimesema nilianza na mtaji Wa 9 Millions Kwa kuanza na Pikipiki 4 tu mpka kufika sasa zipo zaidi ya Pikipiki 15. Mtaji wangu ni 9 Millions + 30% ya Mshahara wangu Kila mwezi mpka kufika hatua hii Kwa muda wa miezi 13 mpka Leo...
  19. Evans Richard Arsenal

    Njoo na 3.1 m Nikutengenezee 14 milioni kwa miaka miwili.

    Kama ni bajaji ni wazo zuri kama REJESHO La boss ni 20K per day basi within 2 years utarejesha hesabu ya 14M ila sasa anayekupa lazima ajiridhishe na unapokaa na Makazi yako pamoja na Wadhamini wako wawepo eneo husika. Kama upo Dar unaweza ukatoboa Kwa hesabu hizi, ila sasa title ya Uzi wako...
  20. Evans Richard Arsenal

    Biashara ya Bodaboda

    Tafuta watu Wa hukohuko Kimara watakuunganisha na watu wanaotoa bajaji au Pikipiki Kwa mkataba. Sio rahisi mtu hakufahamu halafu akakupa Mkataba, wengi wanatoa Mkataba baada ya kujiridhisha Kwa Mwenyekiti wa Kijiji/mtaa akutambue na lazima na yeye awepo eneo husika iwe rahisi kufatilia baadhi ya...
Back
Top Bottom