Search results

  1. K

    Diwani CHADEMA arejea CCM

    watu waliohama ccm kuja cdm kwa kuenguliwa au kuangushwa kwenye kura za maoni sina imani nao, mfano slaa na shibuda wanafanana kila kitu, slaa anakua mkali kwa ccm kambi anayoinyea kwa hasira za kuenguliwa kuwa mgombea, shibuda anakua mkali kwa sababu hizhizo, kamati kuu iwahoji uwezo wao wa...
  2. K

    Josephine Mshumbusi ajifungua

    Mchumba wa dr slaa amejifungua jana usiku pale hospital ya muhimbili saa tano usiku. MTOTO WA KIUME. Hongera josephine, hongera slaa mtoto sio mchezo.
  3. K

    Dr Slaa vipi siku tatu hazijaisha

    du!!!!! lakini ashauriwe awe makini sana na matamko yake holela bwana, kila siku anaamuka na tamko jipya la uongo.
  4. K

    Madiwani wa CHADEMA Arusha wagawanyika

    Mmhhhh!!!!!huku sio kwangu.
  5. K

    Madiwani wa CHADEMA Arusha wagawanyika

    Kweli ff nilijua wasio mjua huyu padre aliyekimbia utawa kuwa ni muzushi, watamwamini hadi mwisho wake wa maisha, kumbe kawafukuza mioyoni mwao haraka, kama mzee makamba alikuwa gamba basi cdm kuna gwanda lililopauka ni slaa.
  6. K

    Madiwani wa CHADEMA Arusha wagawanyika

    hahahaahaaaaaa, hii ni aibu kwa slaa na mbowe alizania ni kama alivyomsurubu chacha wangwe hahahahaaaaaa magwanda kimya!
Back
Top Bottom