Search results

  1. Savage Dad

    Waziri Ummy Mwalimu: Matumizi holela ya P2 yanaweza kusababisha ugumba na saratani

    Kupitia ukaunti yake rasmi, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amenena haya kuhusu watu wanaofanya mzaha wa matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba aina ya P2. Inaweza kuonekana ni utani lakini huu ndio ukweli hasa kwa baadhi ya watoto wetu wa kike walio shuleni. P2 ni dawa ya kuzuia mimba...
  2. Savage Dad

    MSAADA KWA WAJUZI WA MAMBO YA REFRIGERATION.

    Habari za jioni Wakuu. Kama mada inavyosema hapo juu naomba msaada wa jambo langu hili. Katika mizunguko ya kazi leo nimelikuta hili. Kuna compressor moja imetengenezwa sasa baada ya kutengenezwa ikachergiwa na kuwekwa na oil kabisa. Sasa wakati inatembea baada mja mchache inakua overheating...
  3. Savage Dad

    Ubaguzi kwenye kazi.

    Habar zenu wanajamii leo nimeona nilete hili jambo kwenu nyinyi kwasababu limekua likijitokeza sana kwenye utaftaji wa rizki katika shughli zetu,Kwanin sisi kama watanzania hatuwi pamoja katika shughli zetu za kikazi kwasababu nilichokiona huku kwetu sehem nlokua nikifanya kazi nilifukuzwa kazi...
Back
Top Bottom