Search results

  1. Jay10

    Elimu yetu na mustakabali wa vijana wetu maishani

    Habari ya wakati huu ndugu wana JF, Mimi kama ilivyo wazazi wengine wanaowajibika kwa watoto wao hasa zaidi kahusu mustkabadhi wa maisha yao ya kesho; nimefkiri kwa kina juu ya elimu tunayopewa ktk shule zetu (Tanzania), iwe zilizo chini ya serikal au binafsi fprivate) na nikaona nije na huu...
  2. Jay10

    Tanzania yetu, Afrika yetu inasikitisha mno! Nani katuroga?

    Habari ya wakati huu ndugu zungu wana JF? Hongereni kwa kubeba majukumu yenu ya kutwa nzima lakin pia poleni kwa mizigo mzito sana inayozidisha msoto hapa duniani. Ndugu zangu baada ya kusikiliza bajeti iliyosomwa jana, kufuatilia matukio ya uvunjifu wa haki za dinadamu huko ngorongoro...
  3. Jay10

    Sheria za kazi zinamsaidia vipi mfanyakazi?

    Wadau, naomba kujua sheria inasemaje juu ya mwajiri private (kampuni) ambapo mwajiriwa (wafanyakaz wote kwa ujumla hawana mikataba ya kaz) hajapewa mkataba na amefanya kaz zaid ya miaka 3.....+ overtime bila malipo yyte....wakat huo huo kikipotea chochote hata daftar mfanyakaz...
  4. Jay10

    Naomba muongozo namna ya kupata Masomo online

    Habar ya wakat huu wana JF? Mimi ni kijana mjasiriamali, elimu yangu ni juu (kibongo bongo) ngaz ya shahada (degree). Tang nikiwa mdgo nimekuwa na hamasa/kuvutiwa xana na mambo ya kisanaa hasa uchoraji na ugizaji kwa upande wa uchoraji nimefanya sana nikiwa shule za msingi na sekondari kidgo...
  5. Jay10

    Wanawake ni viumbe hatari sana, tena sana

    Habar ya wakat huu ndugu zang wana JF? Mimi ni kijana chin ya miaka ya miaka 35, Elimu yang ni ngaz ya kat na juu (diploma + degree), nimejiajiri, mchaga. Nilipokuwa bado ktk masomo yang ya ngaz ya kat na juu, niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja aliyekuwa nyuma yang kdgo ktk ngaz ya...
  6. Jay10

    Naomba msaada wa kitaalam kuhusu chongamoto iliyotokea kwnye simu yang aina ya Samsung S7 edge

    Habar ndugu zang wana JF, Naomba msaada wa kitaalam kuhusu chongamoto iliyotokea kwnye simu yang aina ya Samsung S7 edge. Ni kwamba ilitokea tu siku moja, nikijarib kupga picha Camera haifunguki, inaniandkia CAMERA FAILED kila nikijarb kuitumia, pia TORCH nikitaka kuitumia feedback ni kwamba...
  7. Jay10

    Mfumo wa elimu ulio bora kwa dunia ya sasa na kesho

    Habari za wakati huu wana JF wote....Nawatakieni kheri ktk mwaka huu mpya. Kama kichwa cha uzi huu unavyodokeza,...Mimi ni mzazi ss wa mtoto mmoja, umri 31, pia kielimu niko na diploma + Degree ya Mipango.....nimejaribu kujitambulisha kwa kias ili kuweka msing ktk mjadala wa maada hii...
  8. Jay10

    Naomba ushauri wa ramani

    Habar ya wakat huu ndugu wadau wa JF na jukwaa la ujenzi. Nipo kwnye mchakato wa kujenga nyumba/ viappartments vya kupangisha hvyo nimeonelea nije hapa jukwaani kwa kuwa naamini kuna fursa ya kupata design mbalimbal za raman ya nyumba HASA HASA apartments za chumba self, sebule na baraza, pia...
  9. Jay10

    Hivi ni kweli energy drinks zinapunguza nguvu za kiume?

    Kama kichwa cha mada kinavyeleza, wadau naomba kujua ukwel kwa kina kuhusu huu uvumi kuwa energy drinks zinamalza nguvu za kiume au vinginevyo mana nimekuwa nikinywa karb kilasiku...
  10. Jay10

    Kuku gani nifuge kibiashara?

    Habari ya wakati huu wana Jf....!??... Niende moja kwa moja katika mada hii husika na kichwa habari hapo juu... Nipo katika mpango wa kufuga kuku kibiashara, hivyo naomba ushauri juu ya ni aina gani ya Kuku (chotara, kisasa au kienyeji)... Mana nimewaza wa kisasa lakini wale kuku nduguuu...
  11. Jay10

    Duka la spea za pikipiki, vifaa vya bomba au Hardware (vifaa vya ujenzi nyumba)

    Habar za kwenu wana JF. Naomba kujua kuhusu biashara hizi duka la spea za pikipiki, vifaa vya bomba au vifaa vya ujenzi (hardware) uzuri, ubaya, faida, hasara na mtaji wa biashara hizi.
  12. Jay10

    Mke wangu analalamika kuchomwa na manii naombeni ufafanuzi

    Hello wadau wa JF doctor, natumaini mu bukheri wa afya. Naomba msaada wa maelezo na suluhisho kitaalam juu ya jambo hili. Jambo lenyewe kuna wakat huwa nikikutana na wife au hata mchepuko, nikikojoa {ejaculation} ndani huwa nalalamikiwa kuwa anahisi (wife/mchepu) spam(manii) zinamchoma kias...
  13. Jay10

    Energy drinks (vinywaji ya kuongeza nguvu) na tatzo la nguvu za kiume

    Habar ya wakati huu wadau wa Jf na segment hii ya DOCTOR........naomba kuelimishwa juu ya hili: Kwa kipindi cha miez mitatu ss nimekuwa na kazi nyingi sana kiasi kwamba muda wangu wa kulala umekuwa mchache sana kwa usiku hata mchana (muda wa kaz), nimejikuta hata nakosa hamu ya tendo la ndoa na...
  14. Jay10

    Mke wangu akiwa na stress huwa anatokwa povu na kupaparika kama kuku akilala

    Habari ya wakati huu wadau wa afya jukwaa, naomba kujuzwa pia kushauriwa juu la hili tatizo, Mke wangu ikotokea ana mawazo au stress sana akitulia sehem moja hususan kalala huanza kugeuza shingo kulia na kushoto mara povu mdomoni na kukoroma huku akirusha mikono na miguu huku na kule akiwa...
  15. Jay10

    Habar wana JF..... Nahitaji gari aina ya Suzuk Carry

    Habar wana JF..... Nahitaji gari aina ya Suzuk Carry almaarufu kama kirikuu used....lakin kiwa na hali nzur..... No repeir repeir..... Nipo Kilimanjaro.... Whatsapp namba 0718321418.... Njoo na bei yako....... Inbox Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Jay10

    Nahitaji Friji la biashara lenye mlango wa kioo

    Kama kichwa kinavyoeleza, Mimi ni mjasiriamali mdogo, Nataka kuanzisha biashara hvyo nahitaj friji la mtumba {mtumba wa nje ndiyo bora zaidi} kwa ajili ya kufanya biashara. Lisiwe limechonolewa na mafundi, Lifanye kaz 100% Picha na being nitumie PM au Whatsapp namba 0718321418
  17. Jay10

    Dhana ya chuma ulete

    Habari ya wakati huu wana JF?! Niende straight kwenye mada kama nilivyoitambulisha hapo juu. Leo nikiwa dukani baada ya kuhudumia wateja kadhaa. Nilitoka kidogo nikafunga gril la kuingia dukani lakini milango ya get ikiwa wazi. Nje kuna mdada (dada lishe). Kabla sijatoka kati ya wateja...
  18. Jay10

    NAHITAJI FRIJI

    Habar wadau,!!? Nahitaji friji kubwa kias lenye milango ya vioo kwa bei nafuu..... Napatkana Moshi~Njia panda.....0718321418 kwa Whatsapp,call au sms.....
  19. Jay10

    Nataka kununua gari aina ya pajero

    Habari wana JF!!..... kama title inavyojieleza, nimepata gari aina ya Pajero (old) naomba kujua kama spear zake bado zipo, pia uzur na ubaya wake.............karibu wajuvi wa mambo ya magar Natanguliza shukrani......
  20. Jay10

    Office printer, desktop & laptop for sale

    *LaserJet Printer HP, iko faster xanaa pia bado ipo clean as new.......... Ina FAX, PRINT, COPY, SCAN & WIRELESS PRINT...... inauzwa bei cheee kabxaaa 330k (330,000) *Pia Desktop complete (RAM 4GB, HDD 500GB, screen 17 inches)...... 315,000/= *Laptop HP clean kabxaaa (RAM 4GB, HDD...
Back
Top Bottom